kutembea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kutembea na mke wa mtu na kuzaa naye ni kosa kubwa sana

    Yaani inakuwaje unatembea na mke wa mtu mpaka unazaa nae. Hili ni jambo hatari sana katika jamii yetu.
  2. Sheikh alalamika kutembea kwa miguu

    Amewataka waislamu wawajari
  3. Video: Madhara ya kutembea na mke wa mtu vijijini

    Hapa bila Shaka itakuwa ni Bunda Vijijini
  4. R

    Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kutumia simu kioo kimepasuka miaka miwili, kutembea kubana nauli, niliyaogopa mapenzi, n.k, Umasikini ulaaniwe

    Nikikumbuka maisha niliyowahi kuyaishi siwezi kuja kumuombea hata adui umasikini, Ni hali inayoaibisha, kukunyanyasa, kushusha heshima, kukutesa, n.k. Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kiatu unaenda kutafuta lisaa zima uone chenye nafuu Simu imepasuka kioo miaka miwili sina pesa ya kubadili...
  5. Kutembea na mwanafunzi siyo kosa kisheria

    Watu wengi wamekuwa wakishindwa kuwa na uelewa sahihi wa kisheria kuhusiana na swala la kutembea (kufanya mapenzi) na mwanafunzi. Kwenye sheria za Tanzania, hakuna kosa la kutembea (kufanya mapenzi) na mwanafunzi. Ili jambo liwe kosa kisheria ni lazima kuwe na sheria inayopiga marufuku kutenda...
  6. Eupuka sana kutembea na mke wa mtu, adhabu inayotolewa siku hizi ni mbaya sana

    Eupuka sana kutembea na mke wa mtu, adhabu inayotolewa siku hizi kwa watu kama hao ni kupakwa wese, vijana wengi wamepelekwa Kwampalange Ndugu zangu hii ndiyo adhabu mpya ya kutembea na wake za watu leo asubuhi saa tisa mitaa ya Goba amerudi kijana wa bodaboda kutoka kwenye mikono ya mafirauni...
  7. Kuna watu wazima wanaogua tatizo la kutembea usingizini(sleepwalking)?

    Tatizo la watu kutembea wakiwa usingizini(sleepwalking) ambapo mtu anakuwa anafanya mambo mbalimbali akiwa usingizini huwa common sana kwa watoto wadogo. Huwa inasemwa kwa watu wazima wenye hili tatizo wanaweza kuamka wakafanya mambo mbalimbali wakiwa usingizini ikiwemo kupika na kula kabisa...
  8. Familia ya kiarabu na wakristo wameniambia niache kutembea na mtoto wao eti kisa nimi ni muislamu nikiendelea watanifunga jela

    Aisee hizi familia za kishua bwana sijui wanajikuta nani sijui wanajikuta nani aisee hii familia Wana hela kweli kweli na familia ya kiarabu na familia ya kikristo hawa sijui waarabu gani hawa ambao ni dini ya kikristo wameniambia niache kutembea na binti yao eti kisa mie ni muislamu na sina...
  9. Wananchi wa Mlolongo huko Nairobi wamlazimisha kiongozi wao kutembea kwenye maji machafu kuonyesha hali mbaya ya miundombinu

    Wakuu, Inaonekana kama Wakenya wameshachoshwa na ahadi za uongo kwa hivyo wameamua kuchukua sheria mkononi. Wakazi wa eneo la Mlolongo mjini Nairobi wameamua kumpitisha kwenye dimbwi la maji mchafu, kiongozi wa Kaunti yao Daniel Mutinda ili kumuonesha changamoto wanazozipitia kila siku. Video...
  10. Msaada kwa mwenye kujua jina la band na wimbo unaozungumzia Nyerere kutembea kwa miguu kutoka Butiama hadi Mwanza kuunga mkono Azimio la Arusha

    Wadau naomba kwa mwenye kujua anifahamishe jina la band na wimbo wenye maneno haya: ..... Azimio la Arusha lilipotangazwa Tanzania, Nyerere alitembea kutoka Butiama mpaka Mwanza. Juhudi za Mwalimu na watanzania wote, haikupita miaka mingi tukatoka utumwani.... Ni wimbo wa miaka mingi...
  11. Wakuu niko natoka Kigoma kwenda mwanza!! Niwekeeni story ya kutembea nasoma

    Wakuu, Iwe kuhusu vita migogoro, Visa katika utafutaji Najua kuna nyuzi humu zingine sijawai ziona
  12. Kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kuidhulumu nafsi

    Nipende kuwa tu muwazi, unless kuna faida za kiuchumi unazozipata, kijana mdogo kutoka na mshangazi ni kujipunja na kuidhulumu nafsi yako. Niulize kwanini? Kikubwa unachotakiwa kujua ni kuwa wanawake hua wanaanza mambo ya mapenzi mapema sana. Kwa kawaida mabinti huanza "mchezo mchafu" wakiwa...
  13. K

    Serikali ijue tofauti ya maandamano na kutembea!

