Waislam safi wanapafunika na juba,yenyewe iko Kwa juu juba linakuja mpaka juu ya macho kidogo!Sigda usoni🤣
Uanzishe thread pia kwann wakristo wanachukia ijabu,wakati sanamu la bikira la. maria limevishwa ijabu,,na masister pia wanavaa nguo za kujistiri na ijabu........Kwa uzoefu wangu sigda huwa naziona kwa wanaume wa Kiislamu tu, sina uhakika kama wanaume wote wenye Sigda ni swala tano lakini upande wa wanawake hata awe wa swala tano kila siku sijawahi kumuona mwenye Sigda.
Huu utofauti unachangiwa na nini?
Duu mambo mengine sio poa,unachunguza watu hadi umefikia hapo! Anyway Hili swali ni sawa na kusema mbona omaga ananyanyua vitu vizito lakini hana misuli kama John cena!Kwa uzoefu wangu sigda huwa naziona kwa wanaume wa Kiislamu tu, sina uhakika kama wanaume wote wenye Sigda ni swala tano lakini upande wa wanawake hata awe wa swala tano kila siku sijawahi kumuona mwenye Sigda.
Huu utofauti unachangiwa na nini?
Wanawake Wakristo hawalazimishwi na dini yao kuvaa Hijabu, uvaaji wa masista wa Kikatoliki wamejiamulia tu wenyewe katika dhehebu lao.Uanzishe thread pia kwann wakristo wanachukia ijabu,wakati sanamu la bikira la. maria limevishwa ijabu,,na masister pia wanavaa nguo za kujistiri na ijabu........
Kwaiyo hata muumini akienda kanisani na umini hadi bikini inaonekana ni sawa tu,, maana tunawaona jpili wengine matako wameyabana hadi michupi mikubwa inaonekana na kututega sisi watumishi wengine wa kirohoWanawake Wakristo hawalazimishwi na dini yao kuvaa Hijabu, uvaaji wa masista wa Kikatoliki wamejiamulia tu wenyewe katika dhehebu lao.
Ndiyo, ni sawa. Makanisa mengi tu wanawake wanaenda kanisani na vimini. Katika dini ya Kikristo kilichozuiliwa na Biblia ni wanawake kuvaa nguo za wanaume na wanaume kuvaa nguo za wanawake. Miongozo mingine yote ni taratibu za makanisa tu.Kwaiyo hata muumini akienda kanisani na umini hadi bikini inaonekana ni sawa tu,,
Wamejisitiri miili tu siyo nafsini ...wachawi na washirikina wote wanao enda misikitini huwa vizuri kwenye kujisitiri miili ila nafsi zao ni chafu sana ...na hivyi ndivyo ilivyo kwa watu wanao jivunia dini katika kizazi chetu cha duniani ni wanafiki watupuWanaawake swala tano walio shika dini vzr wanafaaa saana kuoa.
Wananidhamu ya Hali ya juu saana kuanzia kujisitiri na Tabia
Mungu awabariki popote walipo.
Kuhusu sijgda nadhani ni necha ya miili Yao. Wengi husalia nyumbani hamna lile kapeti linaloleta msuguano Kati ya paji la USO na kapeti ambao husababisha sijgda.
Ukhty Shadeeya Una maelezo yaziada??
Wanawake wa kiislam wanajitambua.Kwa uzoefu wangu sigda huwa naziona kwa wanaume wa Kiislamu tu, sina uhakika kama wanaume wote wenye Sigda ni swala tano lakini upande wa wanawake hata awe wa swala tano kila siku sijawahi kumuona mwenye Sigda.
Huu utofauti unachangiwa na nini?
Wapo wanawake pio ambao huwa wanavaa hijabu ambazo zinabana sana matako na kuwatega waja wa Allah.Kwaiyo hata muumini akienda kanisani na umini hadi bikini inaonekana ni sawa tu,, maana tunawaona jpili wengine matako wameyabana hadi michupi mikubwa inaonekana na kututega sisi watumishi wengine wa kiroho