Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira
Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis.
Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand.
Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta...
Kuna Jambo nimejifunza ktk Maisha, Wazee Wengi wazamani walikua na Hakiba ya Siri.
Pia walikua awafanyi maamuzi kwa Mihemko, Na walikua na Busara, Fulani ambayo Mimi naweza sana, Mzee anaweza Jua Jambo na akakuvungia kama hajui.
Na linapokuja swala la akiba ya Siri, hii ni akiba ambayo atakua...
Huwa nashangaa sana unakuta mtu anakuambia. Nalisha familia kupitia hii bodaboda aisee ukicheki yeye mwenyewe alivyojichokea sijui hiyo familia yake itakua katika Hali Gani mpaka kumruhusu ndugu Yao kuingia barabarani kucheza na moto ambao hautozimika ukimkumba maana bodaboda ni kitendo Cha...
Ni tabia iliyo kwenye default settings kwa baadhi ya watu kwamba ndugu akifanikiwa basi ni lazima wasaidiwe mpaka kiama.
Yani kinyume na hapo hata ukipunguza msaada aidha kwa matatizo yako ya kifamilia, marejesho ya mkopo, n.k. kelele zinaanza anajitenga, anaringa, mke wake kamnunulia gari...
Moja ya kosa kubwa ambalo wafuasi wa CDM watakuja kujutia ni kuruhusu chama chao kujengwa kwa kutugemea majina ya watu badala ya kujenga Taasisi .
Leo hii ,Menyekiti kaguswa kidogo tu ,mayowe kila mahali,ukienda kanda ya kasakazini takribani miaka ishirini kuna jina moja tu la Lema.
Majina...
Wasimamizi wasaidizi zaidi ya 600 wa vituo vya kupiga kura uchaguzi Serikali za Mitaa wa jimbo la Tabora wametakiwa kutokutanguliza uzoefu wa usimamizi wa chaguzi zilizopita katika uchaguzi wa mwaka huu badala yake wafuate mafunzo na mwongozo wa usimamizi wanaopewa ili kuweza kufanikisha zoezi...
LEO TUONGEE NA WANAUME ✍️
Mijini hasa majiji haya makubwa kama Dar unaweza kutana na mwanaume akakuomba shilingi mia tu ya muhogo ila kila ukimwangalia unabaki na maswali mengi, sio vibaya kuomba ila nani anafanya hivyo? Na ukiangalia yuko tu kijiweni na hana ulemavu.
Mara kadhaa unaweza sikia...
Ni muda mrefu sasa tangu chama hiki cha kisiasa kimekua ni taasisi iliyokosa uelekeo na kupoteza malengo na misingi ya kuanzishwa kwake, na kuamua sasa kutegemea sana propaganda za hisia kali zenye kutia huruma kwa wananchi ili kuleta taharuki, kuwavutia na kuwahadaa wananchi kanakwamba chadema...
1. Afghanistan
Msaada: Kulingana na ripoti za Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Afghanistan inategemea msaada wa kigeni kwa zaidi ya asilimia 70 ya bajeti yake ya maendeleo (UNDP, 2021). Hali ya usalama duni na migogoro inaendelea kuathiri utegemezi huu.
2. Haiti
Msaada...
UTANGULIZI
Ukuaji wa taifa kimaendeleo inategemea zaidi kujitegemea wa taifa kiuchumi na uzalishaji. Tanzania bado inategemea mataifa makubwa kimsaada na kukopa kama njia ya kujipatia fedha, hali hii husababisha serikali kukopa fedha kwajili ya miradi ya maendeleo ikisubiri kutumia makusanyo ya...
Ili kuharibu taifa lolote, anza kwa kuharibu mfumo wake wa elimu. Mfumo wa elimu wa Tanzania kwa sasa unawaandaa vijana kuwa wafanyakazi wa serikali au taasisi binafsi, jambo ambalo limepelekea wengi wao kuishi maisha duni huku wakisubiri ajira kutoka serikalini na kwenye taasisi binafsi...
TUJENGE MIFUMO YA UWAJIBIKAJI, KAMWE TUSITEGEMEE KUWA NA NAMBA ZA OCD AU ASKARI WA USALAMA BARABARANI.
Taifa tunapaswa kuwekeza sasa kwenye mifumo imara ya uwajibikaji ili leo na kesho hata kama kiongozi hayupo basi mifumo ifanye kazi, tuweke mifumo tukifikiria kwamba kuna siku viongozi wote...
Wakati huo mwanamme akipata pesa kitu cha kwanza anachowaza ni namna gani ya kuzitumia pesa hizo na wanawake.
Hii ni tofauti inayowatafuna wengi kwa kujua ama bila kujua.
Utakuta wengine wikendi kama hivi ni full kubembeleza mwanamke fulani wanayemtaka akubali watoke ili wakale pesa zake...
Moja Kwa moja niende kwenye hoja kuna hili suala mtu Anaapa kwamba hatakuja kunywa smart gin ila k vant na konyagi anabugia kama kawaida.
Nataka nijuzwe spirit kama spirit hizi zenye ethanol na gin mfano tufanye smart na konyagi tofaut ni ipi katika kuumizana maana me nachojua zote ni sumu...
Ni kitu ambacho siku zote sijakielewa, na labda ndugu zangu Waislamu watanisaidia hapa. Kufunga najua ni suala la kujipa muda wa kutafakari matendo na maisha yako na kuboresha uhusiano wako na Mwenyezi Mungu. Sasa sielewi kwa nini jambo hili lihusianishwe na kuonekana au kutoonekana kwa mwezi...
Bifu linalosemekana kuwepo (kama kipo) kati ya Diamond na Kusaga pale wasafi ni marudio yale yale kipindi cha clouds msanii ni aidha ukubaliane nao wanavyotaka wao ama nyimbo zako hazipigwi, Ni Diamond pekee ndie aliweza kuvunja hii cycle, alivyomdindia Ruge watu wengi tulijua ndio mwisho wake...
Habari zenu!
Kama kawaida sisiti kuachia nyuzi za upendo kwa dada zetu. Lengo ni jema tu ingawa wasiotaka kubadilika hunichukia.
Mama mwenye familia yake haijalishi ameolewa au hajaolewa. Haijalishi amepanga au anaishi kwenye nyumba yake, mama anayeanini katika kazi za mkono wake. Anauza...
"...ifikie hatua CCM kisitegemee wasanii kuleta watu wa kukisikiliza kwenye mikutano yake. Kusema hivyo si kwamba CCM hakiwahitaji wasanii tena bali ni muhimu sasa CCM kitimize wajibu wake wa kutekeleza sera na kwalo itawavutia Wananchi kuja kuwasikiliza Viongozi wa chama. NDIYO MAANA MIMI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.