kutekwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cute Wife

    Pre GE2025 Polisi yaanza uchunguzi kufuatia tukio la utekaji wa kijana aliyechoma picha ya Rais

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeanza uchunguzi wa kubaini watu wasiojulikana wanaodaiwa kumteka Shadrack Chaula (24), mkazi wa Kijiji cha Ntokela wilayani Rungwe. Chaula anadaiwa kutekwa na watu hao ikiwa ni takribani siku 20 zimepita tangu alipotoka Gereza la Ruanda Mkoa lililoko mkoani...
  2. Eli Cohen

    Kama sio SYNDICATES za utumwa wa kileo basi ni USHIRIKINA, sababu ya watoto kuibiwa.

    Kuna kipindi kulitokea janga la uchunaji wa ngozi za binadamu. Likaja janga la kutolewa viungo vya mwili kwa ndungu zetu wenye albinism. Sasa ni kuna taharuki kuhusu uibaji wa watoto. Ingawa jeshi la polisi lime downplay taharuki hii kusema ni za kizushi ila bado pia inatakiwa tuwe makini kwa...
  3. Roving Journalist

    Wazazi wajaa Shule ya Mburahati kuwachukua Watoto, hofu ya kutekwa baada ya Noah nyeusi kuonekana

    Baadhi ya Wazazi na Walezi wenye Watoto katika Shule Msingi Mburahati wamefika shuleni hapo mchana wa leo Julai 22, 2024 kwa lengo la kuwafuata Watoto wao kutokana na hofu iliyotanda ikidaiwa kuna Watu wanania ya kuwateka Inadaiwa kulitokea gari ain ya Noah nyeusi ambayo haina namba iliyokuwa...
  4. Stuxnet

    Adinani Hussein hajapatikana licha ya Polisi kupokea Tsh 13 Million kutoka kwa ndugu

    Kutoka Ukurasa wa Boniface Jacob Mtandao wa X: SIKU 280 TANGU APOTEE ADINANI HUSSEIN MBEZI MIKONONI MWA POLISI Maarufu kama (ADAM),umri wa miaka 32,mkazi wa Kinyerezi,mtaa wa Faru,Jimbo la Segerea,Baba wa watoto wanne. 1. Adinan Hussein Mbezi alipotea tarehe 12 September 2023 alipokuwa...
  5. Kaka yake shetani

    Simba inaitaji kuchukua wanasheria kuokoa timu, la sivyo tutajikuta timu ni mali ya Bwana MO

    Ukiangalia maongezi yake unaona kila mda anajitetea kuhusu mabilioni ambayo ukiweka MAGAZIJUTO ni kama chenga fulani. Simba inaitaji kuchukua wanasheria kuokoa timu la sivyo tutajikuta timu ni mali ya bwana MO mpaka sasa.
  6. Madwari Madwari

    Mo Dewji afunguka kutekwa kwake kipindi cha Hayati Magufuli

    Mtangazaji : Tumeongelea vitu vingi sana kuhusu wewe. Watazamaji wengi watakaoangalia hii video wanajua kuwa kutekwa kwako ndio stori wanaihitaji kuisikia . Kuhusu kutekwa nyara naomba utuelezee A-Z ilikuwaje ? Mo Dewji: Kwa miaka mingi nimekuwa na ratiba ya kuamka na Kwenda Gym saa kumi na...
  7. BARD AI

    Serikali: Matukio 21 ya watu kutekwa na kupotea yamepatiwa ufumbuzi

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni ameeleza kuwa robo tatu ya matukio yaliyoripotiwa ya watu kutekwa na kupotea kwa mwaka 2023 tayari yamepatiwa ufumbuzi. “Sio kwamba labda watu wanapotea halafu hakuna kinachofanyika, watu hawawapati wahalifu, hawawapati wahanga sio sahihi, ameeleza...
  8. biabia

    Kwa utetezi wa Joshua Mollel, soma maelezo mengine hapa chini

    Huku mjadala wa Joshua Mollel ukiendelea kufanywa, baada ya interview ya baba mzazi kuzidi kuwachanganya watanzania, kuna vitu taarifa chache nimeweza kuzipata. Naendelea kutoa pole kwa familia ya Mollel. Ndugu Ephata Nanyaro amefanya kazi nzuri sana ya kusaidia kuelezea na kufisha conspiracy...
  9. D

    Where is Azory Gwanda?

    Tanzanian freelance journalist Azory Gwanda has not been seen for 500 days, and his family and friends fear the worst. Prior to his disappearance, Gwanda had exposed the murders of over 40 people within a two-year period. The Committee to Protect Journalists has now launched the #WhereIsAzory...
  10. M

    Absalom Kibanda, usitumie kutekwa, kuteswa kwa mavuno toka kwa wanasiasa

    Wanajamvi, Salaam. Leo nakuja kwenu jamvini baada ya kukerwa na tabia ya Mwenyekekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Absalom Kibanda kutumia kuteswa na kutekwa kwake kama biashara. Amekuwa anaongea kwa ndimi mbili. Mara ya kwanza alizungumzia kutekwa kwake kwa namna ambayo ingefanya jamii...
  11. O

    Mwenyekiti wa jukwaa la wahariri Absalom Kibanda Kurejea kutoka kwenye matibabu Afrika Kusini

    Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri Tanzania na Mhariri Mtendaji wa New Habari, Ndugu yetu Absalom Kibanda anarejea kesho saa saba mchana na ndege ya SAA kutoka kwenye matibabu ya muda mrefu nchini Afrika Kusini baada ya kutekwa na watu wasiojulikana nje ya nyumba yake akirudi nyumbani siku 88...
  12. R.B

    Absalom Kibanda ni Nani?

    KUTEKWA KWA KIBANDA Kibanda ni Nani? Mwanahabari, Mnyakyusa, na Mkristo NIANZE kwa kuomboleza msiba wa jicho moja la Absalom Kibanda. Jicho hilo lilijeruhiwa na watu wabaya usiku alipotekwa na kupigwa na watu hao. Tumejulishwa kuwa madaktari wanne walijitahidi sana kuokoa jicho...
Back
Top Bottom