kutengeneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Zanzibar-ASP

    Pesa zilizotumika kutengeneza filamu ya Royal Tour ni mali ya nani?

    Serikali ya Tanzania imesema zaidi ya shilingi bilioni 7 zilikusanywa kutoka kwa watu binafsi ili kufadhili uandaaji wa filamu ya Royal Tour. Serikali inakiri mambo haya: 1. Serikali ndio iliyoomba watu mbalimbali wachangie pesa za kuandaa hiyo filamu. 2. Serikali ndio iliyoratibu ukusanyaji wa...
  2. Nyankurungu2020

    Wazo lenye mantiki: Kama mabeberu ni watu wema wamshinikize rais Samia kutengeneza katiba mpya

    Jambo ambalo mabeberu huwa wanapigia kelele kwa muda mrefu ni kushirikiana na mataifa yenye tawala zenye demokrasia. Mkiwa kwao mabeberu tayari mmetoa ujumbe kuwa kumbe demokrasia yetu hapa nchini ina mapungufu makubwa. Kwa hiyo tunahitaji katiba mpya ili kuondoa hayo mapungufu. Sasa kama...
  3. Jumanne Mwita

    Jifunze namna ya kutengeneza sabuni za maji, kufulia, shampoo, sabuni za miche na chooni

    UTANGULIZI: SURA YA KWANZA UTENGENEZAJI SABUNI ZA MAJI SABUNI ZA KUNAWIA MIKONO SABUNI ZA CHOONI SABUNI ZA KUFULIA SHAMPOO UTENGENEZAJI SABUNI ZA MICHE MAFUTA YA MGANDO (Kupaka ) SEHEMU YA PILI UTENGENEZAJI WA : BATIKI AINA ZOTE UTENGENEZAJI VIKOI SHANGA, HERENI, BANGILI UTENGENEZAJI ZURIA...
  4. L

    Wazo la kutengeneza mobile app

    Wakuu habari za majukumu, ni matumaini yangu kuwa wote mu wazima wa afya. Lengo la huu uzi ni kukusanya mawazo ya mobile app ya kutengeneza. Nilikuwa naomba Kwa aliye na wazo au anaona changamoto iliyopo kwenye jamii ambayo inaweza tatuka Kwa mobile app basi tuahilikishane. Mimi ntaanzia kazi...
  5. chiembe

    Kulikuwa na nini kati ya Tanroad ya Mfugale na JPM? Tanroad ilipokea fedha kuleta mtambo wa kutengeneza sukari wa dola milioni 50, haukuletwa!

    Huyu ndiye Rais wa wanyonge, aliyejipambanua kupambana na ufisadi, alidanganya wananchi wa kawaida wakamwamini, mlango wa nyuma alikuwa anafanya kweli. Kazi ya Tanroad ni barabara, lakini Mfugale alikuwa Kila mahali, uwanja wa ndege chato, yupo,standard gauge railway yupo. ==== ➡️"TANROAD...
  6. beth

    Upi Mkakati wa Tanzania kutengeneza Ownership ya Parachichi kwa kuanza kuzibrand kama product ya Tanzania?

    Mbunge wa Jimbo la Makete, Mhe Festo Sanga amehoji Bungeni leo kuhusu Soko la Parachichi. Namnukuu: "Soko la Parachichi Duniani linasomeka parachichi zinazalishwa Nchi jirani ya Kenya, ili hali Parachichi asilimia zaidi ya 50 zinazotoka Ukanda huu wa Africa Mashariki zinatoka Tanzania...
  7. kavulata

    Wabunge hawa hawana sifa ya kutengeneza maono ya Taifa kama Askofu Gwajima anavyotaka iwe

    Maono ya taifa ni makubaliano ya jumla ya taifa kuhusu uelekeo wa wanakotaka kufika na kujiona wamefika huko wanakotamani kufika miaka kadhaa (mingi) ijayo. Makubaliano ya aina hii ni lazima yatengenezewe mikakati ya kufika huko tunakotamani tufike kama taifa. Mkakati huo lazima utekelezwe na...
  8. Magazetini

    Serikali kutangaza ajira mpya 32,000 wiki ijayo, Afya na Elimu kunufaika zaidi

    Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza. Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  9. E

    Kufanikisha kutengeneza gari, Kipanya ni shujaa

    Kitendo alichokifanya Masoud Kipanya ni cha kishujaa na kinastahili kupewa pongezi. Tunahitaji vijana wengi kuiga alichokifanya kipanya katika bidhaa mbalimbali zinazozalishwa huko ulimwenguni, wabuni kwa brand zao na kutengeneza. Labda nimshauri Kipanya kuwa gari lake asiliweke makumbusho...
  10. J

    Natafuta mtaalam wa MQL anifundishe kutengeneza system hii

    Wakuu habari, nataka kujua kama kuna mtaalamu wa kunifundisha namna ya kutengeneza forex robot (automated trading system) kwa kutumia MQL script language hata kwa malipo Ni programu ambayo inasaidia ku trade automatically, ukishaitengeneza na kuweke vigezo vyako vya ku trade, unaijaribisha...
  11. Equation x

    Je, kuna jitihada zozote za kutengeneza maprofesa wengi huko vyuoni?

