kuteuliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    Sikubaliani na suala la Mbunge kuteuliwa kuwa Waziri

    Ilitakiwa iwe hivi. Uwaziri uwe ni kazi ya utumishi, mtanzania mwenye elimu ya juu inayoendana na hiyo wizara, mwenye uzoefu na mwenye sifa za kuongoza wizara hiyo atume maombi kuomba kazi ya uwaziri. Kwani mbunge kuwa waziri unamfanya kuwa na vyeo viwili hiyo ni poor allocation of employment...
  2. GENTAMYCINE

    Farhia Middle wa Radio One amehuzunika sana Abdallah Mwaipaya kuwa DC

    Kuna Kipindi nakumbuka ( nikiwa kama Msikilizaji Balozi na Mwandamizi wa Kipindi chao nikipendacho cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One kila Jumapili Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili Asubuhi ) aliwahi 'Kufiwa' na Dada yake tena wa toka nitoke ila wala hakuwa katika Majonzi na alisahau...
  3. JF Member

    Nafasi za kuteuliwa zinaondoa ufahamu na akili

    Nikiwa nafuatilia jinsi hawa wateule wanafanya kazi nahisi wako kama watumwa. Kuna mda naona kabisa sisi ambao tuko kitaa tuna furaha na amani kuliko wao. Kuna haja ya wateuzi kuwaambia wawe huru kwenye kazi zao. Mfano Rais anakuja kuzindua mradi uliobuniwa na kujengwa na mtangulizi wake...
  4. Erythrocyte

    Usithubutu kujivunia Cheo cha Kuteuliwa, yasije kukukuta ya Chalamila

    Hebu fikiria mtu ambaye alikuwa analindwa na Jeshi la Polisi huku akipigiwa salute na RPC, usafiri wake ukiwa ni V-8, leo anaondoka Mwanza bila hata Mgambo wa KK SECURITY, tena kwenye gari ya kupewa lift na Msamalia Mwema Katika kipindi kifupi sana cha miaka 6 Taifa hili limefundishwa mambo...
  5. Geza Ulole

    Rais Samia Suluhu Hassan; naomba umpe Ubunge Flaviana Matata Ubunge wa Kuteuliwa

    Huwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na imekuwa manufaa kwa vijana, kuanzia taulo za kike kuja madaftari na kalamu za shule mpaka maboya...
  6. S

    Umri wa mtu kuteuliwa kushika nafasi yoyote Serikalini uwe ni walau kuanzia miaka 35

    Naona wakati umefika tuweke kigezo cha umri kwa watu wanaoteeuliwa kushika nafasi au madaraka makubwa serikalini na katika Utumishi wa umma. Katika nchi yetu, uteuzi hufanywa zaidi na Raisi na wateule wa Raisi wote hupewa dhamana au madaraka makubwa na hivyo kuna uwezekano baadhi hupewa...
  7. S

    BASATA wamempongeza Diamond kuteuliwa kushiriki tuzo za BET

    Naona Baraza la Sanaa la Tanzania (BASATA), wametoa tamko la kumpongeza msanii Diamond kwa kuteuliwa kushirika katika hiyo tuzo na kusema iwapo atashinda, basi yatakuwa mafanikio ya nchi nzima. Cha kushangaza katika tamko lao ni kuweka picha ya Diamond katika hilo tamko na sijui kama ni sahihi...
  8. M

    Ni vipi vigezo vya kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa au wilaya?

    Jamani naomba msaada maana mara kwa Mara nasikia uteuzi wa wakuu wa mkoa na wilaya. Kibaya zaidi nipale ninapo sikia mkuu wamkoa Fulani amestaafu nafasi yake amechukua kanali mstaafu inamaana hakuna watu wengine na kwanini sijawahi kusiakia RPC mstaafu kawa mkuu wa mkoa. Natafuta kazi...
Back
Top Bottom