kutapeliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyamwage

    Nilivyonusurika kutapeliwa milioni yangu ya kwanza kuishika hapa duniani

    Habari Hii ni pesa yangu ya mara ya kwanza kuimiliki nikiwa under 18 sikuipata kwa mkupuo hapana nilidunduliza kidogo kidogo kutokana na kibarua nilicho tafutiwa na mzee wangu Huyo tapeli tulikua tunawajibika wote katika kibarua hicho pia alikua na urafiki na mzee wangu wakikutana wanapiga...
  2. benzemah

    Rukwa kinara wa kutapeliwa kwa njia ya simu

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, (TCRA), imetoa takwimu za maeneo vinara ya utapeli kwa njia ya simu ikionesha kuwa mkoa wa Rukwa ni kinara kwa wananchi wake kutapeliwa Katika kipindi cha robo ya mwisho ya mwaka uliopita 2022, kuanzia mwezi Oktoba 2022 hadi mwisho mwa mwezi Disemba matukio ya...
  3. BARD AI

    Mawakili wa Makonda na Le Mutuz waomba kumtafuta aliyedai kutapeliwa Range Rover

    Suala la Uraia wa Mfanyabiashara Patrick Kamwelwe limeibuliwa Mahakamani kwenye kesi ya Utapeli inayowahusu aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na William Malecela (Le Mutuz). Mawakili wa Makonda na Le Mutuz wamedai kuwa wameshindwa kumpata Kamwelwe anayetaka kulipwa Tsh...
  4. V

    Jaribio la kutapeliwa leo

    Habari wanajukwaa. Leo nimepigiwa simu kutoka namba +255673099097, mpigaji akijitambulisha kuwa anafanya kazi makao makuu ya vodacom. Nilivyosikia hivyo tu, nikajua matapeli hawa. Basi nikajifanya mjinga kwenda naye taratibu ili asishtuke. Alisema kuwa kuna mtu katuma pesa kwenye account...
  5. J

    DOKEZO TAMISEMI ingilieni kati sakata la walimu kutapeliwa na Afisa Elimu wao huko Katavi

    Walimu waliofanya kazi ya kusahihisha Mtihani wa Kidato cha Nne Kanda ya Nyanda za Juu mwezi Julai mwaka 2022 hawajalipwa pesa yao hadi leo na wamekuwa wakipewa ahadi hewa na bosi wao ambaye ni Afisa Elimu wa Mkoa wa Katavi. TAMISEMI wasaidieni walimu walipwe haki yao maana inaonekana kama bosi...
  6. APPROXIMATELY

    Nilitaka kupigwa Kalynda ila nikastukia

    Hii ishu niliisikia kwa aunt,toka mwezi wa 6 hivi, nikajiunga vinzuri ila ishu ilikuja pale nilipotaka kuweka pesa, kila nikisema ngoja nikaweke pesa nakuwa bize napotezea. Nikaipotezea kama miezi 2, mwezi wa 8 aunt akanionyesha ela zake kwenye account duuh account imeshiba kinoma inakama...
  7. M

    Umewahi kunusurika janga lolote au umekwepa kutapeliwa au kuibiwa kwa bahati au uwezo wa Mungu? Toa simulizi yako hapa

    Kuna siku nilipigiwa simu na mwanamke simfahamu na namba ngeni, akaniita jina fulani (Sio langu) nikamwambia umekosea namba, akakata simu. Wiki chache baadaye akapiga tena, mara hii akataja jina langu kabisa, ninapoishi na hata ninapofanyia kazi, akaniomba nikutane naye mahali kwa mazungumzo...
  8. 6 Pack

    Mwaka 1989 ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kutapeliwa jijini Dar es Salaam

    Mwaka 1989 wakati huo nikiwa na umri mdogo tu (chini ya miaka 10), niliwahi kutapeliwa na mtu ambae mpaka leo sikuwahi kumuona tena machoni kwangu. Iko hivi... Siku hiyo nilikuwa nimepewa Tsh 200 na shangazi yangu niende nikanunue sukari. Thaman ya Tsh 200 kwa kipindi kile ilikuwa kubwa sana...
  9. B

    RUSHWA: Kijana aliyekuwa akiwalaghai na kuwatapeli Maofisa wa Jeshi la Polisi kwa ahadi za ajira akamatwa

    Afande pokea taarifa kuhusiana na mahojiano yaliyofanyika leo Tarehe 04/04/2022 baada ya kukamatwa kwa mtuhumiwa wa makosa ya utapeli David Damas Otieno @ MAJOR GENERAL MRAI miaka 39, kabila mjaruo, kazi mkulima, dini mkristo mkazi wa Dar es salaamu ambaye amekamatwa leo Tarehe 04/04/ 2022...
  10. A

    Kutapeliwa kiwanja

    Habarini wana JamiiForums, Miezi mi tatu iliyopita nilinunua kiwanja maeneo ya Bunju kutoka kwa mzee mmoja aliyekua anakata viwanja kutoka kwenye shamba lake kubwa na kuviuza vipande vipande kwa watu,sasa tatizo lililo nikuta mwezi ulipita nilienda ofisi za watu ardhi (survayers)ili wanipe...
  11. Heaven Seeker

