kusimamia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JF Member

    January Makamba anajisikiaje kusimamia Bwawa la Umeme la Nyerere?

    Ama kweli mchawi mpe mtoto akulelee. Hapo mwanzoJ Makamba akiwa kwenye mazingira alikuwa kwenye jopo la kuandaa report Uharibifu wa mazingira ya bonde la mto rufiji ambako bwawa la Umeme la Nyerere linajengwa. Katika report ile pandekezo yalikuwa ni kutojenga lile bwawa kwa sasa litaharibu...
  2. technically

    Wanasiasa watano waliokufa kwa kusimamia walichokiamini! R.I.P

    1: Julius Kambalage Nyerere Alikufa akiamini katika falsafa ya ujamaa na kuupinga Ubeberu mpaka dakika za mwisho za kifo chake!! baada ya yeye kufa panya wote wakatoka kwenye mashimo na kuanza kuuza nchi na kusababisha yote yanayotutesa leo ndiye mtu ambaye hakuiba hata mia ya Nchi hii akiwa...
  3. K

    Natafuta kazi ya kusimamia mradi wa biashara

    Habari za za leo watu jf mm n mkazi wa Dar, Nina miaka 24 mwanafunz wa degree bachelor of Economics and int trade. Niko China kimasomo, lakin kwasabb y corona, Bado tuko bongo turirud since 2020 niko naendelea n online studies. Lengo la kuandika ni kuwa naomba kazi yoyote y kusimimamia mradi...
  4. nguvusimba

    TBS na ubora wa vyakula

    Ni takribani miaka miwili sasa tangu serikali ya Tanzania kupitia bunge letu tukufu walipoamua kuliongezea majukumu zaidi Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kusimamia ubora na usalama wa vyakula. Awali, jukumu la usimamizi wa ubora na usalama wa chakula lilikuwa linafanywa na iliyokuwa mamlaka...
  5. Roving Journalist

    #COVID19 Serikali yaahidi kusimamia kikamilifu mkopo nafuu wa shilingi trilioni 1.3 uliotolewa na IMF kukabiliana na athari za UVIKO-19

    Na Ramadhani Kissimba, WFM, Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Ncgemba (Mb), amewahakikishia Wanzania kuwa Mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani milioni 567.3 sawa na shilingi trilioni 1.3 uliotolewa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa ajili ya...
  6. tzhosts

    Mfumo wa Kusimamia Biashara-ERP System

    Habari za wakati huu; Je wewe ni mmiliki wa biashara?kati ya hizi zifuatazo?Duka la Spear za Magari,Duka la Dawa,Duka la bidhaa anuai,Bar,Restaurant na Pub.Je biashara yako ina tawi zaidi ya moja?Je unahitaji mfumo wa kukuwezesha kutunza kumbukumbu za biashara yako na kukuwezesha kufuatilia...
  7. E

    Upo uzembe mkubwa kwa Serikali kusimamia fursa katika miradi ya maendeleo tuliyokopa

    Nimeenda mradi wa maji mmoja tunaoutekeleza hapa nchini kwetu kwa kutumia mkopo wa mabilioni kutoka "EUROPEAN INVESTMENT BANK" pamoja na AFD. Mabilioni haya tuliyakopa tunatekeleza mradi huo kwa kutumia kampuni ya kichina. Kampuni imeajiri wahandisi watanzania wanne na anayelipwa fedha nyingi...
  8. G

    Watu wenye uzoefu wa kusimamia na kuongoza miradi na shughuli za shirika lisilo la kiserikali

    Habari za wakati huu wakuu Naomba kuwasiliana na watu wenye uwezo na uzoefu wa kusimamia na kuongoza miradi ya shirika lisilo la kiserikali. Kwa wale watu ambao waliwahi kufanya kazi kwenye mashirika kama wafanyakazi ,wasimamizi ,viongozi nk, naomba tuwasiliane pls , Pia naomba ushauri na maoni...
  9. Mtini

    Serikali iunde chombo cha kusimamia biashara za mitandaoni ili kuziboresha na kupanua wigo wa walipa kodi pamoja na kuboresha huduma za posta

    Napenda kuishauri serikali iunde chombo cha kusimamia biashara za mtandaoni ili kuziboresha na kupanua wigo wa walipa kodi. Binafsi mimi ni mfanyabiashara wa online, kwa uzoefu wangu kufanya biashara online naweza kusema ni sehemu nzuri ya kufanyia biashara na inafanya iwe rahisi sana kwa...
  10. B

    Rais Samia, fedha za tozo ziundie chombo maalum cha kuendesha ujenzi -- achana na maono finyu ya wasaidizi wako

    Serikali imekusanya tozo ikatuambia kiasi kimefikia bilioni 48. Ni mwanzo mzuri. Lakini kilichonishtua ni namna zinavyokwenda kutumika; inauma Sana. Matumizi yake katika ujenzi wa shule na zahanati yameelezwa yatajikita kwenye mfumo wa force account, naamini hapa ndipo tatizo la kupanga na...
  11. Elisha Chuma

    Nahitaji kijana wa kusimamia akaunti zangu mtandaoni

    Nnahitaji kijana mwenye uwezo mzuri wa kutumia vizuri kompyuta, kwa kazi ya kusimamia akaunti zangu mtandaoni. Vigezo : Awe na kompyuta binafsi na uwezo wa kutumia vizuri mitandao ya kijamii Mahali : Awe ndani ya Dar es salaam, hasa jimbo la Kawe Mshahara : Tshs 150,000/= Ikiwa unajiona unafaa...
  12. Mawembasa1979

    Natafuta Bwana/Bi Shamba (Crop Production Specialist) wa kusimamia shamba kwa muda wa miezi 6 kuanzia Oktoba 2021

    Natafuta Crop Production Specialis wa kusimamia shamba langu lililopo Dodoma eneo la Zuzu nje kidogo ya Jiji la Dodoma. Shamba hilo ni jipya (halijawahi kulimwa) litaanza kulimwa kuanzia Oktoba 2021. Kazi ya kusimamia shamba hilo itaanza mwezi Oktoba 2021 na itaendelea kwa muda wa miezi 6...
  13. K

    Natafuta kazi ya kusimamia Famasi mkoani Morogoro

    Mimi ni mfamasia nipo Morogoro, nahitaji kupata famasi ya kusimamia ndani ya Morogoro. Mawasiliano: 0768320534
  14. Shujaa Mwendazake

    Mtaala wa Elimu ya Taifa unairuhusu TAMISEMI ngazi ya Mkoa kuratibu na kusimamia shughuli za Shule ikiwemo ratiba za masomo

    Habari Wanabodi! Ukisoma Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ukurasa wa 5 kuhusu Utekelezaji wa Ibara ya 146(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977) inayohusu ugatuaji. Katiba inatamka katika Sura ya Nane (kuhusu madaraka kwa umma), kwamba...
  15. Mmawia

    Huyu Askari alitusaidia sana kusimamia misingi na haki

    Chanda chema huvikwa pete. Huo ni msemo wa wahenga. Huyu mama askari polisi alitusaidia sana kwa kusimamia misingi na haki akiwa OCD katika wilaya mojawapo hapa Dar. Hakuwa mtetezi wa waharifu, hakuhalalisha rushwa wala kumung'unya maneno. Chonde chonde Rais Samia tuletee huyu mama atuvushe.
Back
Top Bottom