kushika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    JamiiForums Tanzania Siku ya tano baada ya ndoa, mume "kapigwa marufuku kushika manyonyo na kutumia kidole" wakiwa faragha

    Ohoo! Kwa masharti haya, jamaa kamix kinoma. Anauliza kila mtu kuwa "huyu mwanamke karogwa nini?" Mke naye haelewi, anadai huo upuuzi wa kunyonya na kuyashika manyonyo yeye hataki kwa kuwa huwa unazeesha matiti. Na pia hataki kuchorongwa na kidole maana mdomo wa "kipochi manyoya" huwa...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Je watu gani hasa ndiyo wenyeji wa asili wa miji ya maka na medina huko Saud Arabia? je waliopo huko na kushika hatamu ndiyo wenyewe halisi?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Naomba wenye weledi mkubwa wa historia mtujuze. Niwatakie usiku mwema
  3. JamiiForums Tanzania Wazee mliochelewa kushika pesa tunaomba mtupumzishe

    Mhadhara - 35: Unamkuta mtu tangu amezaliwa ameishi maisha magumu, ugumu wa maisha umemtafuna kwa miaka 50. Anaanza kufanikiwa (kushika pesa) akiwa na miaka 51 baada ya kuuza shamba lake la miti. Sasa tazama vituko vyake mjini! Mnashangaa!! Huyu mzee mbona anafanya mambo ya kitoto mtaani ambayo...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna mtu yeyote anapata shida kushika ujauzito

    Hello guyz MTU yeyote anayepitia changamoto ya kushika ujauzito tuwasiliane . Nimeamua kufanya hivi kusaidia watu maana sisi ni familia. Sihitaji PESA ila ni kusaidiana. Hii ni tiba mbadala , anayo Bibi yangu Amekuwa akisaidia watu for years. Sasa nawaza kuna siku anaweza asiwepo hivyo...
  5. JamiiForums Tanzania Naombeni hekima zenu; Natafuta mtoto na mke wangu hajafanikiwa kubeba ujauzito

    Ndugu wana Jf natumaini mko salama ndugu zangu. Ndugu zangu katika vipindi vilivyopita ijulikane nilikua natafuta mke na Mwenyezi Mungu amenijalia nimepata mke na nimeoa. Ndugu zangu mimi na huyu mke wangu tulikua tunatafuta mtoto katika siku zake tulizo amini ni siku za hatari ila cha ajabu...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyabiashara wadogo 20s-30s waliotoboa wakifilisika ni ngumu kujirudi lakini wanaoanza kushika pesa kwenye 40s ni nadra kudondoka?

    Huwa kuna vijana wafanyabiashara wanapata upepo mkali wa pesa uelekeo wao wakiwa wadogo kwenye rika la 20s - 30s za mwanzo, Ghafla kuna kipindi inatokea biashara zinayumba nao huanza kudondoka kiuchumi, aina hii ya vijana ni ngumu kuwaona wanajirudi upya, wanaojitahidi kujirudi upya huwa wana...
  7. JamiiForums Tanzania Kushika Pesa, Kisha Zipotee Ghafla na Watu Wako Wapotee

    Utangulizi Usimamizi wa fedha ni ujuzi muhimu ambao unaweza kuamua utulivu wa kifedha na ubora wa maisha ya mtu. Nukuu, "Ushike hela, halafu zipotee ghafla na watu wako wapotee, ukizishika tena sidhani kama utakua mjinga tena 😄 Yaani watasimuliana namna umekua na roho mbaya," inafafanua kiini...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtifuano wazidi kushika kasi ndani ya CHADEMA

    UCHAGUZI wa kumtafuta Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa umeacha mtikisiko mkubwa ndani ya chama hicho kiasi cha viongozi wa chama hicho kutumiana meseji zenye maneno makali kupitia kundi lao la WhatssAp. Kinyang'anyiro hicho kilikuwa baina ya aliyekuwa...
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Elimu ni sawa na kushika kiwembe

    Elimu ni ufunguo wa maisha kama walivyosema wadau wa kale katika harakati za kuboresha na kushawishi upatikanaji wa maarifa na ujizi kwa njia ya shule. wazee wetu walipoambiwa elimu ni bora hawakusita waliuza hadi mashamba ili na sisi wanao tuweze angalau hata kuonja elimu bora iliyo na mfumo...
  10. JamiiForums Tanzania Toka tupate uhuru zonge la kijinai linaloitesa mamlaka ni kushambuliwa kwa lisu. Dola ijisafishe kabla ya upinzani kushika nchi.

    Mods huu uzi msiufute plz wala ku u merge. Shambulio la lisu ni teso kwa kwa dola. Wenye hekima litanzueni kwa akili kumbukeni muda hautasamehe hili jambo mpaka majibu yapatikane.
  11. JamiiForums Tanzania Coastal Union Fc wakipambana wanaweza kushika nafasi ya tatu

    Kwa mwenendo wa Ligi ambayo bado mbichi, endapo coastal union wakiongeza juhudi hakika wanaweza kushika nafasi ya tatu.KMC nao sio wabaya, Nafasi ya nne pia iko wazi kwao.Wapambane
  12. JamiiForums Tanzania Kama lengo la chama cha siasa ni kushika madaraka, kwa sasa CCM ndiyo chama chenye mafanikio zaidi Afrika?

