Kwenye vita huwa hatushambulii kulia, kushoto, mbele na nyuma lazima uache njia ya kukimbilia ukizidiwa.
Baada ya kusikia Mke wa Lissu na Dada wa Polepole kwenye bunge la Ulaya niseme kuwa hakuna Barua au safari Kombo na Samia watafanya itazaa matunda, hata watembee uchi.
Huko kwenye Siasa za...
Tunaomba mrudisheni Polepole kama kuna kosa alifanya mahakama zipo. Huyu alikua katibu Mwenezi wa chama taifa, balozi Mjumbe wa Bunge la katiba pia Mbunge huyu mtu anawezaje kupotea kama kuku?
Tafadhali wakuu naomba mtoe tamko Polepole yuko wapi? serikali ina kila kitu vyombo vyote vya ulinzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.