Naomba msaada jinsi ninavyoweza tengeneza bio gas digest ndogo nyumbani, nataka tengeneza kwa kutumia tank ya lita 100 kwa kutumia malighafi(materials) ninayoweza kupata kwa urahisi ni garama nafuu.
Nashukuru kwa msaada nitakaopata
Asiye kujua hakuthamini, lakini vile vile uchungu wa mwana aujuaye mzazi, hakuna mzazi anayependa kuona mtoto wake anateseka au anaishia kuwa na maisha duni,
kila mzazi anashughuli inayomuingizia kipato cha kulisha familia na kuendesha familia, kwa kuajiliwa au kujiajiri,
Hapa nchini kwetu...
Kampuni inayotengeneza chanjo ya Covid ya Moderna inatarajia kuanza majaribio ya chanjo ya UKIMWI Jumatano ijayo.
Mordena wana matumaini makubwa kwamba kutokana na teknolojia mpya ya mRNA ambayo imesaidia kupambana na virusi wa Covid, wanaamini kua chanjo ya Ukimwi kwa kutumia teknolojia hiyo...
Zipo aina kadhaa za kutengeneza CHAKI kulingana na uwezo wa mtu binafsi.
Kwa kijana mjasiriamali unaweza kuanza na mashine ndogo na baadae ukishakuza mtaji unaweza kutafuta mashine kubwa zaidi.
Mradi wa chaki ni mradi mzuri sana ambao watu wengi hawajastukia kabisa, so ni fursa ambayo haina...
Club yangu ya Yanga nmekuwa nikiipenda toka mwaka 1980s wengi wakiwa wadogo ama hawajazaliwa.
Nikiwa mwanachama halali mpaka leo hii zaidi ya miaka 40. Naifahamu Yanga kiasi fulani ambacho kinanipa nafasi ya kusimamia ninachoamini pasipo kuyumba.
Nimekuwa mara nyingi nikisema Uhuni ambao...
Taifa la watu milioni 60 ambalo wengi Ni watoto na hakuna dawa mahospitalini linawaza kuzalisha barakoa milioni 86 kwa siku ndani ya kiwanda kimoja, tunaelewana?
Kwanza napinga uzalishaji wa barakoa milion 86 haupo, lakini cha pili najiuliza lini hiki kiwanda kimejengwa maana tuna miezi mitatu...
Kabla hata Zungu hajapendekeza Bungeni kodi kwenye miamala ya simu, mimi nilileta wazo kupitia hapa JamiiForums nikipendekeza tozo kupitia line za simu zitumike kuunda Mfuko wa Bima ya Afya kwa kila mtanzania atakaekuwa tayari kuchangia bima hiyo kupitia line yake ya simu.
Nilipendekeza namna...
Habari za leo wanafamilia.
Nahitaji App developer au company inayodeal na utengenezaji wa Apps.
Nna mfadhili anataka kunipa support kwenye app yangu.
Mimi ni Muanzilishi wa Kuku Care Tanzania.
Tunauza herbs na spices Maalum za kutibu na kukinga magonjwa mbalimbali ya Kuku, kupandisha...
Ni ukweli usopingika Tanzania kwa sasa tuna wimbi kubwa la vijana wasio na ajira kutokana na mfumo wa elimu kutokuwa rafiki sana kwa vijana kujiajiri, hivyo kupelekea vijana wengi kukata tamaa na kupoteza kabisa malengo yao walojipangia katika maisha.
Laikini ukweli ni kwamba kuna njia nyingi...
Mbunge wa Musoma vijijini, Prof Muhongo amesema siyo kumbukumbu nzuri kumtengenezea sanamu marehemu au hayati na badala yake ni kheri fedha hizo zikatumike kujenga taasisi ya kuhudumia jamii kwa ajili ya kumbukumbu ya huyo anayetakiwa kukumbukwa.
Chanzo: Tanzania Abroad tv
Habari zenu wadau,
Naomba kuuliza namna ya kupima chakula cha biahara mfano wali na nyama au ugali na mboga zake ili kupata faida Pia juice ya parachichi na embe au embe na passion huniletea hasara sijajua kuna kitu cha nyongeza cha kuweka ili kuifanya iwe nyingi au labda natengeneza nzito...
Taarifa hapo chini zinasema kwamba, kampuni ya kutengeneza chanjo za Corona, Pfizer, inatarajiwa kutengeneza faida ya shs.Trillion 70 kwa mwaka huu wa 2021 pekee, je, nawezaje nunua hisa walau 10 tu za kampuni hii?
Ikumbukwe, hii ni bajeti halisi ya Tanzania kwa miaka zaidi ya miwili (2)
---...
Kitu wapinzani wanachofeli ni kuongozwa na hasira na ushindani na kupigania maslahi binafsi ya kisiasa hivyo kukosa logic na plan nzuri kufanikisha mipango yao.
Jakaya Kikwete alianzisha mchakato wa Katiba mpya Ila mchakato mzima katika mazingira hayo ulitawaliwa na wanasiasa. Bunge lilijaa...
Nimekuwa nikifanya biashara ya kutengeneza Milango ya mbao za Mkongo toka Mkoani Tabora. Kama unahitaji wewe Binafsi au unaweza niunganisha na Makampuni ya Ujenzi naomba tuwasiliane tuongee biashara.
Mbao ni za Mkongo. Haziliwi na wadudu na Haziozi nadhani kwa wajuzi wa mbao wanazifahamu hbr...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.