kusoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GoldDhahabu

    Unajua kwanini Wazungu wanapenda kusoma vitabu?

    Waafrika wanasoma vitabu, lakini Wazungu wana wasomaji wengi zaidi kuzidi Waafrika. Kwa Wazungu, usomaji wa vitabu ni kama sehemu ya maisha ya wengi wao. Unajua ni kwa nini? Naamini ni kwa sababu wamelelewa hivyo! Walijengewa hiyo tabia tokea wakiwa wadogo sana. 1. Wanaweza wasiwe wote...
  2. Mr Mlokozi

    Je, twisheni za mtaani kipindi cha likizo zinawasaidia Wanafunzi au zinawapoteza?

    Kuna baadhi ya walimu kati shule kadhaa hawataki kabisa kusikia wanafunzi wao wanaenda kusoma tuisheni kipindi Cha likizo wakidai kwamba zinapoteza na kuvuruga uelewa wa kile alichowafundisha (Hawa hawaamini katika tuisheni za mtaani). Pia Kuna walimu ambao wanawapa wanafunzi wao maelekezo ya...
  3. Gol D Roger

    Top 10 za shahada za vyuo vikuu ambazo wahitimi wanajuta kusoma.

    Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya hizi kozi. 10. English Language and Literature Degree (hii sio Bachelor of Education) 9. Biology...
  4. stephenga

    Nina mpango wa kusoma PhD nje ya nchi

    Guys nina plan ya kusoma PhD nje ya nchi lakini nikitegemea zaidi nipate udhamini. Ningependelea kusoma nchi za ulaya au America kutokana na quality ya elimu yao pamoja na fursa, haswa Nordic countries. Najua umu kuna watu wanaelewa vizuri wengine wana practical experience namna ya kupata...
  5. G

    Binamu yangu ana matatizo? Baada ya kusoma mwaka wa kwanza chuoni akiwa kwangu nimemwacha huru aishi gheto lakini nasikia hakuna binti kawahi kuvusha

    Ni mwaka jana huyu binamu yangu alianza degree alikuwa anaishi kwangu kwasababu ni karibu na chuo pia alikuwa mgeni kwenye mkoa. Niliona namnyima uhuru wa maisha yake ya kimapenzi maana chuoni ndiko wengi tuli experience mapenzi kwa uhuru, nikamruhusu aende kupanga awe na gheto lake, uzuri ni...
  6. M

    Mwanangu amepangiwa kusoma Mining Engeneering lakin yeye anataka kusoma Computer Engeneering, nifanyaje?

    Habari zenu wakuu? Nina mwanangu amemalz o-level na amepangwa Mining Engeneering na TAMISEMI lakini yeye hataki anataka asome Computer Engeneering. Je, nimuache asome anachoktaka ama aend 2 huko alipopangiwa na TAMISEMI?
  7. Action and Reaction

    Mtifuano mkali kati ya Wizara ya Afya na vyuo vya afya juu ya kubadili qualifications za kujiunga pharmacy ngazi ya cheti

    Mshikeshike, mtifuano unaendelea kuhusu kubadili sifa za kujiunga na astashahada kutoka D mbili za Chemistry na Biology kwenda C mbili au zaidi za Chemistry na Biology! Kiukweli, sifa zinazopendekezwa na serikali zitaathiri vyuo vya afya vinavyotoa hii kozi! C mbili za Chemistry na Biology ni...
  8. Genius Man

    SoC04 Shule za msingi za serikali zifundishe masomo yote kwa lugha ya kingereza ili kuwatengeneza watoto wanaojua kusoma na kuandika lugha hiyo

    Ni wazi unakubaliana na mimi kuwa kwa asilimia kubwa watoto wengi wanaosoma shule za English medium ni watoto wanaojua kusoma na kuandika lugha ya kingereza kuliko wale wanaosoma shule za msingi za serikali, kwa kweli watoto wanaosoma English medium ni watoto wanaojua sana kingereza hasa kwenye...
  9. Ngufumu

    Kozi 11 za afya za kusoma mwaka 2024/2025

    Hizi hapa Fani 11 za afya za kusoma mwaka 2024/2025 Kwa kutambua tatizo sugu la ajira nchini hizi ni Fani za Afya ambazo kwa mujibu wa Hotuba ya Bajeti ya wizara ya Afya 2024/2025 zitakuwa na uhitajio/Demand kubwa hapo mbeleni Hivyo basi unaweza kumshauri mtoto au ndugu yako kusoma kwa kufuata...
  10. IBRA wa PILI

    Fresh mwambuli akauza mifugo mpenzi aende japani kusoma

    Wakenya katika mitandao ya kijamii wamechangamkia sana wimbo wa Stella Wangu wa mwanamziki mashuhuri wa humu nchini Freshley Mwamburi. Wamechangamkia wimbo huo wakikumbuka leo hii ni tarehe 17 mwezi wa tano mwaka wa 1992 mpenzi wake wa Kenya, Stella, aliposhuka kutoka kwa ndege na mchumba wake...
  11. U

