kutegemea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Katika maisha yangu sikuwahi kutegemea kuna kitu kitaanzishwa na chama cha walimu wasio na ajira

    Sikutegemea ipo siku kuna chama kitaanzishwa na walimu waliokosa ajira Basi nakiri kusema kuwa tupo katika unemployment crisis. Kuna wakati waalimu hawakubaki mtaani kwa maana walikuwa on demand. Kwa wewe graduate, kama baba yako ni apeche alolo, sura ngumu kama mimi, hauna connection tafuta...
  2. M - Pesa siyo ya kutegemea Masaa Karibu 20 sasa Huduma inasumbua

    Vodacom Tanzania Hii si sawa, ni Masaa Karibu 20 sasa Huduma yenu haipo sawa, hela za Biashara na transactions zipo hewani! Si sawa! Tunakwama
  3. Mwanaume Uwe na Kitu Cha Kutegemea na Kiwe Siri yako

    Kuna Jambo nimejifunza ktk Maisha, Wazee Wengi wazamani walikua na Hakiba ya Siri. Pia walikua awafanyi maamuzi kwa Mihemko, Na walikua na Busara, Fulani ambayo Mimi naweza sana, Mzee anaweza Jua Jambo na akakuvungia kama hajui. Na linapokuja swala la akiba ya Siri, hii ni akiba ambayo atakua...
  4. Unawezaje kuishi Kwa kutegemea kuendesha bodaboda

    Huwa nashangaa sana unakuta mtu anakuambia. Nalisha familia kupitia hii bodaboda aisee ukicheki yeye mwenyewe alivyojichokea sijui hiyo familia yake itakua katika Hali Gani mpaka kumruhusu ndugu Yao kuingia barabarani kucheza na moto ambao hautozimika ukimkumba maana bodaboda ni kitendo Cha...
  5. G

    Mawazo ya ndugu kujiona entitled ni lazima wasaidiwe na waliofanikiwa husababisha kuridhika, uvivu, umasikini zaidi. Nazipongeza jamii zenye mipaka.

    Ni tabia iliyo kwenye default settings kwa baadhi ya watu kwamba ndugu akifanikiwa basi ni lazima wasaidiwe mpaka kiama. Yani kinyume na hapo hata ukipunguza msaada aidha kwa matatizo yako ya kifamilia, marejesho ya mkopo, n.k. kelele zinaanza anajitenga, anaringa, mke wake kamnunulia gari...
  6. M

    Kosa kubwa la Mzee Mbowe ni CHADEMA kutegemea Jina la Mtu badala ya Taasisi

    Moja ya kosa kubwa ambalo wafuasi wa CDM watakuja kujutia ni kuruhusu chama chao kujengwa kwa kutugemea majina ya watu badala ya kujenga Taasisi . Leo hii ,Menyekiti kaguswa kidogo tu ,mayowe kila mahali,ukienda kanda ya kasakazini takribani miaka ishirini kuna jina moja tu la Lema. Majina...
  7. LGE2024 Kayandabila: Uchaguzi hauna uzoefu, fuateni mafunzo ya Uchaguzi wa mwaka huu

    Wasimamizi wasaidizi zaidi ya 600 wa vituo vya kupiga kura uchaguzi Serikali za Mitaa wa jimbo la Tabora wametakiwa kutokutanguliza uzoefu wa usimamizi wa chaguzi zilizopita katika uchaguzi wa mwaka huu badala yake wafuate mafunzo na mwongozo wa usimamizi wanaopewa ili kuweza kufanikisha zoezi...
  8. M

    Mwanaume usiishi kwa kutegemea eti kuna watu mbele watakusaidia

    LEO TUONGEE NA WANAUME ✍️ Mijini hasa majiji haya makubwa kama Dar unaweza kutana na mwanaume akakuomba shilingi mia tu ya muhogo ila kila ukimwangalia unabaki na maswali mengi, sio vibaya kuomba ila nani anafanya hivyo? Na ukiangalia yuko tu kijiweni na hana ulemavu. Mara kadhaa unaweza sikia...
  9. Ni lini CHADEMA wataacha kutegemea hisia na huruma za wananchi kushinda uchaguzi badala ya hoja, mipango na mikakati ya maendeleo kwa Watanzania

    Ni muda mrefu sasa tangu chama hiki cha kisiasa kimekua ni taasisi iliyokosa uelekeo na kupoteza malengo na misingi ya kuanzishwa kwake, na kuamua sasa kutegemea sana propaganda za hisia kali zenye kutia huruma kwa wananchi ili kuleta taharuki, kuwavutia na kuwahadaa wananchi kanakwamba chadema...
  10. L

    Nchi 10 bora Zinazoongoza kwa Kutegemea Misaada ya Kigeni Dunia

    1. Afghanistan Msaada: Kulingana na ripoti za Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Afghanistan inategemea msaada wa kigeni kwa zaidi ya asilimia 70 ya bajeti yake ya maendeleo (UNDP, 2021). Hali ya usalama duni na migogoro inaendelea kuathiri utegemezi huu. 2. Haiti Msaada...
  11. SoC04 Nini kifanyike kuongeza mapato ya ndani bila kutegemea mikopo katika shughuli za kiuchumi

