Shida waislamu wanaamini adui wao wakubwa kabisa ni hapa duniani ni wakristu hivyo huacha kujiahangaikia wao na kutazamia kuwananga wakristu na kuwasilimisha
Hali ni tofauti kabisa kwa wakristu hasa wakatoliki hawana muda na wengine wao huchapa kazi tu na kujiimarisha kwa kila nyanja na kamwe hawapungui kwa namba, kwa mahitaji, kwa maarifa na kwa ustawi
Wakatoliki ni imara sana Wana mfumo mzuri sana wa kimaisha, na hata hizi jumuiya zao huwa zinawabeba ndugu zao wenye changamoto za kimaisha
Hakuna padre tajiri ila hakuna padre anayekosa hitaji lake lolote la msingi kwa kuwa ni mifumo ndiyo inayoendesha taasisi, kwenye ukatoliki hakuna kubwa kuliko mwenzio na wala hakuna asiye na umuhimu