kutenda makosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hata utende mema 100, kosa moja litafuta mazuri yote

    Siku zote unaweza kutenda mema 100 lakini wapo wanadamu ambao watasubiri utende kosa moja tu ili kufuta mazuri yote ambayo umewahi kutenda katika maisha. Mwanangu usikate tamaa, wewe ni mwanadamu huwezi kutenda yote, na huwezi kufanya yote yakawa sahii. By Donald Trump
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…