Hivi ndivyo polisi Tanzania wanavyouwa watu wakiwamo watuhumiwa wa u panya road.
Ama kwa hakika wao na mashabiki wao, Mwalimu ana maneno sahihi zaidi kwao:
Kushabikia #utopolo ni dhambi na wanaoshabikia lunyasi wazee wa Tanzania na Africa na wana julikana kote duniani kwamba muwakilishi wa Tanzania inajulikana simba pekee na hakuna kidume zaidi yao ukishabikia simba umebarikiwa hauna dhambi na tuna mzungu saivi hatari
#mashakasaidibeneumboyo
Tayari mapambano yameshaanza ulingoni ndani ya Uwanja wa Majimaji Mjini Songea, leo Jumamosi Julai 30, 2022:
Ndunguru ashinda
Bondia Usungu Ndunguru amefanikiwa kupata ushindi dhidi ya Bernard Chitepete katika pambano la awali. Wamepigana uzito wa Super Light, raundi 6.
Mtu kachapika TKO...
Mzuka wanajamvi,
Katika hali hii ya uchumi wa duniani kudorora na city kupanda bei kupitia maelezo ni kuwa muangalifu Sana katika matumizi, kusave na usalama wako na familia yako.
Uhalifu umeshamiri na vitendo viovu kama umalaya n.k. Huu siyo wakati wakujionesha kwenye umma una pesa nyingi au...
Leo hii tarehe 26/10/2021 mimi Chaliifrancisco nikiwa na akili timamu kabisa natangaza kusimama kufuatilia na kushabikia mpira wa hapa kwetu Tanzania. Kama nitakuja kushabikia tena sijui lakini itategemea na tathmini nitakazofanya mwenyewe nikiridhishwa nitaamua.
Sababu zilizofanya nifikie...
Kwa ufupi huko zamani enzi za uzee wangu sikuwa kabisa mpenzi wala mtu wa mziki kabisa. Lakini mwaka 2009 au 2011 hivi ndipo nilipoanza kufuatilia na kuupenda mziki lakini, hayo yote yalikuja baada ya kusikia mziki mmoja mkubwa sana kwenye moja ya daladala iliyokuwa ikipita pembeni yangu na...
Katika miaka michache niliyojaliwa na Mungu kuishi hapa duniani, nimeshuhudia mambo mengi kuwahusu ndugu zangu walioko kwenye uga wa siasa.
Kimsingi nimejifunza kwamba wanasiasa kwa sehem kubwa ni watu wanaofanana. Wanachotofautiana ni nyakati walizoishi, na majina ya vyama wanavyovipigania...
Waafrika Haipaswi Kushabikia Soka la ulaya "Uropa"
Waafrika wanapoteza wakati muhimu kutazama Ligi Kuu ya Uingereza, La Liga ya Uhispania, Bundesliga na ligi zingine za kandanda za Uropa. Wakati wanapuuza ligi zao za michezo.
Kwa sababu tumeambiwa kwamba kutazama mpira wa miguu ni jambo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.