    Wanachuo wengi wanasoma kwa kutegemea ufadhili wa kutoka sehemu mbalimbali, inawezakuwa kwa: serikali, shirika, chuo, familia n.k Gharama za kusoma degree, na masters sio kubwa sana, ndio maana hata ufadhili wake hauna changamoto sana. Ukija upande wa PhD , gharama zinakuwa kubwa sana na wengi...
  12. FOX21

    Madini gani hutumika kutengeza vifaa hivi?

    Naomba twenda direct kwenye point. Ningependa kufahamu aina ya madini yanayo tunika katika vifaa vya electronic hasa saket za simu, tv,remote control, computers...nk. 👇👇👇
  13. Abuu Abdurahman

    Hatua kwa hatua jinsi ya kutengeneza tovuti yako binafsi/ofisi au kwaajili ya kujiingizia kipato

    Habari za sasa Mabibi na Mabwana, Matumaini yangu ni kuwa mnaendelea vyema kabisa.. Nawasalimu kwa jina la Jamuhuri ✋ ANGALIZO: Popote utakaposhare post hii au kuihifadhi, tafadhali usibadilishe/usiedit chochote pia toa Credit kwa Muandishi UTANGULIZI Ikiwa unahitaji kufungua tovuti kwaajili...
  14. jingalao

    Lazima Tanzania iwe na mpango maalumu wa kutengeneza Silaha za kujilinda

    Bajeti ya kila mwaka inaputa tu lakini sijawahi kuona bajeti mahususi ya kuunda silaha zetu. Tanzania ina Uranium lakini sijasikia bajeti ya kuunda Silaha kali za nyuklia kwa ulinzi wetu. Je, tunaogopa walami? Hakuna siku walami wataturuhusu kuunda silaha kali za kivita bali sisi tunatakiwa...
  15. Kasomi

    Namna ya kutengeneza Pesa kwa kutumia Mawazo

    NAMNA YA KUTENGENEZA PESA KWA KUTUMIA MAWAZO (AKILI) Mtaalamu Albert Eisteirn aliwahi kusema kwamba asilimia 5% ya watu wote duniani ndio wanaoweza kufikiri Na asilimia 15% ya watu wote duniani huwa hawajui kama wanafikiri au hawafikiri. Na asilimia 80% ya wanadamu wote wako tayari KUFA...
  16. tzhosts

    Jinsi ya kutengeneza Program ya computer(Software)

    Kwanza nianze kwa kueleza wazi kwamba mimi ni mdau katika mawanda haya ya Utengenezaji na usambazaji wa mifumo ya Computer na kwamba ninaamini kwamba kama watanzania tunapaswa kuwekeza sana katika kupeana elimu hii adhimu ya utengenezaji wa mifumo ya computer.Hata hivyo andiko langu hili sio...
  17. Beeb

    Jifunze kutengeneza scrub ya kahawa" Coffee Scrub" kwa ajili ya biashara au matumizi binafsi

    Mahitaji -Sukari ya brown kikombe kimoja -Kahawa ya brown nusu kikombe -Mafuta ya mzeituni nusu kikombe -Lemon essential oil kijiko kimoja Cha chai(1tsp) Hapo kwenye kikombe waweza tumia kikombe Cha chai(mug)au vile vikombe maalum vya kupimia malighafi vile ambavyo vina alama za vipimo. Hii...
  18. Masokotz

    Jinsi ya Kutengeneza Connection za Kibiashara

    Habari za wakati huu; Ndugu zangu hapa jukwaani nimekuwa nikiona watu wengi wakihangaika juu ya kukosa wateja wa bidhaa au huduma zao na wengine wakilalamika juu ya kukosa connection. Connection au mtandao nini?Connection au mtandao ni orodha ya watu ambao wana uwezo wa "kukuwezesha".Iko hivi...
  19. Me too

    Kuna dawa yoyote mahospitalini ya kutengeneza homoimbalance?

    baadhi ya sababu za kuota ndevu wanawake ni hormonimbalance kama wasemavyo watu wengi. sasa nauliza tu eti mahospitalini kuna dawa yoyote ya kusawazisha hili tatizo la hormonimbalance, kiukweli ndevu imekuwa kerooo hata poda inagoma.
  20. J

    #COVID19 Tanzania kuanza kuzalisha chanjo zake za COVID-19

    Rais Samia amesema Tanzania ina mpango wa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza chanjo za UVIKO-19 ikiwa ni juhudi za kupambana na janga hilo pamoja na magonjwa mengine. Rais Samia amesema hayo wakati akifanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Ulaya, Bw. Charles Michel, jijini Brussels nchini...
Back
Top Bottom