    Unaweza kuwazuia watu kutembea kama njia ya maandamano lakini wakawa wamekutana nakutoa ujumbe. Kikubwa sio kutembea ni ujumbe kufika Na kuna wakati jitihada za kutumia jeshi au Polisi zikasaidia zaidi kwenye ujumbe . Ndiyo maana usifikirie kuzuia matembezi ni kuzuia maandamano. Kama wana...
  14. Sheria ingeruhusu, Olympic ijayo ningejipeleka, kumbe kuna hadi mashindano ya kutembea

    Olympic ys mwaka huu ilikuwa na michezo zaidi ya 30. Hadi kutembea ulikuwepo Niliwahi kutembea kwa miguu toka Kibamba mpaka Masaki studio za Master Jay kurekodi single yangu,ilikuwa mwanzoni mwa miaja ya 2000, Leo hii kuna wakina mama kila jumapili wanatembea kwa miguu toka mbagala au gongo...
  15. Najuta kutembea na binti wa kirangi

    Wakuu siandiki thread hii Kwa lengo la kukashifu au kutweza mtu au kabila la mtu. Iko hivi Miaka 10 au zaidi kidogo iliyopita nilijikuta kwenye huba zito na binti mmoja pale Arusha mjini. Bint huyu alikuwa mzaliwa wa Arusha lakin wazazi wote wawili ni warangi. Kwa sababu za hapa na pale...
  16. Wanaume, achani kutembea na liabilities

    1. Msichana ambaye siku zote ye hana nauli ya kuja kukutembelea na anadai kuwa anakupenda. 2. Mwanamke ambaye hawezi kukupatia zawadi ya siku ya kuzaliwa au valentine lakini anatarajia utamleteA vya kunoga Kwa ajili yake wakati wake. 3. Mtu ambaye hawezi kukupigia simu hata kwa dakika 5...
  17. J

    Je, miaka 30 jela ni suluhisho sahihi kwa wale ambao watakiuka sheria ya maadili ya kutembea na wanafunzi?

    Tangu sheria ya kumlinda mtoto wa kike hasa wanafunzi wale waliochini ya umri wa miaka 18 kumekuwa na mazoea fulani ambayo jamii inahitaji kuyafanyia ufumbuzi Jambo la kwanza. Sheria imejikita zaidi kuwaangalia wahanga( Watoto) lakini jamii haina mafunzo ya kutosha kuhusu kujilinda kwa watoto...
  18. Askofu TD Jakes ajiuzulu baada ya kashfa ya kutembea na muumini wake....

    Askofu TD Jakes ambaye amemtumikia Mungu kwa miongo mingi amejiuzulu kwa madai ya kuwa na mahusiano na mmoja wa waumini wa kanisa lake. Source: Tecnico Informatico
  19. R

    Nimeanza mazoezi kutembea KM 15 nachunika mapaja

    Wadau wa nguvu wazoefu wa mazoezi naombeni ushauri wenu Ninachunika paja la kulia just day 1 ya mazoezi ya kutembea. Je, ni hizi boxer za kawaida ndio shida kwa maana haziwezi accomodate aina hiyo ya mazoezi? Nitumie nini au nivae underwear gani nzuri isiyoleta hii kadhia. Kwenu wadau. cc...
  20. Wakazi wa Dar es salaam kulazimika kutembea na oksijeni baada ya miaka mitano

    Profesa wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), Julius Nyahongo amesema kuwa miaka mitano ijayo, wakazi waishio Dar es Salaam watalazimika kutembea na oksijeni kutokana na ongezeko la joto. Profesa Nyahongo amesema kuwa ongozeko hilo la joto linachangiwa na ukataji wa miti kiholela hali inayohatarisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…