kushtakiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stuxnet

    Nini kinachelewesha Kagame kushtakiwa ICC?

    Paul Kagame, kama Rais wa Rwanda, anaweza kuchunguzwa na kupelekwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwa madai ya ukatili unaofanywa na kundi la waasi la M23 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). ICC ina mamlaka juu ya mauaji ya halaiki, uhalifu wa kivita, uhalifu dhidi ya...
  2. Genius Man

    watu walio weka huu utaratibu wa mgombea wa chama tawala kujiundia tume huru wanapaswa kuchunguzwa na hata kushtakiwa

    Huu utaratibu wa mgombea wa chama tawala kuunda tume huru sio demokrasia napinga kwa nguvu zote inawezakana ni mbinu ya watu wasio watakia mema watanzania maskini ili kujinyakulia madaraka kinyume cha sheria kwa kujiteuwa wao wenyewe kwasababu mgombea huyu kuunda tume huru hakuwezi kuwa na...
  3. Lord denning

    Serbia paa la kituo cha Treni limeangua aliyekuwa Waziri kakamatwa na kushtakiwa, Tanzania kilijengwa kituo cha Mabasi Jangwani aliyekuwa Waziri kawa

    Uwajibikaji na kuwajibishana ni moja ya nguzo kubwa sana ya maendeleo. Huko Serbia aliyekuwa Waziri wa Ujenzi wakati wa Ujenzi wa Kituo cha Treni amekamatwa na kushtakiwa baada ya paa la kituo hicho kuanguka. Tanzania tunakumbuka aliyekuwa Waziri wa Ujenzi wakati wa Ujenzi wa kituo cha Mabasi...
  4. Allen Kilewella

    Tanzania ni kiongozi gani anaweza kushtakiwa kama anavyoshitakiwa Waziri Mkuu wa Israel?

    Mwendesha mashtaka wa Tanzania anaruhusiwa kushtikaviongozi gani wa Tanzania mahakamani? Tumeona huko Israel Waziri Mkuu wake Benjamini Netanyauh akishitakiwa mahakamani Kwa ufisadi. Hapa kwetu nani anaweza kushtakiwa kama hivyo?
  5. T

    Pendekezo: Waliobuni, kujenga na kusimamia mradi wa mwendokasi jangwani wakamatwe haraka na kushtakiwa kwa kuhujumu uchumi!

    Inaniuma sana kuona mimi raia wa kawaida kabisa nisiye na taaluma yoyote ya mambo ya ujenzi ninaweza kufikiri hatari ya kujenga pale jangwani kwani inajulikana kabisa kuwa ule ni mkondo wa maji iweje watu waliosomeshwa na kuishi kwa kodi zetu wakaaminiwa kama wataalamu na viongozi wetu wakajenga...
  6. J

    Uchaguzi 2020 Ushuhuda wa Deogratius Mahinyila, kijana aliyegombea Udiwani akaishia kushtakiwa kwa uhujumu Uchumi

    ..Ni wakili msomi Deogratius Mahinyila. ..anaeleza dhuluma aliyofanyiwa ktk uchaguzi wa 2020. https://www.youtube.com/watch?v=w8DGtcdh9qc
  7. Msanii

    Tetesi: Inasemekana Viongozi wa CHADEMA wanaenda kukamatwa na kutoachiliwa mpaka Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uishe

    Taarifa niliyopenyezewa na mtu mwema inasema kuwa, kuna amri kuwakamata viongozi wote wa juu wa CHADEMA pamoja na Dkt Slaa imetoka juu. Kuna uwezekano mkubwa wakapewa kesi itakayowatuliza ndani muda mrefu ili wasikiongoze chama kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika...
  8. Suley2019

    Pre GE2025 Mahakama yatoa kibali Wadau wafungue Kesi kupinga Ofisi ya Rais-TAMISEMI kutosimamia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Mahakama Kuu ya Tanzania leo September 09,2024 imesema kuwa waleta maombi kwenye shauri ambalo walikuwa wanaomba idhini ya Mahakama wana haki ya kufungua kesi kuhoji uhalali wa Sheria ndogo zilizotungwa kwa lengo la uratibu na uendeshaji wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa mwaka 2024 kupitia...
  9. JanguKamaJangu

    Alphayo Kidata na maajabu ya kuteuliwa, kutenguliwa, kuvuvuliwa na kushtakiwa

    Huyu ni mojawapo ya Binadamu niliopata kuwafuatilia kidogo, tangu niliposikia jina lake lilitajwa kuwa amepewa dhamana Nchini. Hebu Tazama; 👇🏾👇🏾 DISEMBA 2015 - Aliteuliwa kuwa KAIMU Kamishna Mkuu TRA akitokea nafasi ya Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi aliyoitumikia tangu Agosti 2013. MACHI 2016...
  10. Zakaria Maseke

    Nani ana uwezo wa kushtaki na kushtakiwa kisheria?

