Leo tujikumbushe kwenye historia ya nchi yetu tangu tulipoungana na wenzetu wa Zanzibar mwaka 1964.
1. Ni watu wawili tu wamewahi kushika madaraka hayo zaidi ya mara moja ambao ni Edward Sokoine na Cleopa Msuya
Edward Sokoine akishika madaraka hayo mwaka 1977 mpaka 1980.
Kwa mara pili...
Wengi huwa ni vijana wadogo tu wapo kwenye 20s hasa wahitimu wa degree na diploma.
ni tabaka tofauti na wauza simu wengine, wao hujitofautisha kwa kuuza simu zenye brand zinazotrend ulaya na marekani tu kama iphone, samsung na google pixel... Simu za kichina na vitochi hawauzi.
Simu hizo bei...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika amesema chama hicho kitahakikisha kinaimarisha majimbo yote ya Tanzania na Zanzibar ili kufikia dhamira ya kuiondoa CCM madarakani katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.
“Tuna dhamira ya kushika dola mwaka 2025, kutokana na...
Tumezoea kuona jambo gumu linapowakabili viongozi wetu, huwa kunatokea jambo lingine la kufuta sintofahamu iliyopo na watu kuhamia kwingine.
Unafikiri ni jambo gani au kituko gani kitaletwa kufuta fukuto hili la mabehewa?
Hii tabia ya kuivua nguo nchi yako kwenye MAJUKWAA ya kimataifa inasaidia kivipi kushika DOLA kwa mtu, hapa afrika Kila mpinzani aliwaunda serikali alitumia MAJUKWAA ya kimataifa KUISEMA vibaya nchi yake huko nje? Kwa upumbavu huu wakutokujali hadhi na heshima ya Taifa lako.
Ni Bora CCM...
Kumekuwa na haka kamsemo ka kizembe kuwa lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka. Huu ni upotoshaji. kwanza chama cha siasa ni kitu gani? chama cha siasa ni umoja wa watu wenye mawazo(Sera) zinazofanana juu ya kuendesha nchi. Mwanachama wa chama cha siasa lengo lake kuu ni kuona sera...
The power Game, Anaeweza kushika madaraka ndie yupo juu zaidi, Mfano kwa Nigeria kanda ya kaskazini wapo nyuma kielimu na kibiashara lakini linapokuja suala la Power wao ndio wameikamta na kuweza kuitumia kuwa juu ya kanda ya kusini mashariki walioshika biashara za nchi na kanda ya kusini...
Nasikia huko Zanzibar kimeumana!
Sijajua Othman Masoud na Rais Mwinyi kama wanatazamana usoni kwa sasa. Masoud anaonekana ni mtata sana hata akiwa ofisini sijajua anamshauri vipi Rais Mwinyi.
Kilichopo kwa ACT wamshukuru Maalim Seif kwa heshima yake suk imekuwepo. Hiyo haimaanishi CCM...
Kutokana na uhalisia wa kwamba Chama.Cha Mapinduzi kujikita kwenye siasa zenye malengo ya kuimaliza nchi ishindwe kuwa na uwezo wa kupata maendeleo ya kweli. Nimewaza sasa kutoa ushauri kwa vyama vya siasa hususani vya upinzani kuwapa mbinu za kufikia kutwaa dola kwenye chaguzi zijazo za...
Mwanariadha Gabriel Gerald Geay Ametutoa kimasomasokwa kushika nafasi ya 7 kwa muda wa saa mbili dakika Saba na Sekunde thelathini na moja (2:07:31) katika Mashindano ya Dunia ya Riadha, yaliyofanyika Oregon nchini Marekani tarehe 17 Julai 2022 Jumapili iliyopita.
Kwa upande wa Mwanariadha...
Ndio maana inaitwa simu ya mkononi kile ni kifaa cha matumizi yake binafsi sio matumizi ya familia.
Na unapekua simu ya mmeo ili ugundue nini? Ili iweje? Wanawake wengine bana!
Umbea tu na wivu ndio vinawasumbua.
Wahamiaji 14 wamefariki Dunia baada ya boti waliyokuwa wakiitumia kushika moto katika Jimbo la Kasamance Nchini Senegal.
Safari yao ilikuwa ni kuelekea Ulaya kupitia Visiwa vya Kanari vya Hispania.
Meya wa Mji wa Kafountine jimboni hapo, David Diatta amesema wamefanikiwa kupata mili 14 baada...
Habari wana jamvi...
Kuna sababu nyingi zinazopelekea mwanamke kutoshika mimba ikiwemo..
Uvimbe kwenye mirija ya uzazi
Homone imbalance
Magonjwa kwenye mfumo wa uzazi n.k
Kuna dawa itakusaidia wewe mwenye tatizo la kushika mimba ukitumia dawa matokeo utayaona ndani ya mwezi mmoja..
Itakusaidia...
ninatamani sana kuweza kufanya hili jambo maana kuna video ya megician mmoja anasogeza vitu bila kushika nani atanisaidia
Bado na search tutorial youtube
Kweli wanawake wengi wanadhani kuwa hawawezi kupata ujauzito kipindi wananyonyesha hasa kutokana na kutopata hedhi au kupata hedhi kidogo katika miezi ya awali tangu wajifungue.
Kitabibu ni sahihi kunyonyesha na ni mojawapo ya njia ya asili ya uzazi wa mpango ambayo watu wenye imani za kidini...
Taasisi ya Haki Miliki Tanzania COSOTA imetoa orodha ya Wasanii 21 wa Tanzania ambao wameongoza kwa kupata pesa nyingi za mirabaha kutokana na nyimbo zao kuchezwa kwenye sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye Radio na TV.
21. Ray C
20. Lady Jaydee
19. Abby Chamz
18. Luludiva
17. Mwasiti
16. Linah...
Tunajua mpo wengi ndani ya mjengo wa National Assembly. Maana ni karibu ya 98 % ya wabunge wote.
Japokuwa wengi mpo bungeni kimazabe mazabe baada ya uchaguzi mkuu wa 2020 kuwa na maluelue lakini hili la spika kuweni na Uzalendo.
Bunge haliwezi kuwa na spika ambae ataona staha kuisimamia na...
Kati ya vitu ambavyo Hayati Nyerere alivipinga sana ni pamoja na kabila kubwa kushika madaraka ya urais na hili alikuwa na sababu kubwa sana ambazo tumejidhihirisha katika kipindi cha awamu ya tano.
Nadhani wahusika mmejifunza pia na hamtarudia tena makosa mliyoyafanya miaka mitano iliyopita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.