kusitisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lady Whistledown

    Kampuni ya kutengeneza Chip za Kompyuta ya Intel Corp kusitisha huduma zake Urusi

    Kampuni ya kutengeneza Chip za Marekani ya Intel Corp ilisema Jumanne kwamba imesitisha shughuli za biashara nchini Urusi, ikijiunga na makampuni kadhaa kuondoka nchini humo kufuatia uvamizi wake nchini Ukraine. Kampuni hiyo, ambayo ilikuwa imesitisha usafirishaji wa bidhaa kwa wateja wa nchini...
  2. Analogia Malenga

    Urusi yatishia kusitisha usambazaji gesi Ulaya

    Rais Vladmir Putin alihutubia taifa lake na kutishia kusitisha mikataba ya kusambaza barani Ulaya theluthi moja ya gesi ya Urusi kama hawatalipwa katika sarafu ya kirusi. Amesema amri hiyo inaanza kutekelezwa Aprili mosi. Rais Putin ametishia kusitisha mikataba ya kusambaza barani Ulaya...
  3. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Ushauri kwa Rais Samia: Kuliko kusitisha rasmi mchakato wa Katiba Mpya ni bora ungeuanzisha uendelee walau kwa muda mrefu

    Baada ya jana kupokea ile taarifa ya KAMATI ambayo KWA mawazo yangu wanakamati wameandika kile unachopenda kusikia na kukiona nikaona ni bora nikuandikie KWA mara nyingine KWA mstakabali wa afya ya siasa zako Baada ya kushika hatamu. Ni bora jana ungezindua rasmi mchakato wa katiba mpya na...
  4. Analogia Malenga

    Urusi yatoa masharti ya kusitisha vita Ukraine

    Urusi imesema kuwa inaweza kusitisha operesheni "wakati wowote" ikiwa Ukraine itatimiza masharti ya Urusi. Msemaji wa Kremlin Dmitry Peskov amesema Ukraine lazima itambue Crimea kama Urusi, na Donetsk na Luhansk kama mataifa huru. Mbali na hayo, Peskov anasema Ukraine lazima irekebishe katiba...
  5. S

    Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

    Rais Putin wa Russia kaeleza masharti yake juu ya kuimaliza vita yake inayoendelea na Ukraine wakati alipozungumza kwa simu jana na rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron. Mazungumzo hayo ya simu yalifanyika baada ya kikao cha mazungumzo ya amani kilichofanyika kati ya wajumbe wa Ukraine na Russia...
  6. Chendembe

    Nashauri Wizari ya Nishati kuielekeza TANESCO kusitisha kwa muda kupokea maombi mapya ya kuunganishiwa umeme

    Kutokana na mlundikano wa watu waliokwisha lipia gharama za kuunganishiwa umeme na kupelekea kusubiri kupatiwa huduma hiyo kwa muda mrefu, busara yangu inanituma kuishauri Wizara huska KUIELEKEZA TANESCO kuhudumia wahanga hao kwanza kwa muda utakaokadiwa vizuri kumaliza zoezi hilo. Haipendezi...
  7. lwambof07

    Ni upi umri sahihi wa kuacha kumuadhibu mtoto?

    Hello hello, Kulea ni jambo zito sana sio jepesi hata kidogo, katika kulea wazazi hukutana na changamoto nyingi sana ambapo kuna wakat hadi wanajiuliza kwa nini nilimzaa huyu mtoto hasa pale mtoto anapokuwa haambiliki hasikii, hapo kiboko hutumika sana kujaribu kumuweka sawa. Hivi ni wakati...
  8. Miss Zomboko

    #COVID19 Rwanda imetangaza kusitisha safari zake za ndege kwenda Afrika Kusini, Zambia na Zimbabwe

    Rwanda imetangaza kusitisha safari zake za ndege kwenda South Africa, Zambia na Zimbabwe na kurejesha masharti ya karantini ya siku 7 kwa wote wanaotoka kwenye Nchi hizi baada ya kirusi kipya hatari cha corona kugundulika South Africa wiki iliyopita.
  9. J

    Shaka Hamdu Shaka: Puuzeni propaganda za Serikali kusitisha mpango wa elimu bila malipo

    SHAKA: UUZENI PROPAGANDA ZA SERIKALI KUSITISHA MPANGO WA ELIMU BILA MALIPO Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema hakuna ahadi iliyotolewa kwenye ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025 ambayo haitatekelezwa ikiwemo mpango wa elimu bila malipo na utatuzi...
  10. Samcezar

