kutegemea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    Bara letu lina upendeleo wa wazi kwa kurundikiwa rasilimali, ni vipi tunaendelea kutegemea misaada na mikopo huku umasikini ukitusumbua?

    Iwe ni madini, mbuga za wanyama, ardhi yenye rotuba, vyanzo vya maji, vivutia, n.k. you name it, vimerundikwa kwa upendeleo wa ajabu sana hili bara. Yani ni ule upendeleo wa wazi wazi, Laiti kama haya mabara yalikuwa yametuma barua za maombi ya rasili mali kwa Mungu basi Africa alikuwa ni...
  2. H

    Ni hatari sana kwa nchi kutegemea ushauri wa Legal Officer (Hamza Johari), na kuiingiza nchi kwenye mkataba

    Utangulizi: Katika taaluma ya sheria kote dunia, na kwa kipekee hapa nchini Tanzania, ili mtu akidhi vigezo vya kuwa mshauri, au kuwakilisha watu mahakamani, au kushauri mambo msingi ya kisheria , au kuhakiki nyaraka mbalimbali ni lazima awe na taalum hiyo katika ngazi au nafasi ya uwakili...
  3. D

    Tanzania tungekuwa na akili tungetengeneza Taifa Stars sio kutegemea Klabu

    Nashangaa sana tunajivunia watu ambao siyo wetu mpaka tunafikia kusema eti wamewakilisha taifa. Kiukweli huko ni kujidanganya na kujipa sifa za kijinga kabisa. Inajulikana wazi kuwa asilimia kubwa ya hawa watu ni wacongo na wanazipenda nchi zao hamuwezi kuwanyanganya haki hoyo hata iweje kwa...
  4. A

    Tunanunua vanilla kiasi chochote kilo 1 sh 100,000 hadi sh 300,000 kutegemea na grade mahali popote

    Kama heading inavosema hapo juu wakuu Nina mtu anahitaji vanilla kiasi chochote na kwa bei tajwa hapo juu, Mawasiliano piga 0746021481 Hata Leo uwezekano ukiwepo tunaanza safari ya Kuja kucheki mzigo.
  5. Wakusoma 12

    Kutegemea maji ya surface (mito, maziwa na mabwawa) kwa matumizi ya kila siku ni hatari sana

    Ukweli mchungu, kama taifa inabidi tubadiri sera zetu na vipaumbele. Kugombea maji ya kutumia na viumbe Kama ndege ilihali tunaweza kuchimba deep well na kupata maji ya kutosha ni jambo lisilovumilika. Tumesikia mto Ruvu maji yamepungua kina na kupelekea hatari ya mamilioni ya wakazi wa jiji la...
  6. NetMaster

    Nguvu ya kielimu kwa makabila kama wahaya waliyotumia kujazana maofisini inapungua, Wakiendelea kutegemea ajira wamekwisha !! wajipanue kibiashara

    NB: Wachaga wameelimika ila niwaweke pembeni hawa hawategemei ajira pekee. Tofauti na zamani tulivyozoea makabila yaliyoelimika na kutegemea ajira kwa asilimia kubwa kama wahaya kujazana maofisini kwa vyeti vyao, kwa sasa hali ni tofauti kabisa.. Zamani elimu ilikuwa inapatikana kwa uchache...
  7. Mboka man

    Maisha ya kutegemea nyumbani, ndugu, wazazi, jamaa na marafiki 'yamewalostisha' vijana wengi

    Hii tabia ya kukaa nyumbani alafu hujishughulishi na issue yeyote ile ya kukuletea pesa imewarostisha vijana wengi. Maisha ya kukaa kutegemea nyumbani, wazazi, ndugu, marafiki na jamaa wawe ndo wanaendesha maisha yako iko siku utakuja kulostiii alafu hutoamini hapa tulipo kuna jamaa yetu...
  8. K

    Hatuwezi kutegemea tozo na kodi za nchi wanazotusaidia kwa maendeleo yetu

    Tanzania kama nchi haiwezi kuweka mipango kwa kutegemea kodi, tozo za nchi nyingine kama msaada wakati sisi wenyewe hatujiendelezi na nchi haina uzalishaji. Serikali inajaribu kuwekeza kwenye kilimo lakini watu hawataki kulipa kodi wala tozo sasa ni mpaka lini tutategemea pesa za misaada wakati...
  9. Curtis De Mi Amor

    Je, wanawake hamuwezi kuishi kabisa bila kutegemea wanaume?

    Hivi watoto wa kike hamuwezi kabisa kuishi kwa vipato vyenu mpaka muombe ombe hela kwa wanaume? Yaani hamuamini mnaweza mkawa self dependent bila wanaume? Ni kwanini mnageuza miili yenu kuwa sehemu za kujipatia kipato? Ni lazima mvae nusu uchi? Ukitongozwa ni lazima uombe hela? Hio elimu...
  10. sky soldier

    Makabila yatakayoendelea kutegemea elimu iwakomboe kiuchumi(ajira) yatashuka kimaendeleo

    Elimu ni muhimu na wala sio ya kubezwa, Lengo kuu la elimu huwa ni kumkomboa mtu kifikra alafu ndio yanafata mengine, Kwa bahati mbaya hapa nchini jamii nyingi hasa makabila wameigeuza elimu iwe kwajili ya kuwatajirosha kupitia ajira. njia nyingine kama biashara wanapuuza. zamani makabila...
  11. Nduka Original

    Nilitembea na binti ya dada yangu bila kutegemea

    Nilitembelea Mkoa fulani kikazi na katika mapumziko yangu jioni nilikutana na binti wa binamu yangu akiwa anapata kinywaji na kijana ambae sina uhakika kama ni boy friend wake ama la. Tukasalimiana na tukabadilishana na namba. Huyu binti alikuwa anafanya kwenye spa katika hoteli kubwa hapa...
  12. Sky Eclat

    Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta, wengi wameamua kutegemea usafiri wa baiskeli katika mizunguko. Barabara zetu ni salama kwa watumia baiskeli?

