kushabikia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nisije kufa bila kuiona Uefa rasmi nimeongeza timu ya kushabikia ambayo ni Liverpool Sasa nitashabikia Arsenal na Liverpool

    Mwaka huu Liverpool inaenda kubeba UEFA nimeona kwanini na Mimi nisifurahie hii UEFA maana Kuna dalili za kufa kabla ya arsenal haijabeba uefa sababu timu yangu ya arsenal ni maumivu Kila mwaka rasmi nimeongeza timu ya kushangilia na sababu iliyonifanya niongeze ni rangi na uchezaji wake povu...
  2. F

    Watanzania acheni kushabikia siasa kama mnavyoshabikia mpira wa miguu

    Tatizo kubwa sana hili kwa watanzania kushabikia siasa kama vile wanashabikia mpira wa miguu. Jambo hili limefanya siasa za Tanzania kuwa ushabiki usio na manufaa kwa Watanzania. Hii ina madhara makubwa sana kwa uhai wa Taifa letu.
  3. Mtu mwenye akili timamu anawezaje kushabikia Simba na Yanga na ligi ya Tanzania?

    Huwa nashangaa sana unakuta watu mpaka wanapigana kisa simba na yanga aisee ukicheki maisha yamewachapa vibaya watanzania akili zero kabisa yaani timu zinacheza mpira kama wamasai wanavyorukaruka na hivyo viwanja wanavyochezea ni kama mashamba ya mpunga ni kichekesho sana kiufupi mtu...
  4. M

    Ni bora Vijana Watanzania tungepigania Maslahi ya nchi yetu sababu huko kwenye kushabikia mpira muda wote hatujapa tija ya kutosha kwenye maisha yetu

    Licha ya sisi vijana kushabikia Simba na Yanga muda wowote bado hutujafanikiwa kutambulika kimataifa kama nchi ya Nigeria na nchi zingine za Afrika Magharibi na Kaskazini wanaofanya vizuri kwenye Soccer na pia hata kwenye kupigania mustakabali wa maisha yao hawapo nyuma. Bora hata jirani zetu...
  5. Kushabikia vita vinavyoendelea huko Mashariki ya Kati ni kukengeuka

    Inasikitisha sana kuona vita vimegeuzwa kama ushabiki wa mpira.Huku watu wanakufa, watu wanapata ulemavu wa kudumu, wengine wanapoteza kila kitu! Wengine wanatazama hii vita kwa itikadi za kidini kitu ambacho si kweli.Ukiingia mitandaoni watu wanabishana mpaka kutoleana maneno makali kisa vita...
  6. Sio utamaduni mzuri kushabikia utajiri na matajiri bila kujali wameupata vipi

    Utandawazi tunauvulia nguo na kuuoga kisawasawa bila kuzingatia misingi. Leo hii wananchi wengi wanapendezwa,kuhamasishwa,kutamani utajiri pamoja na matajiri hasa kwenye mali za kujionesha na kuona kila mtu anastahili kufika hapo Andiko langu limetokana na kuona video ya tajiri flani hivi mtu...
  7. Nimestaafu Rasmi Kujihusisha , Kushabikia, Kutoa Maoni, Kuhusu Siasa kwa Maudhui ya Tanzania

    Ndugu wana jukwaa naomba kipekee niwaombe radhi wote na nitoe taarifa yangu ya kustaafi kujihusisha na ujumbe au maudhui ya aina yoyote yanayohusu Siasa za Tanzania. Na sababu ya msingi ni kwamba bado jamii ya watanzania, Serikali na viongozi wake, vyama vyote vya siasa watu jawajakomaa...
  8. F

    Kwanini tunapenda kushabikia vita?

    Mimi siwaelewi watu wanaoshabikia vita kama vile ni Premier League. Hivi hatuelewi huko Ukraine, Gaza na sasa Lebanon watu (ikiwa pamoja na watoto) wanakufa, wanapata ulemavu na maisha yao kuharibiwa kwa kosa ambalo sio lao? Unahisi kabisa excitement ya watu wanapozungumzia mabomu...
  9. HIVI MTU UNAWAZAJE KUSHABIKIA TIMU MBILI KWENYE LIGI MOJA

    Huwa najiuliza hivi mtu unawezaje kushabikia mpira timu mbili kwenye ligi Moja Kuna jamaa Huku anashabikia Manchester united na arsenal hivi hiki kitu kinawezekanaje aisee maana jamaa na jeze za Kila msimu ananunua za man u na arsenal
  10. F

    Watanzania tuache kushabikia uvunjifu wa demokrasia, tutakuja kujuta baadaye.