    UTANGULIZI Ukuaji wa taifa kimaendeleo inategemea zaidi kujitegemea wa taifa kiuchumi na uzalishaji. Tanzania bado inategemea mataifa makubwa kimsaada na kukopa kama njia ya kujipatia fedha, hali hii husababisha serikali kukopa fedha kwajili ya miradi ya maendeleo ikisubiri kutumia makusanyo ya...
  12. J

    SoC04 Mageuzi ya Mfumo wa Elimu Tanzania: Kutoka Kutegemea Ajira Hadi Kujiajiri kwa Vijana

    Ili kuharibu taifa lolote, anza kwa kuharibu mfumo wake wa elimu. Mfumo wa elimu wa Tanzania kwa sasa unawaandaa vijana kuwa wafanyakazi wa serikali au taasisi binafsi, jambo ambalo limepelekea wengi wao kuishi maisha duni huku wakisubiri ajira kutoka serikalini na kwenye taasisi binafsi...
  13. Mangungu: Nitasajili Wachezaji bila kutegemea hela za MO

    ... 🚨 π—‘π—œπ—§π—”π—¦π—”π—π—œπ—Ÿπ—œ 𝗠π—ͺπ—˜π—‘π—¬π—˜π—ͺπ—˜ "Pesa za usajiri niko tayari kutoa mwenyewe kwa kushirikiana na wanachama na wapenzi wa Simba, kwa sasa natafuta Mkurugenzi wa ufundi ambaye atakuwa na jukumu la kusimamia mtandao wa usajili na upembuzi wa kina kabla ya mchezaji kusajiliwa.” ©️ Murtza Mangungu...
  14. SoC04 Tanzania tuitakayo: Tuwekeze sasa kwenye mifumo ya uwajibikaji, tuache kutegemea mtu atutatulie shida zetu bali Mfumo ndio utatue

    TUJENGE MIFUMO YA UWAJIBIKAJI, KAMWE TUSITEGEMEE KUWA NA NAMBA ZA OCD AU ASKARI WA USALAMA BARABARANI. Taifa tunapaswa kuwekeza sasa kwenye mifumo imara ya uwajibikaji ili leo na kesho hata kama kiongozi hayupo basi mifumo ifanye kazi, tuweke mifumo tukifikiria kwamba kuna siku viongozi wote...
  15. Mwanamke akipata pesa, kitu kinachomjia kichwani cha kwanza ni kujitegemea na kujitawala bila kuwa na mwanaume

    Wakati huo mwanamme akipata pesa kitu cha kwanza anachowaza ni namna gani ya kuzitumia pesa hizo na wanawake. Hii ni tofauti inayowatafuna wengi kwa kujua ama bila kujua. Utakuta wengine wikendi kama hivi ni full kubembeleza mwanamke fulani wanayemtaka akubali watoke ili wakale pesa zake...
  16. Nauliza kwani madhara ya pombe aina ya spirit yanatofautina kutegemea na aina ya pombe?

    Moja Kwa moja niende kwenye hoja kuna hili suala mtu Anaapa kwamba hatakuja kunywa smart gin ila k vant na konyagi anabugia kama kawaida. Nataka nijuzwe spirit kama spirit hizi zenye ethanol na gin mfano tufanye smart na konyagi tofaut ni ipi katika kuumizana maana me nachojua zote ni sumu...
  17. S

    Hivi inawezekana kwa Waislamu kuwa na hesabu hususa ya siku za kufunga badala ya kutegemea kuonekana au kutoonekana kwa mwezi?

    Ni kitu ambacho siku zote sijakielewa, na labda ndugu zangu Waislamu watanisaidia hapa. Kufunga najua ni suala la kujipa muda wa kutafakari matendo na maisha yako na kuboresha uhusiano wako na Mwenyezi Mungu. Sasa sielewi kwa nini jambo hili lihusianishwe na kuonekana au kutoonekana kwa mwezi...
  18. G

    Diamond aliemuangusha Ruge sioni kama bifu litamuathiri, wasanii wanaofungua radio kwa kutegemea majina wajiaandae kunyonywa sana.

    Bifu linalosemekana kuwepo (kama kipo) kati ya Diamond na Kusaga pale wasafi ni marudio yale yale kipindi cha clouds msanii ni aidha ukubaliane nao wanavyotaka wao ama nyimbo zako hazipigwi, Ni Diamond pekee ndie aliweza kuvunja hii cycle, alivyomdindia Ruge watu wengi tulijua ndio mwisho wake...
  19. Ni heri mama muuza mgahawa au ndizi barabarani anayepata faida ya sh.4000 kwa siku kuliko Binti malaya anayeishi kwa kutegemea kuhongwa

    Habari zenu! Kama kawaida sisiti kuachia nyuzi za upendo kwa dada zetu. Lengo ni jema tu ingawa wasiotaka kubadilika hunichukia. Mama mwenye familia yake haijalishi ameolewa au hajaolewa. Haijalishi amepanga au anaishi kwenye nyumba yake, mama anayeanini katika kazi za mkono wake. Anauza...
  20. Pre GE2025 Makonda: Iwe mwisho CCM kutegemea wasanii kujaza watu kwenye mikutano

    "...ifikie hatua CCM kisitegemee wasanii kuleta watu wa kukisikiliza kwenye mikutano yake. Kusema hivyo si kwamba CCM hakiwahitaji wasanii tena bali ni muhimu sasa CCM kitimize wajibu wake wa kutekeleza sera na kwalo itawavutia Wananchi kuja kuwasikiliza Viongozi wa chama. NDIYO MAANA MIMI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…