kutawala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mobutu aliweka kipengele kwenye katiba ya kongo ili aweze kutawala milele

    Naam viongozi wa kiafrika wanafanana kwa hulks zao wanatofautiana vipindi tu. Sikazi watu kuona wanauana kule Congo, Sudan na kwinginepo lakini hakuna chochote wanafanya. Wengine wanajipitisha kuwa wagombea URAIS. Ukiwauliza machawa wanasema ni mwanamke wa shoka wengine wanakimbilia DINI yake...
  2. JamiiForums Tanzania Bashiru: Tutatumia sana dola kubaki Madarakani ilimradi kwa mujibu wa Katiba, Sheria na kwa Maendeleo ya wananchi

    Naomba tumsikilize ndugu Bashiru Ally aliyekuwa kwenye utawala wa hayati Magufuli. Anadai chama chochote kilichopo madarakani ili kiondoke madarakani basi kimependa chenyewe maana kina faida nyingi sana za kukifanya kubakia madarakani. Kwa maana hii basi ccm itatawala milele labda aje kiongozi...
  3. JamiiForums Tanzania Kuzaa, Kuongezeka, Kutiisha na Kutawala

    Mkuu: Bado hujachelewa TUBU leo TUBU kesho TUBU wiki nzima kisha utaanza kuzaa, utaanza kuongezeka, utaanza kutiisha na utaanza kutawala. Nalala hivi Exsultate, Jubilate!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…