    Nimesikia mara nyingi sana viongozi, hasa viongozi wa vyama vya upinzani wakisema kuwa lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka. Maana yake chama kikishika madaraka kinakuwa kimetimiza lengo lake kuu. Na kikiyashika kwa muda mrefu zaidi ndivyo kinavyokuwa kimetimiza lengo lake kuu kwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Je, viongozi kama Mwigulu wanavyoanza kuwaandaa watoto wao kushika madaraka wanatamani uongozi wa kiimla?

    Dkt Mwigulu Nchemba hivi karibuni alifanya ziara yake Wilayani Iramba na karibia sehemu zaidi ya kumi mwanae Isaac Mwigulu Nchemba alipata nafasi ya kuhutubia. Sehemu zote hizo mwanae huyo alikuwa amevaa mavazi mazuri sana ya CCM yenye gharama kubwa. Hakuna sehemu aliyotembelea aliyoonekana...
  14. JamiiForums Tanzania Shida ya kushika mimba na jinsi unavyoweza kutatua tatizo hilo kwa kutumia lishe

    1. Tunaendelea kudodosa yaliyomo kwenye kitachu Eating to Conceive by Lisa Olson. 2. Kazi yangu ni kufanya tafiti na kuwasilisha majibu kwa lugha tunayoishi nayo kila siku. Lengo tuelewe, tusikariri! Sitakagi mambo mengi. Tuendelee. Kanuni ya Pili: Kula Complex Carbohydrate na nafaka kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Alex Msama ni tapeli namba 3 wa Viwanja, ajisalimishe

    Promota wa Tamasha la Pasaka, Mtangazaji wa vipindi vya kwaya na Mgombea wa nafasi mbalimbali za uongozi huko CCM, Bwana Alex Msama ametajwa kuwemo kwenye 3 bora ya Matapeli Papa wa Viwanja DSM. ==== Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amemtaka Mkurugenzi wa Msama...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Wakati ni sasa kwa vijana kushika nafasi za uongozi

    Kutokana na dunia kwenda kwa spidi sana, wazee wetu wanaonekana kuwa nyuma na kushindwa kwenda na spidi ya mabadiliko ya teknolojia na siyansi; hivyo kudumaza/kuathiri maendeleo ya Taifa. Ni muda wa kuwashukuru wazee wetu kwa kazi waliyoifanya ya kujenga taifa hadi kulikisha hapa lilipo. Kuna...
  17. JamiiForums Tanzania Kwenye ulimwengu wa Waislamu, Rais Samia Suluhu ni Mwanamke wa nne Duniani kushika nafasi ya Urais

    Kwema Wakuu! Kama mjuavyo dunia hii ya mfumo Dume sio kazi rahisi kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu ya Urais. Sasa ni ngumu zaidi katika ulimwengu wa kiislamu kwa Mwanamke kushika nafasi ya juu hasa ya Urais. Lakini Tanzania inakuwa moja ya nchi za awali kuweka rekodi ya kihistoria hasa...
  18. JamiiForums Tanzania Ni ngumu kushika nafasi za juu ukishakuwa chawa

    Kwema Wakuu, Ukishakuwa Chawa katika siasa jihesabie upo kundi la wanyonge. Utawala unaanzia kwenye nafsi ya mtu. Ukifuatilia watawala wakubwa wa ngazi za juu hasa ufalme au Urais wanafanana tabia moja, kutokuwa Chawa. Ni rahisi sana mtu asiyechawa kuingia katika nafasi ya Urais au nafasi...
  19. JamiiForums Tanzania Historia ya Mkata utepe wa kisiwa cha kusadikika aliyepotea ghafla alikuwa akikabidhiwa majukumu mazito ya kushika usukani mwanzoni mwa kalenda mpya

    Alikuwepo Mkata utepe mmoja aliyetokea Magharibi mwa kisiwa cha Kusadikika alikuwa mpole, mnyenyekevu na asiye na makuu yeye alijua tu kufanya kazi katika wafalme mbali mbali wa kisiwa hicho kilichoko mashariki mwa bara la giza Umaarufu wa Mkata utepe ulivuma Sana alipopewa kazi ya kutunza...
  20. JamiiForums Tanzania Ewe Mwanamke ambaye baada ya tendo tu unakurupuka na kushika simu yako

    Unamkata mmeo/mpenzi wako stim. Haiwezekani yani mwamba kajitahidi kusukuma mashine hadi jasho linamtoka. Wewe punde tu unakurupukia simu na kuingia kwenye makundi ya vikoba. Unakata stim. Walau pretend.. pitiwa hata na kausingizi kakinafiki...legeza sauti na legeza macho, hii itamfanya mpenzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…