Ndugu zangu watanzania,
Nashindwa nianze na lipi juu ya kumuongelea Rais huyu shupavu, Hodari, Mahiri, mnyenyekevu,mwenye moyo wa upendo,huruma na ukarimu, Msikivu na mwenye Subira, madhubuti na Imara, mwenye msimamo na asiye yumba, mwenye Dira na muelekeo sahihi, mwenye Sera na ajenda za...