    Jambo la kwanza kabla ya kuamua kushtaki au kufungua kesi Mahakamani hakikisha una miguu ya kusimamia Mahakamani, kisheria tunaita LOCUS STANDI. Locus standi ni neno la kisheria lenye asili ya kilatini ikimaanisha maslahi au haki uliyo nayo au iliyovunjwa na mtu au taasisi na hivyo kukupa haki...
  11. Lady Whistledown

    Nigeria: Wanajeshi kushtakiwa kwa Kuua raia 85 Kimakosa

    Wanajeshi Wawili wanatarajiwa kushtakiwa kufuatia shambulizi la anga lililosababisha vifo vya raia 85, Desemba 3, 2023 katika jimbo la Kaduna, Kaskazini-Magharibi mwa nchi hiyo Shambulizi hilo linatajwa lilitokea wakati wa maadhimisho ya Kidini ambapo ndege ya Kijeshi isiyo na rubani iliyokuwa...
  12. Abdul Said Naumanga

    Je, Familia inaweza kushtaki ama kushtakiwa? Sheria inasemaje juu ya swala hili?

    Labda nianze kwakusema wazi kwamba kwa mujibu wa sheria zetu Tanzania, Familia haiwezi kushitaki wala kushitakiwa. Kuelewa zaidi juu ya swala hili, nikukaribishe kuisoma Thread hii. ANGALIZO: Thread hii inalenga kujibu swali la kisheria kuhusu uwezo wa familia kushitaki ama kushitakiwa...
  13. Lycaon pictus

    Hivi mtu akicheza rafu mbaya mpirani anaweza kushtakiwa mahakamani?

    Kuna zile rafu za makusudi na zilizodhamiria kujeruhi. Mtu akicheza rafu kama hiyo kwenye mpira wa miguu au mchezo wowote ule, anaweza kushtakiwa mahakamani kama mhalifu? https://www.instagram.com/reel/C5E8G_TsS26/?igsh=MXg3dzh1YTNrZ2xnNQ==
  14. M

    Raia wa Afrika Kusini wanaopigana gaza kushtakiwa. Je, watanzania wanaopigana gaza kufanywaje?

    Waziri wa Mambo ya nje wa Afrika Kusini Naledi Pandor amesema kuwa raia wa taifa hilo wanaopigania Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) huko Gaza watakamatwa watakaporejea nchini humo, shirika la habari la AP linaripoti. “Tayari nimeshatoa taarifa ya kuwatahadharisha wale ambao ni wa Afrika Kusini...
  15. Shining Light

    Kiongozi wa kundi la dini aliyekamatwa afanyiwe uchunguzi wa afya ya akili kabla

    Nairobi, Kenya. Mnamo Aprili mwaka jana, kiongozi wa kundi la dini nchini Kenya, Paul Mackenzie, alikamatwa baada ya zaidi ya watu 400 kugunduliwa wamekufa na miili yao kuzikwa kwenye makaburi ya pamoja. Jaji ameamuru Mackenzie afanyiwe uchunguzi wa afya ya akili kabla ya kushtakiwa. Wengi wa...
  16. D

    JE SIMBA SC WANAJUA KWAMBA MCHEZAJI BABACAR SARR NI MTUHUMIWA WA UBAKAJI ALIYEKIMBIA ULAYA BAADA YA KUSHTAKIWA..??

    Mhhh
  17. R

    Luhaga Mpina: Mwigulu Nchemba, Mbarawa, Mkurugezi wa TRC na wote waliohusika wakamatwe na kushtakiwa kwa makosa ya Uhujumu Uchumi

    Mpina akiwa anachangia hoja amesema kamati imekiri suala la kutumia mzabuni mmoja lilikataliwa na PPRA ambaye ndio msimamizi mkuu wa manunuzi nchini, lilikataliwa na bodi ya manunuzi, na walikataa sababu sheria za nchi za manunuzi ilikuwa inatekelezwa wakayti huo haziruhusu mambo hayo, lakini...
  18. Neter

    Niger: Mohamed Bazoum, Rais aliyeondolewa madarakani kushitakiwa kwa Uhaini

    ========== Wanajeshi walionyakua mamlaka nchini Niger katika mapinduzi ya Julai 26 wamesema jana Jumapili jioni kwamba Rais aliyeondolewa madarakani Mohamed Bazoum anaweza kufunguliwa mashitaka kwa uhaini. Viongozi hao wa mapinduzi wamemfunga Bazoum na kuvunja serikali iliyochaguliwa, kitendo...
  19. D

    Kinga dhidi ya kushtakiwa kwa Marais ni Sheria mfu

    Ndio, Uraisi ni Wadhifa nyeti Duniani kote na Raisi anapaswa kulindwa na mfumo na Sheria za Nchi akiwa ndani na hata nje ya madaraka. Lakini swali ni Je, Kinga za kisheria wanazopewa viongozi Hawa haswa Hawa Executive Presidents, zinalinda maslahi na madudu yao, au zina Linda maslahi ya Taifa...
  20. MK254

    Urusi kushtakiwa kwa kulipua ndege ya abiria ya Malaysia na kuua abiria 298 mwaka wa 2014

    Mdhulumaji Mrusi anasakamwa kote kote.... ===== The European Court of Human Rights has ruled that complaints against Russia from Ukraine and the Netherlands should go to trial. They pertain to the 2014 downing of commercial airline Flight MH17, among other things. The European Court of Human...
Back
Top Bottom