Habari za muda huu jamani,
Kuna mtu ananiambia tatizo la mimi mwalimu kukosa ajira serikalini, nisiilaumu serikali, bali tatizo lipo kichwani kwangu kwa kuitegemea serikali inipe ajira, na kushindwa kujiajiri.
Naomba msaada wa mawazo nijiajiri vipi kiasi ambacho nitaweza kukidhi mahitaji yangu...