    Mitandao ya simu imesitisha mabadiliko ya bei za Vifurushi

    Unajua hii haijakaa sawa kabisa na sio nzuri kibiashara. Haya ndio madhara ya kuchanganya siasa chafu za chama kisichojitambua uelekeo wake kiutendaji na shughuli serious za kiuchumi.
  11. T

    #COVID19 WHO yatoa rai kwa mataifa kusitisha utoaji wa chanjo za nyongeza kwa raia wake

    Mkurugenzi wa WHO ameziomba nchi tajiri kusitisha kutoa chanjo ya 3 ama booster ya Covid 19 hadi angalau mwezi October 2021 ili kutoa nafasi kwa nchi masikini angalau kuchanja 10% ya watu wao. Nchi tajiri zimeanza mpango wa kutoa chanjo ya 3 ama ya pili maarufu kama booster shots ili kuzipa...
  12. N

    Hongera kwa NEMC kwa kusitisha ujenzi wa nyumba ukingoni mwa mto Ndumbwi

    Huu mto Ndumbwi ndio mto unaoingia Bahari ya Hindi Sambamba na nyumba ya marehemu Gertrude Lwakatare. Ukingoni mwa mto huu karibu na nyumba hiyo vilibuniwa viwanja na matapeli wa ardhi wilaya ya Kinondoni na Kuwauzia watu walioanza kujenga kinyume na sheria za nchi kuhusu Mazingira. Kilio cha...
  13. Suley2019

    #COVID19 Covid-19: Singapore kusitisha kutoa takwimu za ugonjwa. Serikali yawataka wananchi kuishi nao kama mafua

    Serikali ya Singapore imetangaza kuwa itaacha kutoa takwimu za visa vya #COVID19 na kwamba muda umefika wa kuishi na ugonjwa huo kama mafua. Aidha, Serikali hiyo imesema itafuatilia wagonjwa waliozidiwa sana, na pia utoaji wa chanjo na ukaguzi/upimaji kwenye mipaka utaendelea. === As...
  14. SACO

    Baada ya tangazo la Rais Samia kusitisha retantion fee bodi kwangu imekuwa kiama

    NImekatwa miaka mingi hatimaye deni langu imebaki 15,000/= ndio ninayodaiwa. Nimeenda kuomba statement nilipe ili HR asitishe makato kwenye mshahara wangu sababu kwenye salary slip deni linasoma zaidi ya milioni 2 hivyo bila HR kutaarifiwa na bodi hawezi kusitisha makato. Majibu niliyopewa ni...
  15. beth

    Mashambulizi yapelekea Total kusitisha shughuli Msumbiji

    Ikiwa zimepita wiki kadhaa tangu Mji jirani kushambuliwa na Wanamgambo, Kampuni ya Total imesitisha shughuli za kuchunguza eneo kubwa la gesi Kaskazini mwa Msumbiji Kampuni hiyo kubwa ya Nishati imesema itaondoa Wafanyakazi wake wote kwasababu ya mwenendo wa hali ya usalama. Watu kadhaa...
  16. esther mashiker

    Rais Magufuli ataja sababu kusitisha ujenzi bandari ya Bagamoyo kwa Mkopo wa Dola Bilioni 10

    RAIS John Magufuli amesema sababu kubwa ya kusitishwa kwa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo ni masharti magumu yaliyomo katika mkataba wa utekelezaji wa kazi hiyo. Jiwe la msingi la ujenzi wa bandari hiyo liliwekwa na Rais mstaafu Jakaya Kikwete mwaka 2015 na ulitarajiwa kugharimu dola za Marekani...
  17. Bowie

    Hata Kusimamisha Mradi wa Bandari ya Bagamoyo Rais Magufuli aliokoa Taifa

    Mradi wa kujenga Bandari ya Bagamoyo ambao ulikuwa ugharimu dola bilioni 10 ulikuwa ni mzigo mkubwa sana kwa Watanzania. Watanzania tunatakiwa tumshukuru sana Rais Magufuli kusimamisha mradi huo la sivyo ingechukua miaka mingi sana kuilipa China mkopo wa ujenzi wa bandari hiyo ambayo isingekuwa...
  18. figganigga

    TBC1 yasitisha kuonesha baadhi ya Mikutano ya Bunge moja kwa moja (Bunge LIVE)

    Katika kauli za Mawaziri, Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye, ametangaza kwamba, Kuanzia tarehe 26 Januari mwaka 2016, TBC1 haitaonesha tena Mikutano ya bunge live kutokana na gharama za kuonesha live kufikia bilioni nne kwa mwaka. Badala yake TBC1 watarekodi na...
Back
Top Bottom