    Jinsi nilivyotaka kutapeliwa kwenye Cryptocurrency: Chukua tahadhari, itakusaidia

    Wakuu Amani iwe kwenu.! Kwanza kabisa, ieleweke wazi kuwa sipo hapa kupinga kuhusu Crypto-Currency trading, Forex Trading na jamii zote za mambo kama haya. Mie mwenyewe naendelea kujifunza ili nijue kwa undani na huenda siku moja nikawa expert wa hizi mambo. Lengo kubwa ni ku-share utapeli...
  12. Heaven Seeker

    Jinsi nilivyotaka kutapeliwa kwenye Crypto-Currency: Chukua Tahadhari, itakusaidia

    Wakuu, Kwanza kabisa, ieleweke wazi kuwa sipo hapa kupinga kuhusu Crypto-Currency trading, Forex Trading na jamii zote za mambo kama haya. Mie mwenyewe naendelea kujifunza ili nijue kwa undani na huenda siku moja nikawa expert wa hizi mambo. Lengo kubwa ni ku-share utapeli niliokumbana nao kwa...
  13. ommytk

    Uzi kwa tuliowahi kutapeliwa au kuibiwa.ebu tuje hapa tukumbuke.mimi nakumbuka kko niliuziwa matambala

    Matapeli au wezi ni watu wenye akili sana kwenye kazi yao mimi nakumbuka kwenye miaka 90 hivi nilienda kko kununua nguo sikukuu basi nikakuta suruali nzuri ya kitambaa jamaa kaishika anauza nikaipenda akanipa bei basi natoa hela akawa anafunga kwenye mfuko karatasi zamani ilikuwa mifuko karatasi...
  14. Mung Chris

    TBC na aliye watuma kuleta story ya siku nyingi ya mstaafu kutapeliwa sio hekima

    Jana TBC wameleta story ya Mwalimu mstaafu kutapeliwa, hii story ya mafao ya huyu mama Kulipwa sio ya leo, kwanini msilete sotry ya hivi karibuni, yote haya mnayaleta kuhadaa watu kwamba wastaafu wanalipwa mafao yao na wanatapeliwa hili ameshalizungumzia Msemaji wa serikali mwezi jana tukamkosoa...
  15. instagram

    Jinsi nilivyonusurika kutapeliwa iPhone yangu

    Ilikuwa 2010 enzi hizo ninauza iphone 3 Gs yangu kupitia mtandao wa gazeti la Advertising Dar, jamaa moja kapiga simu anadai yeye anafanya kazi Barclays Mbeya yupo likizo Dar. Sharp tukapatana bei laki sita basi jamaa tumepanga tukutane Mwenge. Kufika mwenge jamaa katokea na teksi akadai twende...
  16. BARA BARA YA 5

    Nitajuaje kama ni Afisa wa TAKUKURU au anataka kuniibia?

    Ndg, mimi ni mtumishi wa Umma kwenye taasisi nyeti hapa Dar, hata hivyo juzi nilipigiwa simu na mtu aliejitambulisha yupo Dodoma. Akinitaka nifike ofisini kwao kesho kutwa yake kwa ajili ya mahojiano, nikakubali ila baadae nikamwambia naomba anitumie barua ya wito kupitia kwa mwajiri wangu...
  17. OGTV

    MASWALI NA MAJIBU: Msimu wa Diversity Visa ya Marekani kwa mwaka 2023, Epuka kutapeliwa

    Video kuhusu taarifa sahihi, Maswali na Majibu kuhusu viza hii . Epuka kutapeliwa; kumbuka hakuna ada yeyote inayotozwa kwa kutuma maombi yako. https://dvprogram.state.gov/. #DiversityVisa American Diversity Visa Season for the year 2023 Accurate information, Questions and Answers about...
  18. Kasomi

    Ushawahi Kutapeliwa?

    Siku moja nilielekea Dar es Salaam, nilipofika kituo cha basi wakati huo ni Ubungo Bus Terminal akatokea kijana Msamaria mwema kabisa akaniomba Begi langu Anisaidie na mimi nikampatia. Ila kwa kweli ni uzembe wangu kabisa maana yule kijana alikuwa anawahi Harafu mimi hata sikumwambia naelekea...
  19. Poppy Hatonn

    Vijana zaidi ya 500 wamekutwa wamehifadhiwa sehemu mbalimbali Mkoa wa Kilimanjaro wakifanya mafunzo yasiyojulikana

    Hawa vijana wana umri, kati ya miaka 18 na miaka 20. Mkuu wa Mkoa amewaagiza,amewaamuru warudi mikoa walikotoka. Swali langu ni kwamba,kwa nini. Radia One wakubali kutangaza habari za namna hii,kwa nini wakubali kutangaza habari kwa staili hii. Mafunzo yasiyojikana ndio mafunzo gani? ----...
  20. F

    Nilitapeliwa nikinunua tarakilishi

    Nikiwa dar nilikutana na mtu anauza tarakilishi alinionyeha ikiwa ndani ya mfuko na akaniharakisha ili tusishikwe na polisi.Aliitisha laki moja pekee. Kufika nyumbani nilipata nimeuziwa tarakilishi ambayo haifanyi kazi ya zamani
Back
Top Bottom