    Pamoja na vyombo vya habari kupotosha taarifa nyingi zilizotolewa na wanachi kuhusu kutofurahishwa na nguvu kubwa ya kuzima maandamano, watanzania tunapaswa kujua kuwa tusipokuwa na upinzani imara nchi hii tutakuwa kama yatima, hapatakuwepo wa kututetea pale watawala watakapokuwa wanafanya jinsi...
  11. Nimeshindwa kushabikia mpira wa Tanzania

    Sijui Kuna watu wa aina yangu yaani nikiangalia mpira wa Tanzania naona kama uchafu Fulani hivi jumlisha na viwanja vyao wanavyochezea kama kwenye matuta ya viazi basi naona kama jalalani mfano hizi timu za simba na yanga naonaga watu wanabishana mpaka kutukanana na kununua vijezi vyao ambavyo...
  12. Ronaldinho Gaucho atangaza kuacha kushabikia timu yake ya taifa ya Brazil

    🇧🇷 Ronaldinho: “That’s it guys, I will not watch any Brazil game at the Copa América nor celebrate any victory”. “I’ve had enough. It’s a sad moment for those who love Brazilian football. It’s hard now to find the spirit to watch the games”. “It’s one of the worst teams in the recent years, no...
  13. Mkristo kushabikia au kuwa na upande vita vya Israel na Hamas ni matokeo ya ujinga wa maandiko

    Kushabikia Wayahudi au Waislam katika vita hivi ni matokeo ya ujinga wa maarifa. Wayahudi na waislam wote hawamjui Yesu. Wananyozidi kuuana wanaongeza idadi ya watu wa jehanam. Mkristo unatakiwa kuombea amani, na katika amani hiyo hao Wayahudi wasiomjua Yesu na Waislam wakiwemo hamas wasiomjua...
  14. Hivi unawezaje kushabikia hii Simba Mbovu?

    Poleni wana Lunyasi sijui mnawezaje kuishi maisha ya tabu na mateso kwa miaka 2 bila kombe lolote. Mimi nisinge weza aisa
  15. Niliacha kushabikia mpira nilipobaini Mpira unageuza Watu Wachawi!

    Asalamu alyekum! Niliacha kushabikia mpira miaka 10 iliyopita Baada ya kugundua kuwa Mpira unanigeuza kuwa wanga, mchawi na mwenye Roho ya husda. Nilikuwa Mshabiki wa Simba Kwa timu za ndani, Huko Ulimwenguni nilikuwa Mshabiki wa Liverpool. Lakini nikaja kugundua kila timu pinzani(namaanisha...
  16. R

    Kwa namna Gerson Msigwa alivyofanya propaganda issue ya mabehewa ya TRC naamini soon ataondolewa kwenye nafasi yake; alikosea Sana kushabikia makosa

    Nadhani wasemaji wa serikali katika sekta mbalimbali waanze kuwa wachunguzi kabla ya kutoka kusema. Issue ya mabehewa Gerson alikuwa na uwezo wakuwaachia TRC wapambane nayo kupitia Afisa habari wao lakini yeye alibeba Bango nakuwa mstari wa mbele. Leo hii Yale yaliyosemwa na jamii ndiyo...
  17. FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Kwa Mkapa hatoki mtu!! Hii ni kauli mbiu maarufu kwa mashabiki wa Simba Sports Club linapokuja suala la mechi za Kimataifa za CAF. Kwa kauli hiyo ashakufa Al Ahly, Orlando Pirates, As Vita, Kaizer Chiefs na wengineo na sasa ni zamu ya kufa Raja Casablanca. Nani anabisha? Kikosi cha Simba...
  18. Yanga akimfunga TP Mazembe naacha rasmi kushabikia mpira

    Ndugu zangu sioni ni jinsi gani Yanga atamfunga giant TP Mazembe hapo Jumapili. Kwa aina ya uchezaji wa Yanga wa kutegemea goli kipa afanye makosa ndio washinde siioni hiyo nafasi Jumapili.
  19. Kushabikia Mpira wa Tanzania Inatakiwa Uwe Mjinga kidogo

    Habari wanajukwaa. Nataka niseme hiki kitu leo sitaki kuonekana kama natukana watu la hasha ila leo wacha niseme kitu. Kwa mda Mrefu nimekua naona mambo yanayoendelea kwenye ushabiki wa Mpira wa Bongo hakika yana sikitisha mpaka nikafikia hatua ya kusema hii kauli kua KUSHABIKIA MPIRA WA BONGO...
  20. Zama hizi hutakiwi kuwa 'mshabiki' wa chama cha siasa kushabikia wanasiasa

    Kama huna maslahi ya moja kwa moja, kama kupata uongozi au posho za uchawa acha mara moja ushabiki wa siasa na kushabikia wanasiasa zama hizi. Ushabiki wa siasa itakufanya usione mabaya ya chama chako wala mazuri ya chama kingine. Masuala ya siasa ni muhimu kuliko mpira, usiyaletee ushabiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…