kusafirisha

  1. Maafisa wa Posta Tanzania wakutwa na kesi ya kujibu kuhusu kusafirisha Dawa za Kulevya

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewakuta na kesi ya kujibu, maofisa watatu wa ulinzi wa Shirika la Posta Tanzania, wanaokabiliwa na kesi ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroine na bangi. Maofisa hao ni George Mwamgabe, Sima Ngaiza na dereva wa Shirika hilo Abdulrahman Msimu. Washtakiwa...
  2. Msaada: Kusafirisha kifurushi toka Mbeya hadi Kahama

    Nahitaji kufikisha kamzigo kadogo tu ka mafuta ya nyonyo na unga wa maziwa ya mbegu za maboga. Kadoogo. Gari zinaenda Mwanza, hakuna ya Kahama kituo kikuu tokea hapa(Mbeya). Kama ipo nijuze. Kama kuna anayesafiri karibuni kabla ya nanenane tuwasiliane basi nimkabidhi. Ni kadogo tu utaita...
  3. Uganda Airlines yaingiza Tsh. 164,340,701 kwa kusafirisha Maiti kila wiki

    Shirika la ndege la Uganda limeripoti kuongeza mapato kwa kuingiza zaidi ya Dola 67,137 kutokana na kusafirisha maiti za raia wa Uganda kurejea nyumbani tangu kuanza kwa safari zake takriban miaka miwili iliyopita. Kwa mujibu wa Meneja wa Mizigo wa Shirika la Ndege la Uganda Bw Morris Ongwech...
  4. Bomba la Mafuta (TAZAMA) kutumika kusafirisha Mafuta mikoa ya Kusini

    Wizara ya Nishati Tanzania imeanz amajadiliano na Mawaziri kutoka Tanzania na Zambia kitakachojadili ushirikiano baina ya nchi hizi mbili katika ulinzi na usalama wa Bomba la Mafuta la TAZAMA na sekta ya nishati kwa ujumla wake. katika kikao hicho kitaongozwa na Wawaziri January Makamba na...
  5. Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

    Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa...
  6. Kusafirisha Gari dogo toka Dar es Salaam kupeleka Arusha

    Wadau wa usafirishaji, nina rafiki yangu anataka kusafirisha gari dogo toka Dar kupeleka Arusha kwa magari ya mizigo. Naombeni mwongozo, ni wapi usafiri huo kwa Dar unapatikana? Ni salama kwa gari dogo? litafika limebonyezwa na mizigo mingine? gharama inaweza fika kiasi gani? NB:Lina hitilafu...
  7. Mapenzi ya kutuma nauli ni sawa na kusafirisha mzigo

    Mapenzi ni hisia kati ya mwanaume na mwanamke, na kinachowaunganisha ni hizo hisia walizojijengea wao katika mahusiano waliyonayo. Kama mmoja atakuwa na hisia zaidi kuliko mwenzake, huyo lazima awe mtumwa katika hayo mahusiano; atateseka kiuchumi na kifikra katika kumfurahisha mwenzake ili...
  8. Familia ya aliyefia Uwanjani waomba msaada kusafirisha mwili

    Familia ya marehemu William Ernest aliyefariki jana katika Uwanja wa Taifa alipokwenda kushuhudia mechi ya fainali ya kwanza ya Yanga dhidi ya USM Alger wanaomba msaada wa Serikali na Yanga ili kusafirisha mwili jijini Dodoma. Akizungumza na Mwananchi mtoto wa marehemu Dora William, amesema kwa...
  9. Dar: Raia wa Marekani afungwa miaka 20 jela kwa kusafirisha dawa za kulevya

    Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imemuhukumu Lione Lionel Rayford raia wa Marekani kifungo cha miaka 20 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin kiasi cha kilo 2.188. Taarifa iliyotolewa leo Mei 27, 2023 na Mamlaka ya Kudhibiti na...
  10. Serikali haitaki kutoa vibali vya kusafirisha mazao Mpaka wa Sirari

    Nipo Border ya Sirari na Kenya, kuna changamoto moja hapa Serikali haitaki kutoa vibali vya kusafirisha mazao kwenda nje ya Nchi ila sasa madali wanapitisha Mahindi njia za panya kupeleka Mahindi Kenya. Je, kwanini Serikali isitoe Vibali ili ipate mapato?
  11. Kusafirisha mzigo toka China

