kushoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Msaada maumivu tumboni na pande zote kulia na kushoto kupelekea ganzi mikononi na miguuni

    Habari ya muda huu ndugu wana jamii forum, mimi ni kijana wa kiume umri ni miaka 30. Nina shida ndugu zanguni naomba msaada wenu hata wa kimawazo maana sijui nianzie wapi. Ni hivi, kwa muda sasa yapata miezi 3 nimekuwa niki sumbuliwa na tatizo la kupatwa na maumivu maeneo ya tumboni japo sijui...
  2. N

    Msaada: Napata maumivu mkono wa kushoto shingo na mgongo

    Hanari wana JF Nasumbuliwa na maumivu ya shingo, mkono na mgongo. Maumivu hayo yapo kila muda ila kwa kawaida huongezeka zaidi ninapopata vistress au hofu ya kitu chochote. Nimetembelea hospitali mbalimbali kama Muhimbili, Mawen, St Cammillus, Mac Ren polyclinic Nimepima damu, moyo, x rays...
  3. A

    Napata maumivu juu bega la kushoto katika maungio

    HABARI Natumaini mpo salama kabisa hii post KWAAJILI ya watu wenye elimu zaidi ju la hili tatizo linalo nisumbua ivyo ningeomba mnipe ushauri kwa  AMANI kwa muda mrefu sasa nasumbuliwa na tatzo la maumivu katika bega langu la KUSHOTO ila alijavimba liko kawaida tu. Maumivu yake ni makali mno...
  4. paka chongo

    Maumivu upande wa kushoto chini ya mbavu

    Toka juzi nasumbuliwa na maumivu makali sana upande wa chini ya mbavu kushoto mwenye kujua dawa au tiba anisaidie jamani naandika nikiwa nimelala kitandani plz
  5. Chizi Maarifa

    Hivi kweli Katiba Mpya tutapata?

    Kizazi hiki wanazaliwa vijana wengi hawana akili.. yaani mtu unamkuta mzito wa akili anawaza mademu, kujichua, kubet, kushabikia. Vijana wengi wame opt ushoga, hawajagangamaa kama sisi miaka yetu, wamelegea sana. Yaani inasikitisha wanapita wanalamba lips na kubinua makalio. Vijana wameopt kuwa...
  6. FRANCIS DA DON

    Je, ni kwanini ukikata kona kulia gari inaenda kulia na si kushoto?

    Kuna rational gani katika hili, kwamba ukirudi reverse na ukakata kulia gari inaenda kushoto, why?
  7. Lexus SUV

    Napata maumivu makali sana kwenye magego ya upande wa kushuto, msaada wenu tafadhari

    Upande wa chini wa kinywa maeneo ya gego(meno makubwa) upande wa kushoto chini , ninapata maumivu makali sana , leo usiku sijalala kabisa , ni tiba ipi inafaa
  8. M

    Udhaifu wa misuli na maumivu mkono wa kushoto

    Jamani naomba msaada na ushauri kwenu, Mkono wa kusho unaniuma unakosa nguvu na mda mwingine unapata ganzi nakosa hamu ya kula na kichechefu Nimepima UTI na MARELIA vyote wamesema sina Naomba kujua inaweza kuwa tatizo gani au nitumie dawa gani inisaidie maana nateseka sana
  9. M

    Msichana mwenye bleach kichwani dela kikuku mguu wa kushoto na sendoz ya manyoya

    Wenye uzoefu na mabinti wenye type hiyo tupeni sifa na changamoto zao.
  10. Swahili AI

    Maana ya Mistari ya mikono ya kushoto na kulia, picha na decoding

    Usomaji wa alama za viganjani ulianzi nchini India na sasa ni maarufu sana duniani kote kama njia ya mtu kujua hatima ya mtu hapa ulimwenguni. Usomaji hufanyika kwa kuangalia mistari, umbo la kiganja na rangi pia. Mistari hiyo kama inavyoonekana kwenye picha hapo mwanzo inawakilisha vitu...
  11. Uhakika Bro

    Maajabu! Je, namna iliyo rahisi kukutanisha vidole kwako ni ipi? Kushoto/kulia?

    Maajabu ya Mungu kaumba watu wa jinsi/namna mbalimbali! Fanya tuone. UTAFITI: Kuna ambao wapo confortable kidole gumba cha kulia kikiwa juu, na wako ambao kile cha kushoto kikiwa juu ndio sahihi zaidi kwao. Fanya zoezi pichani kisha niambie je ni kushoto ama kulia?
  12. Torch

    Wahenga hawa ninkina nani? Anzia kulia kwenda kushoto

  13. Notorious thug

    Amkata mumewe korodani ya kushoto akiwa usingizini

    Songea. Helena Mchauru (40) Mkazi wa Mabatini Tunduru anashikiliwa na Jeshi la Polisi akidaiwa kumkata mumewe korodani ya kushoto akiwa usingizini. Akizungumza na Mwananchi kamanada wa polisi mkoa wa Ruvuma, ACP Joseph Konyo alisema tukio hilo lilitokea mwishoni mwa mwezi uliopita majira ya...
  14. Frumence M Kyauke

    Mambo ya kushangaza kuhusu matumizi ya mkono wa kushoto

    Watu wengi duniani hutumia mkono wa kulia kwa shughuli nyingi na si ajabu kwamba vitu vingi huundwa kwa kuwafikiria wanaotumia mkono wa kulia. Wanaotumia mkono wa kushoto husumbuka sana katika kutumia vitu kama vile mkasi, vitabu au hata kufungua milango. Fikiria pia kuhusu kipanya katika...
  15. L

    Nauza hearing aid kifaa cha kuongeza usikivu, pia inasaidia kupunguza kelele

    nauza hearing aid kifaa cha kuongeza usikivu , pia inasaidia kupunguza kelele maikion bei laki 4 dar gongolamboto 0684340704 sikio la kushoto
  16. T

    Kwanini pete ya ndoa inavaliwa mkono wa kushoto?

    Wengi wetu tunajua na tunaona pete za ndoa zikivaliwa na wanandoa katika kidole cha pili kutoka mwisho, mkono wa kushoto. Naomba nisaidiwe kujua, Je, ni kwa nini pete hiyo ya ndoa inavaliwa kwenye kidole hicho cha mkono wa kushoto na si kidole kingine kwenye mkono huohuo au mkono wa kulia...
Back
Top Bottom