    Usafiri wa baiskeli kwa wengi ni kwa kuimarisha afya kwani unapotumia baiskeli unafanya mazoezi. Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta wengi wameamua kutumia usafiri huu kuwafikisha kutoka hatua A kwenda B. Barabara zetu ni salama kwa atumiaji wa baiskeli? Bila tahadhari hii kutakua na vifo...
  13. BARD AI

    Ni Aibu Afrika Nzima Kutegemea 40% ya Ngano Kutoka Ukraine

    Vita ya Ukraine imesabaisha masuala mengi ikiwemo mahitaji ya vyakula kwa bara la Afrika yajulike kwa udhaifu wake. Kwa mujibu wa ripoti ya BBC iliyochapishwa wiki hii imeonesha Bara la Afrika lenye nchi zaidi ya 55 likitegemea kiasi cha asilimia 40 ya ngano kutoka Ukraine na Urusi. Mpaka sasa...
  14. S

    Sijawahi kuona promosheni ya safari lager hii bia ni big brand inajiuza bila kutegemea promo

    Hayo ma castle lite serengeti lite kinachowasaidia ni promosheni utakuta unaambiwa elfu 10 bia nane Safari haitegemei promo wala kushusha bei ni big brand
  15. pantheraleo

    Vicky Kamata: Royal Tour inaenda kubadilisha akili ya Wanawake wajitegemee, Waache kutegemea kila kitu Wanaume

    Mwenyekiti wa taasisi ya Wanawake laki moja Vicky Kamata amesema Royal tour inaenda kubadilisha akili ya Wanakwake wajitegemee waache kuwa Ombamba. ameyasema hayo Wakati alipokutana na Wanahabari jijini Dar tarehe 20 Mei 2022 kuelezea Madhumuni ya Taasisi ya Wanawake laki moja ambayo ni kupinga...
  16. M

    Kuendelea kutegemea uchawi na figisu kwa Mkapa ili kushinda mechi ni upuuzi

    Mechi ya Leo imetufundisha jambo, hwa Asec mimosas simba haiwafikii kwa ubora walionao, walivyowafunga kwa Mkapa ni kwasababu za nje ya uwanja zaidi na sio kwamba simba iliwazidi ubora. Mambo ya kishirikina yanayofanyikaga pale kwa mkapa ili simba ashinde tunayajua vizuri sana, ndiyo maana...
  17. Mzee Mwanakijiji

    Sauti kutoka Kaburini - Ni Jambo la Kijinga Kutegemea Mikopo Kujiletea Maendeleo...

    MASKINI AKIKOPA KAPATWA, TAJIRI AKIKOPA KAPATA Na. M. M. Mwanakijiji Tuangalie ukweli wa hoja hii na tulinganishe nani yuko karibu zaidi na hili kati ya wanaotetea mikopo isiyoulizwa na wale wanaouliza kuhusu mikopo na misaada ya kigeni. Yanayofuatia siyo maneno yangu nimeyanukuu tu. Njia...
  18. x - mas

    USHAURI: Watumishi wakopeshwe pensheni yao kwa riba ndogo au bila riba badala ya kutegemea mikopo ya mabenki yenye riba kubwa

    Ukifikiria kiundani utagundua mtumishi anufaiki sana na mkopo anaokopa, wanufaika wakubwa wa mikopo kwa wafanyakazi ni mabenki/taasisi zinazohusika na ukopeshaji kupitia faida inayotokana na riba, mikopo inapelekea chanzo cha Maisha magumu kwa watumishi waliowengi huku ikiwaacha wakopeshaji wa...
  19. Cvez

    Wanasimba tuanze safari pasina kutegemea hamasa ya msemaji, hata Mwijaku hatufai

    Uongozi wa Simba wekezeni nguvu katika benchi la ufundi na maslahi ya wachezaji na wafanyakazi wa Simba. Tusianze kutafuta mtu wa kuanza kushindana na Haji Manara, era yake ishapita. Tumpe mkataba wa muda mrefu Ezekiel Kamwaga. Kutafuta mtu dizaini ya Haji Manara kama Mwijaku au Dr Kumbuka ni...
  20. jingalao

    #COVID19 Kamwe hatuwezi kuishinda corona kwa kutegemea misaada

    Bunge la bajeti limepita bila mpango maalumu wa kukabiliana na corona. Hatima yake tunataka kuwekeza mapambano dhidi ya corona kwa kitumia hisani za WHO,USA n.k. Tuamshe bongo zetu na tuje na majibu kamili
Back
Top Bottom