    Habari, Naomba msaada wa kufahamishwa kampuni inayoweza kusafirisha mzigo kutoka China kwa uhakika na kwa gharama nafuu. Ni mashine mbili ambazo zinafit kwenye 1 CBM hivo ingependeza kufahamishwa bei per CBM. Ahsante
  12. Wafanyabiashara wafikishwa Mahakamani kwa Kusafirisha Heroin kilo 58.62

    Wafanyabiashara watatu, Goodness Remy mkazi wa Salasala, Emmanuel Chigbo Mkazi wa Goba na Paulina Mwanga mkazi wa Kibaha wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na Mashtaka ya Uhujumu Uchumi. Wakili wa Serikali, Frank Michael, ameiambia Mahakama kuwa, washtakiwa walitenda kosa...
  13. Tetesi: Rais Samia atoa ndege kwaajili ya kusafirisha msiba wa Le Mutuz

    Tetesi zilizopo ni kuwa raia namba moja, Rais Samia ametoa ndege maalum kwa ajili ya kusafirishia msiba wa William Malecela "Le Mutuz" atakayezikwa keshokutwa Mvumi huko Dodoma. Ndege hiyo itabeba watu takribani 70 ikiwa ni pamoja na ndugu, jamaa na marafiki kuwatoa Dar na kuwapeleka Dodoma kwa...
  14. Kusafirisha Watuhumiwa kwenye Usafiri wa Umma

    Habari za mida hii wakuu, Mida ya saa 7 mchana nilikuwa natokea Nzega kwenda Singida, ila kwakuwa kuna kijiji hapo kati nilitakiwa kuonana na mdau mmoja wa bomba la mafuta anipatie documents fulani hivi, so nilipanda usafiri wa daladala/hiace. Tumefika maeneo ya Nkinga Hospital kituo cha bus...
  15. Msaada kwa mwenye uzoefu wa kampuni ya kusafirisha mizigo

    Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamuhuri, Nielekee kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyo jieleza Mimi natami kuanzisha kampuni ya usafirishaji wa mizigo ndani ya nchi ila changamoto kubwa kwangu sina uzoefu wa hii kazi kwa mwenye uzoefu tafadhari Nivitugani vya kuzingatia kabla na baada ya...
  16. TANESCO Yapongezwa kwa Kuzalisha, Kusafirisha na Kusambaza Umeme Nchini

    TANESCO YAPONGEZWA KWA KUZALISHA, KUSAFIRISHA NA KUSAMBAZA UMEME NCHINI. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imepongeza uongozi wa Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kwa jitihada zake za uzalishaji, usafirishaji na usambazaji wa umeme nchini. Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge...
  17. Serikali yakanusha Madereva kufariki kwa kusafirisha Kemikali za Sumu

    OFISI ya Mkemia Mkuu wa Serikali na wasafirishaji wa kemikali wamesema hakuna dereva anayepoteza maisha kwa kuathiriwa na kemikali kutokana na uhifadhi usiofaa wakati wakusafirisha. Ufafanuzi huo umetolewa Mara baada ya kusambaa kwa video katika mitandao ya kijamii iliyorekodiwa na raia wa nchi...
  18. Msaada kuhusu kusafirisha parcel kutoka Marekani

    Salaam wakuu. Naomba kusaidiwa na yeyote humu ambaye ni mzoefu wa kusafirisha percel kutoka Marekani kuja Tanzania, kwa kutumia makampuni kama DHL na mengineyo hasa napenda kufahamu gharama za kusafirisha simu, ziko mbili kutoka Ohio Cleaveland kuja Tanzania ina gharimu kiasi gani KWA uzoefu...
  19. Ujenzi wa Njia ya Kusafirisha Umeme katika Mradi wa JNHPP Yafikia 92%

    Waziri wa Nishati, January Makamba amesema kuwa, Serikali kupitia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) inaendelea na utekelezaji wa mradi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Bwawa la Julius Nyerere hadi Chalinze pamoja na ujenzi wa Kituo cha kupoza umeme cha Chalinze ambapo ujenzi wa njia ya...
  20. D

    Wakuu nipeni ramani ya kusafirisha vitu vya nyumbani kutoka Magu-Mwanza hadi morogoro

    Naomba kupata connection ya kuweza kusafirisha vyombo vya nyumbani kutoka magu kwenda morogoro. Hasa nikitegemea magari yanayotokaka mara au musoma yanayorudi bila mzigo, pia Kama kuna gari ya uhakika kuanzia mwanza nistueni nisogeze mzigo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…