Polisi mnashindwa nini kuwaita mnaowashuku kutenda makosa kama mlivyomuita Boni Yai leo? Today you acted professionally!

Polisi mnashindwa nini kuwaita mnaowashuku kutenda makosa kama mlivyomuita Boni Yai leo? Today you acted professionally!

Endelea kufanya kazi professionally na si kuteka watu.
Basi mtoe Soka et al! Mtoe Mdude basi! Na wengine
Kumteka mtu kama bony yai kwa kipindi kama hiki ni risk na kwao pia, unazani hawana akili?? Kuna level ukifikia kwenye siasa unakua na kaulinzi flani hivi.( Namaanisha lolote baya likafanyika juu yako linakuwa na damage kwa pande zote mbili, kwako na kwao! Hiyo level akina bony yai washaifikia. Sasa jichanfanye wewe mwenzangu na Mimi.
 
Siku zote polisi wamekuwa wakiwaita. Tatizo tu ni kwamba, kwa kutafuta sifa za kisiasa, wamekuwa hawaendi kwa makusudi Ili migogoro itokee wakijua Kuna mamburura watayadanganya na kupata support yao Ili kuichafua serikali.

Kuhusu utekaji, Dr slaa alishaweka wazi kuwa hiyo kazi inafanywa vizuri tu na chadema.....Kuna kundi maalum kabisa la kazi hiyo kule ambalo ni maprofessional wa kuteka na kuiuzia serikali kashfa hiyo. Niambieni, Kuna nyumbu gani humu anaijua serikali kuliko Dr Slaa?!!!
 
Kumteka mtu kama bony yai kwa kipindi kama hiki ni risk na kwao pia, unazani hawana akili?? Kuna level ukifikia kwenye siasa unakua na kaulinzi flani hivi.( Namaanisha lolote baya likafanyika juu yako linakuwa na damage kwa pande zote mbili, kwako na kwao! Hiyo level akina bony yai washaifikia. Sasa jichanfanye wewe mwenzangu na Mimi.
😅😃😂😀😁 Jichanganye😁😀😂😃😅
 
Back
Top Bottom