kusaidia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyankurungu2020

    Huyu kiongozi kama angelijua CCM iko hivi asingelifanya juhudi kusaidia taifa lake

    Kifo chake kimesikitisha wanyonge wengi na wapinga ufisadi. Juhudi zake kubwa kukusanya mapato, kudhibiti mafisadi, kujenga vituo vya afya na kuteteta wanyonge zilikuwa haziwafurahishi wanaCcm wenzake. Kumbe kwa miaka mitano alikuwa kauzibe wa mikakati yao ya kuwadhulumu na kuwanyonya wanyonge...
  2. Bullshit

    Katika harakati za kusaidia jamii ya Afrika

    Habari za majukumu wanaJF Leo ningependa kutambulisha tovuti zangu Katika harakati za kusaidia jamii ya kiafrica kujiajiri au kutumia mitandao kujipatia kipato, niliamua kuanzisha tovuti mbali mbali ili kusaidia jamii ya africa kujiari, lengo langu kubwa ni watu kutumia mitandaon kujipatia...
  3. Kamanda Asiyechoka

    Baba yake Mbowe kusaidia kudai Uhuru sio defence ya Mbowe kutofanya uhalifu, tutumie busara kujenga hoja

    Mzee AIKAELI MBOWE na mkewe BI AISHI, na huyo dogo hapo mbele katikati yao ndiye FREEMAN MBOWE. Mzee AIKAELI alipambana Sana wakati wa kutafuta Uhuru wa TANGANYIKA na alimsaidia Sana NYERERE katika HARAKATI zao za Kudai UHURU wa NCHI hii,Leo UTAWALA wa mama umempa kesi ya UGAIDI...
  4. LellozWho

    Kusaidia Ndugu/familia ni wajibu au lazima?

    Nimeona sehem nyingi, familia nyingi na hata mmoja wa polisi aliyefariki kwa tukio la Juzi inaonesha kua alikua tegemeo la familia nzima mpaka mtoto wa kaka yake. Hoja yangu ni moja. Hii ni tamaduni au ni vipi!? Unamaliza shule, unapata kazi baada ya hapo unatakiwa kusaidia familia nzima na...
  5. T

    SoC01 Jinsi nilivyofanikiwa kujiajiri baada ya kumaliza chuo. Mikakakati, fursa, changamoto na ushauri

    Habari wanajamiiforum, Namshukuru Mungu na natanguliza shukrani za dhati kwenu nyote maisha yangu yanaweza kuwa funzo kwenu vijana mliokosa ajira baada ya kumaliza Chuo. Mimi ni kijana niliomaliza shahada ya ualimu mwaka 2019 ambapo baada ya kumaliza Chuo na kusubiri ajira takribani mwaka mmoja...
  6. Mr Excel

    Ni vipi kusaidia wengine kutaboresha maisha yako?

    Faida tano zinazopatikana kwa kusaidia wengine wenye uhitaji. 1.Utakuwa na furaha zaidi 2.Hujenga mahusiano mazuri na urafiki katika jamii. 3.Inakujenga kuwa mvumilivu katika kupitia nyakati ngumu. 4.Kitendo cha kusaidia wengine ni kizuri kwa maendeleo yako binafsi. 5.Inaweza kufanikisha...
  7. K

    Jaji Mkuu anapaswa kuomba Magereza yaongezwe au anapaswa kusaidia kupunguza mahabusu Magereza?

    Ukishangaa ya Musa utastaajabu ya firauni, nchi hii tunazidi kupoteana na Kama siyo kupoteana Basi tunazidi kuzama. Unapomsikia Jaji Mkuu akaiomba Magereza yaongezwe lazima ushangae, maana Magereza yaliyopo sasa yamejaa mahabusu. Badala akae na Watumishi wa mahakama wajadili kupunguza mahabusu...
  8. buffalo44

    SoC01 Iundwe idara ya ambulance na uokoaji ili kusaidia kwenye dharura na uokoaji kuepusha vifo vinavyoepukika kwa kuwahi matibabu

    Salaam wakuu. Nchi hii ni yetu sote, matatizo yetu tunaweza kuyatatua kwa rasimali kidogo tulizonazo. Hapa Tanzania suala la Ambulance hata hatuelewi linafanyaje kazi. Mara nyingi ambulance zinasafirisha referred patient (Wagonjwa pendekezwa kwenda hospital nyingine). Kwa matatizo ya dharura...
  9. Tony254

    Asante Rwanda kwa kusaidia Msumbiji. Wachana na Waoga wengine waliokataa kutuma jeshi huko

    Licha ya nchi fulani kujificha chini ya kitanda na kukataa kutuma jeshi msumbiji, jeshi la Rwanda jana lilitangaza kwamba limeikomboa port ya Mocimboa da Praia kutoka kwa magaidi. Pia wamekomboa airport na hospitali katika eneo hilo. Bila shaka Jeshi la Rwanda linawapa viboko hawa watoto wadogo...
  10. B

    Yanga yatupwa nje Kagame. Badala ya kusaidia kujenga timu mashabiki wao wanakalia kumsakama Mo

    Habari ndiyo hiyo Mipasho FC aka Manara FC.
  11. Bamileck

    Roundabout vs traffic lights: Kipi kinasaidia watu kutopoteza muda barabarani?

