Nikikumbuka maisha niliyowahi kuyaishi siwezi kuja kumuombea hata adui umasikini, Ni hali inayoaibisha, kukunyanyasa, kushusha heshima, kukutesa, n.k.
Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kiatu unaenda kutafuta lisaa zima uone chenye nafuu
Simu imepasuka kioo miaka miwili sina pesa ya kubadili...
Watu wengi wamekuwa wakishindwa kuwa na uelewa sahihi wa kisheria kuhusiana na swala la kutembea (kufanya mapenzi) na mwanafunzi. Kwenye sheria za Tanzania, hakuna kosa la kutembea (kufanya mapenzi) na mwanafunzi. Ili jambo liwe kosa kisheria ni lazima kuwe na sheria inayopiga marufuku kutenda...
Eupuka sana kutembea na mke wa mtu, adhabu inayotolewa siku hizi kwa watu kama hao ni kupakwa wese, vijana wengi wamepelekwa Kwampalange
Ndugu zangu hii ndiyo adhabu mpya ya kutembea na wake za watu leo asubuhi saa tisa mitaa ya Goba amerudi kijana wa bodaboda kutoka kwenye mikono ya mafirauni...
Tatizo la watu kutembea wakiwa usingizini(sleepwalking) ambapo mtu anakuwa anafanya mambo mbalimbali akiwa usingizini huwa common sana kwa watoto wadogo.
Huwa inasemwa kwa watu wazima wenye hili tatizo wanaweza kuamka wakafanya mambo mbalimbali wakiwa usingizini ikiwemo kupika na kula kabisa...
Aisee hizi familia za kishua bwana sijui wanajikuta nani sijui wanajikuta nani aisee hii familia Wana hela kweli kweli na familia ya kiarabu na familia ya kikristo hawa sijui waarabu gani hawa ambao ni dini ya kikristo wameniambia niache kutembea na binti yao eti kisa mie ni muislamu na sina...
Wakuu,
Inaonekana kama Wakenya wameshachoshwa na ahadi za uongo kwa hivyo wameamua kuchukua sheria mkononi.
Wakazi wa eneo la Mlolongo mjini Nairobi wameamua kumpitisha kwenye dimbwi la maji mchafu, kiongozi wa Kaunti yao Daniel Mutinda ili kumuonesha changamoto wanazozipitia kila siku.
Video...
Wadau naomba kwa mwenye kujua anifahamishe jina la band na wimbo wenye maneno haya:
..... Azimio la Arusha lilipotangazwa Tanzania, Nyerere alitembea kutoka Butiama mpaka Mwanza.
Juhudi za Mwalimu na watanzania wote, haikupita miaka mingi tukatoka utumwani....
Ni wimbo wa miaka mingi...
Nipende kuwa tu muwazi, unless kuna faida za kiuchumi unazozipata, kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kujipunja na kuidhulumu nafsi yako.
Niulize kwanini?
Kikubwa unachotakiwa kujua ni kuwa wanawake hua wanaanza mambo ya mapenzi mapema sana. Kwa kawaida mabinti huanza "mchezo mchafu" wakiwa...
Unaweza kuwazuia watu kutembea kama njia ya maandamano lakini wakawa wamekutana nakutoa ujumbe. Kikubwa sio kutembea ni ujumbe kufika
Na kuna wakati jitihada za kutumia jeshi au Polisi zikasaidia zaidi kwenye ujumbe . Ndiyo maana usifikirie kuzuia matembezi ni kuzuia maandamano. Kama wana...
Olympic ys mwaka huu ilikuwa na michezo zaidi ya 30.
Hadi kutembea ulikuwepo
Niliwahi kutembea kwa miguu toka Kibamba mpaka Masaki studio za Master Jay kurekodi single yangu,ilikuwa mwanzoni mwa miaja ya 2000,
Leo hii kuna wakina mama kila jumapili wanatembea kwa miguu toka mbagala au gongo...
Wakuu siandiki thread hii Kwa lengo la kukashifu au kutweza mtu au kabila la mtu.
Iko hivi
Miaka 10 au zaidi kidogo iliyopita nilijikuta kwenye huba zito na binti mmoja pale Arusha mjini.
Bint huyu alikuwa mzaliwa wa Arusha lakin wazazi wote wawili ni warangi.
Kwa sababu za hapa na pale...
1. Msichana ambaye siku zote ye hana nauli ya kuja kukutembelea na anadai kuwa anakupenda.
2. Mwanamke ambaye hawezi kukupatia zawadi ya siku ya kuzaliwa au valentine lakini anatarajia utamleteA vya kunoga Kwa ajili yake wakati wake.
3. Mtu ambaye hawezi kukupigia simu hata kwa dakika 5...
Tangu sheria ya kumlinda mtoto wa kike hasa wanafunzi wale waliochini ya umri wa miaka 18 kumekuwa na mazoea fulani ambayo jamii inahitaji kuyafanyia ufumbuzi
Jambo la kwanza.
Sheria imejikita zaidi kuwaangalia wahanga( Watoto) lakini jamii haina mafunzo ya kutosha kuhusu kujilinda kwa watoto...
Askofu TD Jakes ambaye amemtumikia Mungu kwa miongo mingi amejiuzulu kwa madai ya kuwa na mahusiano na mmoja wa waumini wa kanisa lake.
Source: Tecnico Informatico
Wadau wa nguvu wazoefu wa mazoezi naombeni ushauri wenu
Ninachunika paja la kulia just day 1 ya mazoezi ya kutembea. Je, ni hizi boxer za kawaida ndio shida kwa maana haziwezi accomodate aina hiyo ya mazoezi? Nitumie nini au nivae underwear gani nzuri isiyoleta hii kadhia.
Kwenu wadau.
cc...
Profesa wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), Julius Nyahongo amesema kuwa miaka mitano ijayo, wakazi waishio Dar es Salaam watalazimika kutembea na oksijeni kutokana na ongezeko la joto.
Profesa Nyahongo amesema kuwa ongozeko hilo la joto linachangiwa na ukataji wa miti kiholela hali inayohatarisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.