waislamu tuko nyuma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake washika dini Waislamu hawana Sigda kama wanaume?

    Kwa uzoefu wangu sigda huwa naziona kwa wanaume wa Kiislamu tu, sina uhakika kama wanaume wote wenye Sigda ni swala tano lakini upande wa wanawake hata awe wa swala tano kila siku sijawahi kumuona mwenye Sigda. Huu utofauti unachangiwa na nini?
  2. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Sheikh: Waislamu tuko nyuma sana, hakuna Askofu anapanda bodaboda, ukitembea kwa mguu wanasema Sunah

    Mi hata baiskeli sina, napanda bodaboda sasa tunafanya kazi ya Mungu, Hakuna Askofi anayepanda bodaboda wala hakuna Padri anayepanda bodaboda, Waislam tuko nyuma sana, halafu bahati nzuri waumini wwetu hawatupendi yaani ukionekana unatemea kwa miguu wanakwambia sunah, Sunah ya nani?
Back
Top Bottom