Mbunge wa Nzega Kijijini Dkt. Kigwangalla amesema amekumbana na ukaguzi wa barakoa muda mchache uliopita pale geti kuu la Dodoma general hospital.
Dkt. Kigwangalla amesema amefika hospitalini hapo kwa matibabu.
Mungu ampe wepesi na uponyaji wa haraka.
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Juzi wakati Rais Samia alipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete [siyo ule moyo wa Kikwete 🤣 uliopo ndani ya kidari chake], alisema kuwa alifarijika kusikia kwamba miongoni mwa wagonjwa wanaoenda hapo kutibiwa, wanatoka nchi za jirani na hata Marekani.
Hapo kwenye Marekani alisema kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.