Habari wakuu,
Ukiangalia miradi mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa hivi karibuni nchini Tanzania kuanzia ujenzi wa reli ya kisasa (SGR), barabara kuu, madaraja makubwa, hadi miradi ya nishati na maji utabaini kuwa sehemu kubwa ya zabuni za thamani kubwa zimekuwa zikienda kwa makampuni na...