Naona Baraza la Sanaa la Tanzania (BASATA), wametoa tamko la kumpongeza msanii Diamond kwa kuteuliwa kushirika katika hiyo tuzo na kusema iwapo atashinda, basi yatakuwa mafanikio ya nchi nzima.
Cha kushangaza katika tamko lao ni kuweka picha ya Diamond katika hilo tamko na sijui kama ni sahihi...