Kifungu cha 29 cha sheria ya ushahidi ya Tanzania kipo wazi kabisa, kuwa mahakama haitakataa kupokea ushahidi wa mtuhumiwa kukubali kutenda kosa hata kama alipata vitisho, mateso na au bakshishi iwapo ni kweli alihusika, ila kama alipigwa na kuteswa na polisi wakageuza uongo uwe kweli hapo...
ZIJUE FAIDA ZA TANZANIA KUSHIRIKI COP 26
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoshiriki Mkutano wa ishirini na sita wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi. Mkutano huu unafanyika katika Jijini la Glasgow nchini Uingereza kuanzia tarehe 31 Oktoba mpaka...
Nimeana Zungu na wengine wameitisha mkutano kupitia Zoom kujadili kadhia ya machinga kuondolewa baadhi ya maeneo kwa lengo lakutaftiwa maeneo mengine.
Swali ninalotaka kujiuliza, hiki kiburi cha hawa viongozi kwenda Zoom kuwajadili machinga wanakitoa wapi?
Kwamba walishindwa kuwatetea Bungeni...
Habari JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kuna mradi wa afya umebuniwa na kampuni ya kitanzania, ila utekelezaji wake ni lazima upitie shirika au asasi ya kijamii.
Hivyo naomba mtu anayemiliki NGO au anafanya kazi kwenye NGO au ni mjumbe wa NGO au una mahusiano na NGO yoyote, inayoweza...
Haishauriwi kuvaa barakoa wakati wa kushiriki michezo au kufanya shughuli za mwili kama vile kukimbia, kuruka ili kutoathiri kupumua kwako.
Kuvaa barakoa wakati wa kufanya mazoezi inaweza kuwa jambo hatari. Hii ni kwa sababu, unapofanya mazoezi, mapafu yako yanahitaji hewa zaidi na wakati...
Wadau za Jioni.
Taarifa za ndani ambazo bado hazijawafikia walio wengi ni kwamba Barua za mialiko zinagonga mwamba huko. Jitihada za Tembo lakini Matokeo kisoda. Ni nini shida imewakumba Makolokolo FC.
Barbara Gonzalenz amekuwa hatulii kabisa siku hizi. Kila wiki ninakutana nae pale Julius...
Baada ya kusikia Bavicha wanafanya kongamano la Katiba mpya mkoani Mara , Mkuu wa Mkoa huo ameleta siasa za kishamba za kutangaza kuwa kesho ni siku ya usafi mkoani humo , na kwamba usafi huo utafanywa na vyombo vya ulinzi na usalama .
Hata hivyo Bavicha imetangaza kuunga mkono juhudi za usafi...
Ujinga sio tusi bali kutojua jambo fulani basi huenda ukawa mjinga katika jambo hilo.
Sasa wanataka kushiriki uchaguzi Jimbo la konde bila kutupa majibu ya maswali yafuayayo
1) Je, mmeahidiwa kupewa nakala ya fomu za matokeo kwa kituo na wakati wa majumuisho?
2) Je, mnaruhusiwa kuingia na simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.