    Muufti akabidhi tiketi kwa wanafunzi 41 wanaokwenda kusoma elimu ya dini ya kiislamu Morocco

    Wadau hamjamboni nyote Taarifa kamili hapo chini: Hatimaye Samaha Mufti wa Tanzania Dr. Abubakar Zubeir Ali Mbwana jana Jumanne amekabidhi tiketi kwa wanafunzi wanaokwenda kusoma elimu ya Dini ya Kiislamu nchini Morocco kupitia Skolashipu alizoziomba kwa mfalme wa Morocco. Ukumbi wa Mfalme...
  12. G

    Router za dukani ni bei kubwa, kuna mtandao wa simu unaouza router za huawei zinazoweza kufunguka kusoma lain zote ??

    router za dukani ni gharama kubwa sana almost laki na kitu. Router za mitandao ya simu huwa wanauza kwa hasara ama bila faida wanategemea mteja utafidia kwenye vifurushi. Ni mtandao upi wa simu kwenye maduka yao wana router za huawei ? Nimechagua huawei sababu kuna features nyingi na support...
  13. Webabu

    Wanafunzi wa vyuo vikuu Marekani wakaribishwa kusoma Iran na Yemen kama watafukuzwa kwa kuandamana

    Vuguvugu linaloendelea nchini Marekani kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana kuhusiana na vita vya Israel na Palestina limeingia hatua nyengine baada ya viongozi wa Iran na Yemen chini ya Houth kutoa nafasi kwa wanafunzi wa vyuo hivyo kama watafukuzwa kwa kutekeleza wajibu wao wa kidemokrasia...
  14. G

    Biashara nyingi zinazofanikiwa Tanzania ni ushirikiano wa familia na ndugu wa karibu, bila hii silaha unaweza kuichukia biashara, heri ujaribu ajira

    Mifano ni matajiri wengi tunaowajua kina Mo, Bakhresa, GSM, ni biashara za familia na ndugu wa karibu, ni team work. Pia kwa upande wetu watanzania wa asili ukienda kwenye masoko makubwa utawakuta wengi wanaofanikiwa ni biashara za familia na ndugu wa karibu wanapambana pamoja, ukienda ofisi...
  15. sonofobia

    Nataka kusoma PhD: naombeni mawazo yenu

    Wasalaam! Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye elimu ya degree mbili, bachelor of education na masters of public administration. Ila maisha yangu yote nimefanya kazi kwenye sekta ya elimu nilianza kama ticha baadae nikaamia kwenye development projects za education. Kwa sasa nipo free, nimepata...
  16. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Gwau: Kusoma kwa bidii ni kuishi kwenye ndoto zako

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia Gwau ameshiriki Mahafali ya kidato cha sita Shule ya sekondari ya wasichana Tumaini iliyopo Kinampanda Wilaya ya Iramba akiwa mgeni rasmi wa mahafali hayo. Katika mahafali hayo, Mhe. Martha Nehemia Gwau aliambatana na wageni mbalimbali...
  17. O

    Kuna ulazima wa kuanza Certificate kama unataka kusoma Diploma?

    Wakuu habari za majukumu. Naomba kuuliza kama Kuna ulazima wa kuanza na certificate kwa mtu mwenye matokeo ya o level Physics-C, Chemistry B na biology-B na anataka kusoma diploma in clinical medicine
  18. Optimists

    Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    Wakuu baada ya kuchakata mawazo mengi sana, kuanzisha biashara au kwenda kusoma, Kwa Sasa Sina familia yoyote age miaka 26. Nimeweza na kung'amua mambo yafuatayo. Kigoma ni sehemu ngumu kidogo kwa kufanya biashara nimeona hii hela yangu million 15 niiweke bank kwanza isije kupotea, nimewaza...
  19. MK254

    Msanii Diamond ashambuliwa kwa kusoma Biblia

    Yale yale, ukisoma comments za kwenye hii video yaani utadhani jamaa sijui kaua au kafanya nini yaani, watu wanaishi kimajungu majungu na hasira za kufa mtu. Mfuasi yeyote wa dini ya Kiislamu akisikika kataja chochote cha dini nyingine wanamjia juu balaa.
  20. hermanthegreat

    Hivi ni kweli kusoma vitabu kunaweza kubadilisha maisha ya mtu? una ushahidi wowote?

    Wakuu habari, Kwanini watu waliowahi kufanya makubwa hawakufanikisha hayo kupitia kusoma vitabu. Unakuta mtu anasoma kitabu cha How to influence people lakini hadi anakimaliza hana influence yoyote. Mtu anaandika kitabu cha how to get rich fast afu pesa ya kuchapisha hicho kitabu amekopa...
Back
Top Bottom