Wanajamvi habari poleni na hongereni kwa majukumu,
Bila kupoteza muda nielekeze hoja yangu ya msingi kulituhumu ili shirika la umeme kutokana na shirika hili kutokua na umakini hasa kwa wateja.
Yapo matatizo mengi ila ntaelekeza hoja katika manunuzi na mfumo mzima wa luku mfano tokea jumatatu...
Ameandika hivi kupitia twitter:
Tumekusanya matokeo ya uchaguzi katika vituo vyote 336 vya kupigia kura Jimbo la Muhambwe. Kura zetu, 41% ya kura zote, haziwezi kutupa Ushindi. Uchaguzi uliendeshwa vizuri. Kasoro kadhaa zilizojitokeza zisingebadili matokeo. Tunatumia uchaguzi huu kama Mafunzo...
Wanangu hamjamboni?
Sijui niuite usomi, ujinga, ukoloni wala sijui. Wakati akisoma utangulizi wa Kitabu cha Mzee Ali Hassan Mwinyi, Profesa Rwekaza Mukandala alishindwa mara mbili kutamka neno wahafidhina. Ingekuwa kashindwa kutamka neno la kimombo ungesikia stori kibao.
Je, hii inamaanisha...
Habari za Leo wapendwa,
Heri ya siku ya wafanyakazi duniani.
Wapendwa kwanza kabisa nikiri kwamba taifa letu bado ni changa na ili liweze kuendelea linahitaji kuajiri wataalam mbalimbali katika sekta mbalimbali.
Inashangaza sana taifa hili eti linashindwa kuajiri huu ni mkwamo mkubwa katika...
Yan uwe wewe ndo umeanzisha au mwenza ndo kaanzisha, the moment unamaliza kusema tuachane kinaanza kipindi kigumu sana, hakuna mwanaume wala mwanamke, sema ngoja nione mwisho wake.
Wasalaam wana wa Adam,
Kwanza kabisa napongeza sana hotuba nzuri ya leo ya Mhe Rais Mama yetu Samia Suluhu Hassan, ni maneno mazito sana ambayo yamelisuta bunge letu la jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Unaposutwa kubali kuwa unakosea sana na unachokifanya hakifai hata kuigwa na yeyote yule...
KWA NINI BENJAMIN MKAPA ALISHINDWA KUCHAPA TAAZIA YA ABDUL SYKES KATIKA THE NATIONALIST BRENDON GRIMSHAW AKACHAPA "OBITUARY" YA ABDUL SYKES KATIKA SUNDAY NEWS (TANGANYIKA STANDARD)?
Mgogoro wa EAMWS nimeueleza kwa kirefu katika kitabu cha Abdul Sykes.
Vyombo vilivyohusika katika mgogoro ule...
Sijui ilianza sukari, uhakiki, kodi za hovyo, makinikia, mbaazi, korosho, ndege vyote hivyo Rais wetu anashindwa vibaya sana na hii ni kutokana na one man show.
Ngoja niwapeni kuhusu mbaazi. Aliyekuwa msambazaji mkuu wa zao hilo kule kwa wahindi alikuwa Yusuph Manji. Serikali ikampiga stop...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.