Huu uzi ni kwa ajili ya waliofika na kutembea miji Ifuatayo, je ni mji upi unafaa kwa ajili ya kuishi na kufanya maisha?
Kigoma manispaa, Kilwa-Lindi, Rufiji-Pwani, Chemba-Dodoma, Meru-Arusha kwa waliofika Maeneo hayo je ni mji upi una fursa ya kufanya maisha kwa mtaji wa kuanzia million 10?
Video Dada wa kiafrika kakutana na waziri mkuu wa Netherland, anakwenda ofisini kwa mguu akitokea nyumbani kwake... Dada anashangaa anahema kwa mshangao akikumbuka Afrika huku😃 mpaka katibu tarafa ana king'ora
Waswahili wanasema kwamba ukila nyama ya mtu sio rahisi kuacha hata kama utaahidiwa nyama nono ya ng'ombe kila siku. Wakati nilipopokea video hii (tazama hapo chini) kwenye kundi sogozi nilidhani mambo haya hufanywa na wazungu tu kwa kuwa wao wamepinda sana ukilinganisha na waswahili.
Nilikuwa...
Kwanza kabisa niwashukuru wana jamiiforms kwa kunifumbulia maana ya ndoto hii, ukweli upo hivi, toka nianze maisha na make wangu sijawahi chepuka nje na mke wangu ni miaka miwili sasa imepita, na watu wengi mpaka ndani ya familia yangu wananisifiaga kuwa Mimi ni mtu wa pekee sana kwani sipo kama...
Kwanza kabisa nilikuwa juu ya jengo la ghorofa 4 nikiwa uchi kama nilivozaliwa, sasa wakati nashuka zile ngazi zilikuwa ni zile zinakaaga nje kwa pembeni, cha ajabu hizo ngazi hazikuwa za kawaida yaani ni nyembamba mno kiasi ya kwamba ili uzishuke lazima uwe umegeuzia tumbo ukutani na ushikilie...
Katika dunia hii ukitaka kuishi vizuri acha vitu vifuatavyo.
Wizi
Utapeli
Wake za watu
Wanaume mwenye akili zako kabisa una date na mke wa mtu na una enjoy kabisa.
Me siwezi ata kuwa karibu na mke wa mtu wake wa marafiki zangu Sina ata ukaribu nao.
Kuna wanaume wengine ni vichaa kabisa,Wana...
Kibongo bongo hapa wengi wetu huwa tuna laini mbili, hivyo kuwa na simu yenye laini 2 hupunguza mzigo wa kubeba simu ya ziada.
Binafsi kigezo cha kwanza kabisa kwenye kununua simu yangu huwa inabdi ijitosheleze kwenye suala la kuwa na laini mbili.
Simu zenye laini mbili si kama wengi...
Kwa wale wamiliki wa magari ikiwa umekuwa ukiwaza ni namna gani utapunguza gharama za matumizi ya mafuta kwenye gari lako BASI UJUMBE HUU UNAKUHUSU.
Tumekuwa tukilalamikia juu ya gharama za mafuta katika kuhudumia magari yetu ila kwa sasa mkombozi amewasili.
Gharama za maisha zinapanda kila...
Hello,
Story kwa ufupi, duniani hakuna mjanja aloshindikana, kila penye nyumba na nyufa ipo. Katika hali iliozoeleka inaonekana kutoka na mke au mume wa mtu ni ushujaa sana mithili ya kubeba kombe la Dunia.
Kwa taarifa yenu hao mnaowaibia wake au waume zao ndio wanaotoka na watoto zenu, dada...
Urevuka!
Yaani ni aibu sana unafanya matukio, unafanya ujinga mtaani na kwa jamii kisha kutoka nje unaona aibu. Ni upuuzi Sana.
Jamaniee wakati fulani unafanya upuuzi then unaogopa kutembea mchana pale unapohisi wanajamii wanakuona mjinga.
Unapigana kwa sababu zako, unaona aibu ya nini?
Kuna kale kauchovu huwa kanakuja baada ya kupiga bao inabidi usizi dakika kadhaa kabla ya kuendelea raundi nyigine, wengine hata kuendelea hawewezi wakishapiga kimoja kifuatacho huwa ni kuuchapa usingizi mzito.
Kuna namna yoyote huo uchovu ni kama ule wa mtu anaetembea kilometa tatu ?
Miguu yote miwili kwa pamoja ina 50% ya neva za mwili wa binadamu, 50% ya mishipa ya damu, na 50% ya damu katika mwili wako wote inapita kupitia hiyo.
▪️ Ni mtandao mkubwa wa mzunguko wa damu unaounganisha mwili. _*hivyo tembea kila siku.*
▪️Ni pale tu miguu inapokuwa na afya nzuri ndipo...
Kwa elimu hii kuwa kwenye nyayo Kuna swichi za kutibu kila ugonjwa.
Kuna jamaa alinipa hizi story nikamkatalia. Ila naona kama wanazidi kushamiri kufundisha tiba ya mikono na miguu.
Kuna ukweli wowote katika hili?
Kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza nchini, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohamed Janab ametoa angalizo kuwa licha ya kuharibu bajeti ya afya kila mwaka, maradhi hayo yataathiri uchumi wa familia na nguvukazi ya Taifa.
Profesa Janab ametoa...
Habari za muda,
Niende kwenye kuonba msahada mtoto wangu kwa sasa ana umri wa miaka 3 ila kuna hali inayo mtokea nimeshidwa kutambua nini naomba kufahaam mtoto kucha tembea uku akichapia mguu mmoja ambao ni wakulia mwanzo niliona labda atakuwa ameumia kwa michezo ikapita miez kama miwili akawa...
Shindano la kutembea kwenye kamba angani limefanyika katika Bustani ya Kitaifa ya Misitu ya Huangshizhai huko Zhangjiajie, China. Watu 10 wameshindana kwa kutembea juu ya kamba kwa urefu wa juu wa zaidi ya mita 200 angani.
Mwanajeshi wa JWTZ kutoka shule ya Uongozi TMA Monduli, Muhidin Kimaro amenyofolewa pua baada ya kufumaniwa na mke wa askari mwenzake nyumbani kwake ambapo anaishi na wanawe watatu baada ya kutengana na mke wake kwa muda, Neema Kimaro.
Kimaro anadaiwa kuwa na tabia kujihusisha na uhusiano na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.