    Suala la foleni katika miji limezidi kuwa changangamoto. Nini kinaisaidia kutokomeza watu kukaa Barabarani muda mrefu Kati ya roundabouts na trafic lights? Kwa upande wangu, roundabout nazipa asilimia 100 katika upunguzaji wa foleni
  12. Marjo Mlekwa

    SoC01 Waathirika watumike kusaidia mapambano dhidi ya matumizi ya Dawa za Kulevya

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri na mapambano dhidi ya dawa za kulevya yaendelee!! Kutana na kijana Mtanzania Faraja, umri wake ni miaka 23, hakumaliza masomo yake kwenye chuo cha sanaa Bagamoyo, sababu kubwa ikiwa ni msukumo na ushawishi mbaya wa vijana wenzake ambao siku zote aliamini kuwa ndio...
  13. Logikos

    Kuongeza ufanisi na tija kwa Magereza ili kusaidia jamii na mazingira kwa ujumla

    Kutumia nguvu kazi ya Magereza zote nchini kuwapa kazi ya kukusanya taka na kutumia taka hizo kwa uzalishaji wa Biogas kwa ajili ya kupikia. Kusambaza Magereza zilizopo katika Sehemu Tofauti ili kupata nguvu kazi hio (wafungwa wengi wafanye community service ya kusafisha mazingira / kukusanya...
  14. Petro E. Mselewa

    SoC01 Funzo kutoka kwangu binafsi: Dini, utii, heshima, kusaidia/kujitoa na bidii ni nguzo muhimu maishani

    Kila mtu ana lake la kusimulia maishani mwake. Laweza kuwa jema au baya; la kufurahisha au la kusikitisha na kuhuzunisha. Langu ni la kufurahisha na kufundisha. Lahusu maisha yangu binafsi. Nimeona vyema kuliweka hapa kama sehemu ya kujifunza katika kutekeleza azma ya Mtandao huu wa JamiiForums...
  15. Kifurukutu

    SoC01 Ni wajibu wetu kujitoa kuwasaidia watu wenye mahitaji muhimu katika jamii

    JF Katika jamii kuna makundi ya watu mbalimbali, wapo watu wanaojiweza kumudu mahitaji yao yote lakini pia kuna makundi ya watu hawajiwezi kumudu mahitaji yao ya kila siku katika maisha Mahitaji muhimu katika maisha ya mwanadamu ni Chakula, malazi na mavazi,, katika jamii yetu hii kuna watu...
  16. M

    Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko

    Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
  17. B

    EU yatoa mamilioni kusaidia mradi wa Eco - Fish ziwa Victoria

    30 June 2021 Dar es Salaam, EU YATOA MAMILIONI KUSAIDIA MRADI WA ECO - FISH ZIWA VICTORIA Mkurugenzi Wizara Ya Mifugo na Uvuvi Bwana Emmanuel M. Bulai akizungumzia kuhusu Mkutano wa Usimamizi wa raslimali za Uvuvi Ndani ya Ziwa Victoria unaosimamiwa na nchi tatu wanachama wa Jumuiya ya Afrika...
  18. mama D

    Hivi ni kweli uke wenza unaweza kusaidia kupunguza zinaa duniani?

    Wanaume nyie ndio wa kutoa huduma zote kwetu na familia na mnaujua uzito wa mzigo mnaoubeba sawasawa. Hebu tusaidieni uzoefu na mawazo tusijeyaharibu mambo huku Wanawake kupendana buana
  19. Analogia Malenga

    Benki ya Dunia yajizatiti kusaidia nchi masikini kupata chanjo

    Benki ya Dunia (WB) imesema inasaidia nchi zinazoendelea katika zoezi zima la kupata na kutoa chanjo ya COVID19 Pia itasaidia kuimarisha mifumo ya utoaji chanjo na kuhakikisha utoaji chanjo kwa watu walioko katika hatari zaidi ya kupata maambukizi Wamesisitiza kuwa hakuna atakayebaki salama...
Back
Top Bottom