Habari,
Selection zimetoka ambapo nimechaguliwa kusomea Medical Laboratory General Muhas na Bachelor of Pharmacy Bugando na Kampala University je nikasome course ipi kati ya hizo?
Kuna kijana alipata division one ya point 5 mwaka 2013 lakini akapata kujiingiza kwenye kutafuta pesa miataani.
Sasa amegundua solution ya maisha yake ni kusoma anapenda kuwa daktari lakini anaogopa umri.
Vipi wadau kwa huo umri anaweza soma mpaka kuwa daktari bingwa.
Habari wa kuu, kama swali lilivo ningependa kujua kama mtu ana GPA za lower divisions , kisha anakazana kusoma Masters mpaka PhD, kuna opportunities gani atapata maana tumezoea hayo kwa academicians...
Habari wakuu,
Naomba kujua ukiwa mtumishi wa serikali na ukataka kujiendeleza kupitia Open University of Tanzania ambapo bado utaendelea na majukumu yako ya kazi, ni lazima uombe barua ya ruhusa ya mwajiri ya kujiendeleza kimasomo?
Au unaweza kupiga kimya kimya tu haiana haja kama ya wale...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kumekuwa na ukatishaji ndoto kwa watoto na unyanyasaji mkubwa wa vipawa na machaguo ya watoto hasa pale wanapotaka kusoma au kufanya kitu ambacho mzazi anakichukulia ni duni au si kipaumbele chake.
Chukulia mfano mtoto aliyemaliza form four na akafahulu...
Nimegundua ipo nguvu kubwa sana katika kusoma kitu kabla ya kusaini. Nimeona Kampuni yetu ikifilisika kwa sababu tu ya CO mpya alikuwa ni mtu wazimamoto asiyejipanga kupitia anachosaini. Jamaa kasaini mkataba wenye mapungufu lukuki akiamini cabnet yake watasoma. Kabinet nalo likaamini Wataalamu...
Habari ndugu msomaji wa mtandau huu, karibu katika mfululizo wa makala zetu za kukuelimisha katika nyanja ya uwekezaji katika hisa. Leo ningependa kuzungumzia kuhusu namna na urahisi wa kusoma taarifa za fedha za Kampuni ambazo zimesajiliwa katika soko la hisa. Vile vile somo hili la leo...
Wadau ninamiaka karibu Sita mtaani bila ajira Rashmi japo nimejitahidi Sana kufanya shughuli zangu zingine za Computer maintenance niliojifunza mtaani japo bado kipato hakijitoshelezi.
Kilio changu ni hiki Cheti cha Degree sijui nikifanyie nini? Maana nimetumia nguvu kubwa Sana kupata alaf...
Elimu ni muhimu Sana ndiyo kauli ambayo ipo katika vichwa vya watu wengi ikiwemo watanzania Ili elimu iwe na Tija kwa kijana ni pale anapoitumia elimu yake katika harakati anazifanya kila siku.
Kwa Sasa elimu ya Tanzania inapoteza sofa ya kuwa na uzito uke uliokuwepo mwanzo.
Chanzo:Google...
Wazazi wengi mmekuwa kikwazo cha watoto wenu katika kufikia ndoto zao na malengo yao. wazazi wengi mnawalazimisha watoto wenu kufanya vitu mnavyovitaka nyie na sio wanavyovipenda wao .
Mnawanyanyasa watoto na kuwafanya waishi maisha ya kulazimisha sana katika jamii zao. Unakuta mzazi...
Natamani sana nami GENTAMYCINE nijue Kuongea Kiingereza kizuri kama cha akina Nyerere na Mkapa na siyo nije nikijue vizuri baada ya Kustaafu Majukumu yangu au niwe nakiongea kwa kutegemea Kuandikiwa kisha kila nikiwa nahutubia niwe 'nazuga' kwa Kukiongea kwa Sekunde Tano, nakunywa Maji na...
Wasaalam,
Wakuu kama kichwa cha mada kinavyosema.. Kijana wa PCB, aliyepata division 2.11 with physics-C, chemistry-D, and Biology-D! anaweza kupata nafasi ya kusoma degree ya pharmacy na kupata mkopo asilimia mia.. Kama sivyo je course gani nzurii yenye channels za kujiajiri na kuajiriwa...
Habari zenu wadau na mdogo wangu kapata div one point 8.
Chem-B
Phy-B
Bio-D
Anataka kusomea udactar je atapata na aombe vyuo gani ili afanikish ndoto yake
Habari ndugu zangu,
Mimi ni mwalimu wa hesabu na uchumi shule ya serikali nipo vijijin lindi,nilikua nahitaji kusoma CPA lakini review classes zote zipo maeneo ya mjini hasa Dar, pia hofu yangu ni je naweza kukubaliwa kusoma kwa miez kadhaa then nirudi kazini?
(I.e kusoma foundation 4 months)...
Amani iwe nanyi Wakuu,
Maisha ya sasa imekuwa adimu binadamu kumtendea wema binadamu mwingine. Imekuwa ni nadra sana kumsaidia mtu mwingine hata tu kwa mawazo. Yaani wivu, utapeli, chuki na mambo mengine mabaya yanayofanana na hayo imekuwa ndio sehemu ya walio wengi. Imekuwa ngumu zaidi kupeana...
John Munisi ni miongoni mwa Wahanga wa kwanza kabisa wa utawala wa Marehemu John Magufuli kufanya misa ya shukrani kwa lengo la kumtukuza Mungu kwa ajili ya Matendo Makuu aliyomtendea.
John Munisi ni Katibu wa Chadema wa Jimbo la Hai ambaye alitengenezewa kesi ya Ubakaji ya kumjaza mimba...
Nawashauri vijana UVCCM warudi kusoma siasa badala ya kukimbilia kutoa MATAMKO kwenye mitandao ya kijamii. Vijana UVCCM wamekosa Elimu ya siasa ambayo ilikuwa inawaanda kuwa viongozi wa baadae.
Wamekimbilia kutoa matamko mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii ambayo yanaonekana kama...
Kwema wadau na wanajamvi wote humu? natanguliza salamu.
Ni matamanio yangu kama mwanadamu tokea nikiwa mdogo kuingia kwenye hii career ya kurusha ndege. Nikasema anyway, nikimaliza chuo (nilimaliza mwaka jana B. Degree in Social Science), nikipata kazi nitadunduliza kidogo kidogo ndani ya hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.