SANAA YA VITA
XII: KUSHAMBULIA KWA MOTO
1. Su Tzu alisema: Kuna njia tano za kushambulia kwa kutumia moto. Ya kwanza ni kuunguza jeshi kwenye kambi yao. Njia ya pili ni kuchoma maghala ya adui, njia ya tatu ni kuchoma magari ya mizigo, njia ya nne ni kuchoma maghala ya silaha na ya tano ni...