Ni wakati gani hasa utakua muafaka zaidi kwa Joseph Selasini kuanza kupewa heshima na kutambuliwa kama mwenyekiti mpya wa Chadema Taifa?

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
51,453
Reaction score
41,274
Tusibiri vikao vya Chama vya kumsimika rasmi au tusibiri mapinduzi tukufu halafu tukutane mahakamani?

Kuna haja ya kukumbushana kidogo juu ya katiba ya chadema kuhusu nafasi ya mwenyekiti wa taifa au baada ya nafasi kujazwa?

haiwezekani mtu awekeze pesa, muda wake meingi na maisha yake yote kwa zaidi ya miaka 20, halafu from no where vibaka wa kisiasa ambao hawana mbele wala nyuma katika maisha, waje wanyakue tonge mdomoni. Chama ni lazima kirudi nyumbani kaskazini, iwe mvua liwe jua 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Ukikua utaacha, na kama ndio kodi zetu zilikusomesha. Ni matusi makubwa sana kwa hili taifa.
kwa wakati muafaka,
utabaini mwenyewe kwamba siasa ni sayansi sio mihemko na makasiriko useless na kuamini dhana potofu kama unavyofikiria.

siasa ni maisha ya kujipanga vizuri tu na unatoboa kiulaini.
Joseph Selasini anakwenda kua mwenyekiti wa chadema taifa na hakuna wa kuzuia azma yake hiyo muhimu sana katika siasa za Tanzania 🐒
 
🚮
Wee chawa,
Huyo 30 akiwa mwenyekiti wa ccm taifa inatosha
Gentleman,
ni muhimu sana kujiandaa kisaikolojia kuhusu mabadiliko hayo ya uongozi wa juu wa chadema taifa, right?

hapatakua na mzaha kwenye hilo la kukirejesha chama kaskazini 🐒
 
Tusibiri vikao vya Chama vya kumsimika rasmi au tusibiri mapinduzi tukufu halafu tukutane mahakamani?

Kuna haja ya kukumbushana kidogo juu ya katiba ya chadema kuhusu nafasi ya mwenyekiti wa taifa au baada ya nafasi kujazwa?

haiwezekani mtu awekeze pesa, muda wake meingi na maisha yake yote kwa zaidi ya miaka 20, halafu from no where vibaka wa kisiasa ambao hawana mbele wala nyuma katika maisha, waje wanyakue tonge mdomoni. Chama ni lazima kirudi nyumbani kaskazini, iwe mvua liwe jua 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Rubbish 🚮🚮🚮
 
Wewe chawa wa chama cha mafisadi, watekaji, wauaji, majizi, ... mambo ya Chama Kikuu cha Siasa Tanzania yanakuhusu nini?
 
hizo porojo useless haiwezi kuzuia mabadiliko makubwa ya uongozi wa Chadema taifa.

Chama lazima kirudi nyumbani kaskazini 🐒
 
Rubbish 🚮🚮🚮
Calm down plz gentleman,
chadema must be back home, and the man on a mission has already arrived at a mission center,

it's just a matter of time 🐒
 
Tusibiri vikao vya Chama vya kumsimika rasmi au tusibiri mapinduzi tukufu halafu tukutane mahakamani?

Kuna haja ya kukumbushana kidogo juu ya katiba ya chadema kuhusu nafasi ya mwenyekiti wa taifa au baada ya nafasi kujazwa?

haiwezekani mtu awekeze pesa, muda wake meingi na maisha yake yote kwa zaidi ya miaka 20, halafu from no where vibaka wa kisiasa ambao hawana mbele wala nyuma katika maisha, waje wanyakue tonge mdomoni. Chama ni lazima kirudi nyumbani kaskazini, iwe mvua liwe jua 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
Kabla ya kumpa yeye tutaanza na wewe kwanza.
 
Sialikuja hapo mnapobaguana mkambagua sasa kaongoka wengine mnalia!
kwasababu J.ana akili sana,
ameona chadema kuna ombwe la uongozi wa kitaifa na kwahivyo amekuja kujaza nafasi ya mwenyekiti wa chadema taifa, okay?

ni muhimu kujua hiyo ambayo wafuata mkumbo hawajui na hawawez kuona ikija gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom