kutengeneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nail artist(Mtu wa kutengeneza kucha) anahitajika haraka..

    Anatafutwa mtengeneza kucha.Atakuja siku nne za mwisho wa week tu. Siku nyingine akafanye issues zake.Kwa maana kwamba atafanya kazi siku 16 tu za mwezi. Mshahara atachagua alipweje. 1. 200,000 Tshs kwa hiyo Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi na Jumapili atakayokuja. 2. Hakuna mshahara wala...
  2. SoC02 Jinsi ya Kutengeneza umoja wa kitaifa Bila migongano!

    UTANGULIZI Makala hii inajikita katika kuangalia namna Bora ya kuwa na umoja na ushirikiano wa kitaifa wenye tija Bila kumuathiri mtu au kikundi chochote Cha Watu katika nchi yetu! Ingawa mara nyingi tunaambiwa hakuna mabadiliko yasiyo na maumivu hata hivyo Kwa njia hizi zikitumika ipasavyo...
  3. Unawezaje kutengeneza divai ya zabibu nyumbani?

    Eti wakuu. Kutengeneza divai ya zabibu nyumbani inahitaji vitu gani? Inatengenezwaje?
  4. EU yaizuia Afrika kununua mbolea Urusi, lakini pia wamezuiwa kutengeneza mbolea

    Vita vya Urusi na Ukraine vimeleta matokeo mabaya kwa nchi za Afrika ambazo zina-import bidhaa kutoka nchi hizo. Na sasa baadhi ya nchi tayari zimeshakumbwa na njaa huku kilimo kikiwa kinachechemea. Baraza la Umoja wa Ulaya limependekeza kuzuia Afrika kununua mbolea kutoka Urusi ikiwa ni moja...
  5. B

    Hongera Wananchi kutengeneza barabara za mitaa Mwanzi Manyoni

    Wananchi wa kitongoji ya Mwanzi mtaa wa mlimani leo wamejitokeza kwa wingi kutengeneza barabara ya mtaa ili kuweza kuondoa tatizo ya ukosefu wa barabara inayosababisha wakina Mama wajawazito kushindwa kupelekwa hospitalini. Rai yangu serikali iwashike mkono Wananchi wao kwa kuwachongea barabara...
  6. China yafanikiwa kutengeneza kompyuta yenye akili ya binadamu

    Wanasayansi wa China wamejisifu ktengeneza super computer ambayo ina akili bandia na uwezo sana na akili ya mwanadamu. Komputer hiyo ina storage na memory ya kutosha. Na wengine mmezoea quad cores hii ina 37 milion CPU Cores. = Today in "Skynet does Asia" news, Chinese scientists are boasting...
  7. Nataka kuigeuza Tsh. 2,000 itengeneze zaidi ya Tsh. Million 1 kila mwezi

    Nimewaza kutafuta biashara nitayopata faida sh 2000 kwa kila item. Nimepiga hesabu nitatengeneza million na zaidi kwa mwezi. Hesabu ipo hivi, niweze kuuza bidhaa 500 ndani ya mwezi, nipate shilingi 2,000 faida kwa kila bidhaa. Kwa siku niuze bidhaa 20 na kila bidhaa niuze kwa faida ya Tsh 2000...
  8. Tumia elimu yako kutengeneza mwenyewe

    Habari zenu wadau! Bila Shaka mko vizuri, poleni na majukumu ebana, nashangaa sana na sifurahi nimwonapo kijana msomi, tena aliyezaliwa kijijini akihangaika mijini na maisha ya kuungaunga na elimu yake kichwani.. unaanzajaje kuondoka kijijini sehemu ambako kuna fursa chungu nzima, et unaenda...
  9. Phone repair (programs & ma file ya kutengeneza simu)

    Salamu zangu ziwafikie wote walio jaliwa afya njema na pole kwa ndugu zangu wanao pitia wakati mgumu kiafya hasa wenye homa kali na mafua. Niende kwenye mada nisiwachoshe Sana ndugu zangu. Nimeamua rasmi kufanya kazi ya ufundi simu hii ni kutokana na hali ya kiuchumi kuwa tete kwa upande...
  10. TRC wavunja mkataba na Kampuni iliyopewa tenda ya kutengeneza Vichwa vya Treni

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) limevunja mkataba na kampuni ya Eurowagon ya nchini Uturuki baada ya kushindwa kukamilisha ujenzi wa vichwa viwili vya treni ya umeme na mabehewa 30 ya abiria. Kwa mujibu wa mkataba huo, vifaa hivyo vilitakiwa kukamilika Novemba 2021 lakini kwa kuwa Eurowagon...
  11. Naomba kuelekezwa namna ya kutengeneza Siki ya Mbilimbi

