Mobutu aliweka kipengele kwenye katiba ya kongo ili aweze kutawala milele

Mobutu aliweka kipengele kwenye katiba ya kongo ili aweze kutawala milele

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Posts
17,499
Reaction score
25,295
Naam viongozi wa kiafrika wanafanana kwa hulks zao wanatofautiana vipindi tu.
Sikazi watu kuona wanauana kule Congo, Sudan na kwinginepo lakini hakuna chochote wanafanya.

Wengine wanajipitisha kuwa wagombea URAIS. Ukiwauliza machawa wanasema ni mwanamke wa shoka wengine wanakimbilia DINI yake nk.

Huko Zaire ( DRC) Raisi wa zamani wa nchi hiyo alishawahi kuweka kipengele cha ajabu sana kwenye katiba ya Zaire ( DRC)

Kwa mujibu wa katiba hiyo ni kwamba ili uwe MGOMBEA URAISI WA ZAIRE. Lazima uwe na uzoefu wa kuongoza Zaire.walau kwa miaka miwili.

Haya aliyafanya huku akijua kwamba kwamba yeye ndiyo raisi wa kwanza wa Congo na hakuna aliyewahi kuwa raisi kwa kipindi hicho.

Afrika vituko haviishi
 
nili wahi kukutana na teacher wa kikenya, alikuwa ana fundisha history that guy was great.

hakuwa ana fundisha tu, ni kama ilikuwa virtual learning of what happened way back.
Hongera kwa kupata kuingia milango ya English Medium....sie tumejisomea wenyewe licha ya kubebeshwa fagio za chelewa na kuni za walimu.
 
Sababu kuu ni majukumu kuzidi...naperuzi JF kwa nadra saana.

Kama una muda unaweza kufanya. Anza na watu wanaotrend kwa wakati huo...sema wasiliana na uongozi kwanza kabla.
take your time, utu bless hata 1-2 ndani ya mwezi,

muda ninao ila napenda kusoma Sana siku hizi, kingine uli fanya kwa level ya juu sana siwezi haribu mzani wako.
 
Yule Mobutu alikuwa ni weka mbali na watoto hakuwa anacheka na wowote😅

Mwamba aendelee tu kupumzika kwa amani
 
Nilidhani Rais wa kwanza wa Kongo [DRC] ni Kasa Vubu....hadi kuna wimbo. Kasaaaa vubu woiiiii woiiii

Ninaenda kudai karo yangu.
Upo sahihi hayo yalitokea baada ya mobutu kuwepo madarakani muda mrefu.
Usisahau watoto wake walisoma ufaransa na kulala Kinshasa.
Pocket money zao ni pesa ambazo zipo kwenye roler. Yaani hazijatenganishwa
 
Aaah.... sio rocket science...yeyote anaweza kufanya.

Zama zetu zishapita...
shida sio kufanya, jibu ni una weza kufanya zaidi au kama kile kilicho kuwa kina fanywa!

it's like telling me that you could rap more than what eminem did on renegade, or wayne verse on God did.
then you end up talking about some childish shit.

enzi hazija isha, tena usi shangae ukaja na style tofauti.
 
Back
Top Bottom