Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeitupilia mbali kesi ya madai iliyofunguliwa na Dk William Morris, raia wa Marekani dhidi ya mkewe Dk Phills Nyimbi na Mchungaji Josephat Mwingira.
Akisoma hukumu hiyo leo Februari 26, 2018, Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba amesema Dk Morris katika kesi hiyo...