    Habari za muda huu! Samahani sana naomba kwa anaejua namna nzuri ya kuandaa siki ya mbilimbi iwe nzuri na tamu, kwa kutumia viungo mbalimbali kama vile nazi; pilipili; nyanya na kadharika. Maana nina mti wangu hapa nyumbani umezaa sana na sijui namna bora ya kuandaa siki hiyo. Najua humu ndani...
  12. Kama sio janja ya kutengeneza upigaji kwa manufaa ya tumbo lake hii ni nini? Waziri wa Nishati kuanzisha mradi wa Tril 1.7 kabla JNHP kukamilika

    Inaingia akilini kweli wadau? Tunahitaji huu mradi ukamilike ndani ya wakati na taifa liweze kupata nafuu ya bei ya umeme na kisha gharama za maisha kushuka chini na wananchi kufurahia keki ya taifa. Huku akijua kabisa mradi wa JNHP upo 40% lakini badala akomae mradi uishe kwa wakati na gharama...
  13. Tusipinge Simba na Yanga kupokea na kushangilia timu za kigeni bali tuboreshe ili kutengeneza utalii wa michezo ( Sport tourism)

    ➡️ Kwa muda mrefu wadau wahafidhina wa michezo hapa nchini wamekuwa wanakereka na tabia iliyoota mizozi ya Simba na Yanga kupokea na kushangilia timu za nchi nyingine zinazokuja kucheza na timu mojawapo kwa kusema kuwa wanakosa uzalendo ➡️ Jambo hili wamepambana nalo na limeshindikana kwa...
  14. Nataka kuanza kutengeneza marembo kwenye madirisha na nguzo, napataje vifaa mafundi wenzangu kama mpo humu?

    Ndugu zangu tunajaribu kupambana na maisha ili siku ziende, ukishika hapa unajaribu na pengine, naomba wenye kujua namna ya kupata vifaa vya kucholea marembo kwenye nguzo na madirisha anisaidie tafadhali.
  15. Kiongozi makini na anayejali wananchi wake asingekubali zaidi ya bil 11 kutumika kutengeneza filamu ya namna hii badala ya kuboresha huduma za afya

    Ilikuwa ni jambo la kutumia kamera za Tbc taifa na kutengeneza filamu ambayo ingewekwa kwenye masoko mtandao ingeuzika na kuenea dunia nzima. Hayo mabilioni yaliyotumika yangeimarisha huduma za afya huko vijijini maana vituo vya afya na Zahanati nyingi hazina madawa na vifaa tiba. Hakuna kitu...
  16. Fahamu jinsi ya kutengeneza Android App bure

    Karibu tena jamaniina leo nakuleteya kitu ambacho ulikuwa unatamani ukifanye alafu unashiindwa.. kuna wakati unahitaji sana kutengeneza Android Application lakini haujui kuhusu lugha inayotumika kutengeneza hizo Android Application yaani JAVA au Python na jinsi ya kutengeneza mpaka ikamilike...
  17. Hivi kama nchi tumeshindwa kabisa kutengeneza mbolea?

    Katika utengenezaji wa mbolea kitu kigumu kupata ni Phosphate. Hii haiwezi tengenezwa kama material zingine za mbolea, Nitrates nk. Phosphate huchimbwa. Duniani nchi inayoongoza kwa kuwa na phosphate nyingi ni Morocco. 75% ya phophate yote duniani ipo Moroco. Tani bilioni 50. Mazao yanapokua...
  18. Wizara ya Ajira wateuliwe wasomi waliofanikiwa kutengeneza ajira kupitia elimu zao

    Huu ni ushauri: Napendekeza Wizara ya ajira wateuliwe wasomi waliofanikiwa kutengeneza ajira kupitia elimu zao. Serikali isitishe kuteua mawaziri watafuta ajira katika hii wizara nyeti. Wanakosa ubunifu kwasababu wanakua hawana uzoefu wala ujuzi unaoweza kusaidia kuwapa uelekeo watanzania...
  19. China wameweza kutengeneza jua la bandia [artificial sun]

    - Wanasayansi wa China wemeweza kutengeneza jua la bandia kwa ajili ya kuuzalisha umeme.picha[emoji116] - Jua la bandia [ Artificial Sun ] hiki Ni kinu cha kuzalisha umeme kinachofanya kazi kwa nguvu ya nuklia[nuclear fusion]. - Mfumo wa ufanyaji kazi wake ni katika mfumo wa nuclear fusion...
  20. Jinsi ya kutengeneza blog au tovuti

    Hamjambo marafiki, natumain mji wazima Leo hii nineamua kuchukua fursa hii kutoa mwingozo kiaina kwa yeyote ambaye anavutiwa na wazo la kumiliki blog. Blog Ni nini ... Blog Ni kurasa za taarifa mbali mbali zeny kufuata kundi au aina ya taarifa, yaweza kuwa michezo,muziki,chakula nk Mfano wa blog...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…