Makundi ya Upinzani, Chama cha Wafanyakazi na Wamiliki wa Biashara Wameandika barua ya madai kwa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Shirika la Serikali la Eskom, Andre de Ruyter, wakisema kuwa Shirika hilo inakiuka wajibu wake wa kutoa huduma ya umeme.
Pia, wameipa Serikali hadi Januari 20, 2022...
Serikali ya Gambia imesema itamfungulia mashtaka Rais wa zamani Yahya Jammeh ambaye hivi sasa anaishi uhamishoni nchini Equatorial Guinea kwa mauaji, ubakaji, utesaji na uhalifu mwingine unaodaiwa kufanywa wakati wa utawala wake wa zaidi ya miaka 20.
-
Wizara ya Sheria imesema kuwa Mei 25...
DPP na DCI wameweka mapingamizi manne katika maombi yaliyofunguliwa na Saed Kubenea, kupata kibali cha kumfungulia kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, aliyekuwa RC wa Dar es Salaam, Paul Makonda.
Mapingamizi hayo ni, Kubenea kutokuwa na maslahi na maombi hayo.
Pia soma
Mwanasheria: Hadi sasa...
Bunge lenu leo limejadili muswada wa sheria ambao unampa ruhusa askari polisi kufanya tendo lolote la jinai wakati wa kutafuta ushahidi anaotafuta katika operations (wameziita undercover operations) na hakuna kushtakiwa popote. Anaweza kubaka, kujeruhi na hata kuua.
Kama ambavyo kichwa cha habari kinaeleza, ni mwendo wa kutafuta haki zilizocheleweshwa kwa muda mrefu. Sasa Bwanamdogo kumfuata jamaa yake Sabaya.
====
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatarajiwa kufikishwa mahakamani muda wowote kujibu tuhuma za matumizi mabaya ya...
Arusha. Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, amedai hakumbuki kushtakiwa kwa kujifanya ofisa Usalama wa Taifa wala kuhojiwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Odira Amworo, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana, Sabaya alitoa madai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.