Wale masista inakuwa wana vigezo pia? Huwa naona muda mwingi wanachapa lapa. Dada mbichi lakini kaamua kuwa sista.unafanya mambo kadri ya mahitaji yako na si kwavile huyu kafanya hivi. Sheikh ana graduate madrasa, Padre anagraduate University, sasa huoni kuna mahitaji tofauti!
Hauwezi linganisha hao viongozi wa dini ya kiislamu na hao viongozi wa dini ya kikristoPhd holder za upupu wa teolijia
Sema nyinyi mafwamba mnapelembwa na michango ya kausha damu kama mazombii, mnatoa tu ndio anashibia, mara mwamposa na hoteli ya kitaliii, hapa nani poyoyo
Mbona hujaniita?😂unajimaliza mpaka unakosa nauli.
tena sasa hivi huwi pastor kama huna elimu ya chuo kinachotoa elimu ya kueleweka. Mapastari wengi siku hizi ni wasomi wakubwa watupu. Unakuta pastor ni mchumi, mwanasheria, daktari, mwalimu, mhandisi. Hii ni tofauti na masheikh, masheikh wao wamekariri quran tu. Hawawezi kujilinganisha na maaskofu, maaskofu wana taaluma nyingi zaidi ya theolojiaPastor ana PHD / MASTERS
Waumini ni Watoaji wazuri na wanabarikiwa sana maana huwezi kuvuna bila kupanda.
Waislam badilikeni, siyo dhambi kutoa
😀 😀 😀Hwa hapo chini ya markazi za taasisi ndio tatizo , ila wale kweny Taasisi wanakula pesaAjichanganye tu aanzishe sadaka ya kujimaliza kama hatukunyofoa fuvu lake
Kwanza magari yamegunduliwa na kutengenezwa na makafirKutembea ni ibada. Waislamu tutembee tuachane na Magari.
Mkuu naona unachanganya mada, masters na PhD ndio kigezo cha Padri au Askofu kutumia gari???Wakasome Sasa MTU umeishia memkwa ufanane na askofu mwenye masters na PhD?
wana mambo ya kizamani sana. Kuna wapakistan fulani hivi waumini wa dini hiyo walikuwa na madevu mengi kama kawaida ya dini yao kuachia madevu mithili ya sheikh osama walikuwa wanatembea kwa miguu huku wakikokota baiskeli zao zenye mizigo mikubwa. Masheikh hao hawakutaka ufahari waliona kutembea maili nyingi kwenye safari yao ni vema tu na waliishia kulala misikiti midogo ya hali ya chini kwenye vijiji na miji walikopita wakiendelea na safari zaoKutembea ni ibada. Waislamu tutembee tuachane na Magari.
Masista wengi ni manesi wengine walimu ulikuwa haujui unadhani ni hao wavaa ushungi.Wale masista inakuwa wana vigezo pia? Huwa naona muda mwingi wanachapa lapa. Dada mbichi lakini kaamua kuwa sista.