Mi hata baiskeli sina, napanda bodaboda sasa tunafanya kazi ya Mungu, Hakuna Askofi anayepanda bodaboda wala hakuna Padri anayepanda bodaboda, Waislam tuko nyuma sana, halafu bahati nzuri waumini wwetu hawatupendi yaani ukionekana unatemea kwa miguu wanakwambia sunah, Sunah ya nani?