Habarini wana JamiiForums,
Miezi mi tatu iliyopita nilinunua kiwanja maeneo ya Bunju kutoka kwa mzee mmoja aliyekua anakata viwanja kutoka kwenye shamba lake kubwa na kuviuza vipande vipande kwa watu,sasa tatizo lililo nikuta mwezi ulipita nilienda ofisi za watu ardhi (survayers)ili wanipe...