Kama wazazi, tunapenda kuona watoto wetu wakijifunza mambo mapya. Si ajabu kumuona mama akimuuliza mtoto maswali huku akijua mtoto atatoa jibu la kufurahisha.
Zifuatazo ni baadhi ya mbinu ambazo zinaweza kukusaidia kukuza mtoto anayependa kusoma.
Panga kusoma na mtoto wako iwe ratiba ya kila...
Pesa nyingi mno inatumika wakati wa kusoma mfano zile laki 2 laki 2 za Kila semester kwa ajili ya clinical rotations
Elfu 50 kwa Kila somo utakalopata Sup pesa ya nacte Kila mwaka
Ada
Alafu anakuja kulipwa kamshahara kaduchuuu
Kabul, Watawala wa Taliban nchini Afghanistan katika hatua ya kushangaza na isiyotarajiwa, wameamua kutozifungua tena shule za wasichana na kwenda kinyume na ahadi walioitoa ya kuruhusu wasichana kusoma.
Uamuzi huo uliothibitishwa na afisa wa Taliban, unarudisha nyuma juhudi za Taliban...
Angalia sana haya mambo.
Utajifunza mengi juu ya Ulimwengu na uulize ukweli wake. Ukijua hakuna ukweli.
Utakuwa muongeaji sana kwenye karamu maandishi na hulali. Mpenzi wako ataondoka kitandani kwa sababu mazungumzo ya wapenzi yamekuwa jukwaa la mjadala wa kifalsafa. Yaani unakera.
Utakuwa...
Asalam Aleykum wanajukwaa!
Mimi ni mhitimu wa shahada ya elimu katika masomo ya Sayansi (Bachelor of education in Science).
Nimetafakari kuhusu kujiendeleza kielimu kwa ngazi ya masters degree nikaona hakuna ulazima wa kufanya hivyo kwa sasa.
Nmeamua kujiendeleza katika maeneo tofauti ya...
Habari wanaJF.
Siku hizi matangazo ya biashara kwenye kurasa nyingi za mitandaoni yamezidi - hadi kufunika ulichofungua kurasa kusoma. Matangazo mengine yanafunguka katikati ya shughuli. Iko njia ya kusoma hizi kurasa bila bugudha kwa kutumia mfumo wa browser READER'S MODE. Browser ni...
Habari za siku nyingi kidogo, ni muda sasa kutokana na majukumu ya hapa na pale sikuweza kuleta hata uzi mmoja hapa JF!
Wanajamii, kama Heading inavyosema nina mawazo mawili kinzana katika kuongeza elimu.
Kwa kuanzia kabisa mie nina Bachelor ya Civil Engineering ambapo nafanya kazi kwa mkataba...
Hello everyone , how is yr weekeeeend going ? Okay, wakati wanachadema wakiwa na furaha na shamla shamla za kiongozi wao mbowe kurudi uraiani basi na mimi bila ya kupoteza muda wala kupepesa macho ningependa niende moya kwa moya kwenye mada .
Imezoleka saaaaana katika jamii kwa sisi wanaume...
Kiingereza cha watanzania wengi kinawasaidia na kinaishia kwenye kuandika status, kuelewa kilichoandikwa kwa kiingereza mfano magazetini na pale kinapotumika kuongea kwa kufatiliza maneno ambayo yameshaandikwa kwa mpangilio kwamfano kutoa hotuba kwa kufatiliza speech iliyochapishwa kwenye...
Uzi huu upo kwa ajili ya madhumuni ya kujifunza, Lengo ni utambue hatua za ziada za kuzifuata ili uweze kulinda gari lako.
Zipo Tech nyingi ambazo zinatumika kwenye wizi wa magari, Hapa nazungumzia tech ambazo mtu anaweza kuwasha na kuondoka na gari lako kwa muda usiozidi dakika moja.
Tech...
Wakuu nafanyeje, naomba ushauri
Nimepata connection kuna jamaa yangu flani yeye anasoma huko nje ananiambia wanasoma wanalipwa kila mwezi around 3M za kitanzania, ananiambia na mimi nikitaka nafasi napata.
Ila tatizo mimi nimeajiriwa serikalini,na ruhusa sio rahisi kupata.
Je niache kazi...
Kijana unatumia Miaka 17 kutafuta elimu na kujiongezea maarifa lakini baada ya kumaliza muda huo unasubiri serikali ikupe ajira.
Wewe ambaye unasubiri kuajiriwa nakuuliza je hukuwa na pan B? Kama huna elimu uliyopata imekusaidia nini?
Wale uliotoka nao darasa 1 wakaishia katikati leo wana...
Ikiwa ni wiki chache zimepita tangu serikali iweke marufuku ya wanafunzi kusoma wakati wa likizo ili wapate muda wa kupumzika na kujifunza stadi mbali mbali za maisha wakiwa nyumbani, spika Job Ndugai amepinga vikali zuio hilo akidai kuwa linachelewesha maendeleo.
Spika Ndugai amesema wananchi...
Wale ambao mmewahi kusoma, kuishi, kujuana na watu maarufu kama wana muziki, wacheshi, waigizaji, wanamichezo, n.k watu Maarufu, maisha yao yalikuwa vipi kipindi hicho mkiwa shule mliyosoma, mtaa mlioishi, katiba urafiki ama kujuana kwenu, n.k
Binafsi niwe mkweli tu, sina mtu niliewahi kusoma...
Mzuka wanajamvi!
Kuna mtanzania yoyote kweli amewahi kuwa admitted kusoma undergraduate degree courses kwenye hivi vyuo kweli? Oxford, Cambridge, Havard, MIT, YALE, Stanford na John Hopkins?
Nasisitiza UNDERGRADUATE DEGREE siyo masters ama PhD.
Na kama yupo/wapo anastahili tuzo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.