Nina tatizo la kifamilia kila nikiwaza nimshirikishe rafiki yangu wa karibu nina sita wazazi wamesha solve lakini bado mwanamke anarudia rudia kutojirekebisha.
Yaani nina mawazo mno sijui nifanyeje ili niwe poa watoto tunao nawaza kuachana lakini naumia nikikumbuka watoto WHAT CAN I DO yaani...
MHE MWENDA AENDELEA NA ZIARA YA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO, APONGEZA UTENGAJI WA MAENEO YA UWEKEZAJI
Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Suleiman Yusuph Mwenda ameupongeza uongozi wa kata ya Ulemo kwa kutenga maeneo ya uwekezaji. Mhe Mwenda ameyasema hayo wakati alipofanya ziara ya...
Mimi si mtu wa vyama vya siasa au muumini wake ila kwa alichoongea kaka yangu Mh freeman Mbowe sikiafiki moja kwa moja na wala sikipingi.
Jana akiwa mwanza Mh.Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA MH Freeman Aikael Mbowe, kimoja kati ya alivyozungumzia ni kuhusu Utolewaji wa chanjo ya Uviko...
HIVI UNAJUA MAPENGO YA KINYWA CHA SANAA YANAWEZA KUZIBIKA KAMA TUKIAMUA?
'Licha ya jopo la madaktari kupambana Na changamoto za kinywa hiki, bado tatizo sugu la mapengo limeonekana kuwazidi nguvu, kinywa kinazidi kupata mapengo kila uchwao'
Leo nakukaribisha uone muundo halisi wa Kinywa hiki...
Naomba niongee kuhusu vijana wanaomaliza kidato cha sita na kupangiwa kwenda mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria, sikatai ni kweli wanaenda kufundishwa mafunzo ya awali ya ulinzi na usalama pamoja, uzalendo na uzalishaji mali lakini tija ya maarifa wanayoyapata vijana hawa imeshindwa kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.