Naomba niongee kuhusu vijana wanaomaliza kidato cha sita na kupangiwa kwenda mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria, sikatai ni kweli wanaenda kufundishwa mafunzo ya awali ya ulinzi na usalama pamoja, uzalendo na uzalishaji mali lakini tija ya maarifa wanayoyapata vijana hawa imeshindwa kabisa...