kutibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Anayejua dawa za asili kutibu tatizo la kukosa usingizi (insomnia) anisaidie nateseka

    Habari watanzania wenzangu naombeni njia mbadala za kupona hii changamoto ninayoipitia ya kukosa usingizi
  2. S

    Jinsi ya kutibu kuvu (fangasi) sugu za miguuni

    Fangasi miguuni (nyungunyungu) au athlete's foot kwa jina la kitaalamu, ni tatizo linalowasumbua baadhi ya watu. Watu wenye tatizo hili mara nyingi hujikuta wakitumia tiba mbalimbali za kisasa bila mafanikio. Kama mchango kwa jamii nimeona leo nishiriki na watakaojaliwa kupitia post hii...
  3. Naombeni msaada wa dawa za kutibu ugonjwa wa Scabbies

    Ndugu wa Jf poleni sana Kwa mihangaiko yetu ya siku, natumaini tunaendelea vizuri kulingana na mapenzi ya muumba wetu. Nirudi kwenye maada, Mimi nasumbuliwa na homa ya Scabbies, kiukweli hii homa inanifanya nikose amani, ngozi ina upele na inawasha sana. Naombeni msaada wetu wa dawa mzuri za...
  4. Kama 4R za Samia,Zimeweza Kutanzua Mtanziko Siasa za Bara,Kwanini Zisitumike ZnZ, Kutibu Makovu ya Mapinduzi,Uchaguzi wa 2025,Mshindi Halali Apewe?

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi,TAAMULI HURU: 4R zitumike kuponya makovu ya Mapinduzi ya Zanzibar Jumapili ya Tarehe 12 January 2025, imedondokea siku ile ile ya Mapinduzi ya Zanzibar, yaliyotokea Jumapili ya Januari 12, 1964. Tanzania imeadhimisha miaka 61 ya Mapinduzi...
  5. Jinsi ya Kuzuia na Kutibu Ngozi Kavu: Vidokezo Muhimu kwa Ngozi Yenye Afya

    Ngozi ni kiungo muhimu sana katika mwili wa binadamu. Ngozi husaidia kuulinda mwili, kutoa taka mwili, kuratibu joto, maji na chumvi, pamoja na kuhisi vichocheo kama vile joto, baridi, miguso na mkandamizo. Ngozi nzuri inaathiri pia mwonekano na uzuri wa mwili. Hata hivyo, ngozi kavu ni tatizo...
  6. Ni kweli kwamba Profesa Janabi hajawahi kusomea wala kuwa Daktari Bingwa wa Moyo?

    Mara baada ya Rais Samia kutangaza kumpigia debe Professor Janabi ili kuiwakilisha Tanzania kwenye kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika, watu wenye akili kubwa ikabidi waingie chimbo kufukua file lenye kubeba wasifu mbali mbali kumhusu Profesa Mohamed Janabi ili kuona ana...
  7. Dawa ya mseto ya kutibu malaria ipigwe marufuku kama ilivyokuwa kwa chloroquine

    Miaka ya 2000's niliumwa malaria nikanywa amodiaquine ziko kama tatu hazizidi tano ila sitakaa nisahau ile experience ilikua unachungulia kaburi ile dawa iliongeza maumivu maradufu bora mchana usiku ndo maamuvi yaanapewa greenlight hulalali mwili ulichoka na nguvu zote ziliniishia Week hii...
  8. Mbinu hii inaweza kutibu kigugumizi au stammering

    Kigugumizi ni tatizo la kushindwa kuongea vizur yaan mtu anakuwa anashindwa kujieleza au kutoa matamshi mpaka ajivute sana,ni changamoto ambayo inawakuta baadhi ya ndugu zetu Sasa unaweza kuishinda hali hii kwa kufanya mazoezi ya kuongea zaidi,jitahidi kuongea kadri iwezekanavyo na baada ya mda...
  9. M

    Anaejua tiba specific au njia yoyote iliyomsaidia kutibu haya madude anisaidie please

    Picha kama inavyoonekana hapo chini nimehangaika navyo sana,kuna kipindi vilipotea kama miaka 3 nyuma na sikumbuki tena nilitumia nini sababu pia nilihangaika sana lakini saivi naona vimerudi kwa kasi ya 5g.
  10. E

    Ni dawa gani ya kutibu jino lenye tundu(limetoboka).

    Salaam Waku kuna namna ya kutibu jino bila kulioondoa, linauma hatari. Msaada, asanteni
  11. Baadhi ya Dawa za Hospitali kushindwa kutibu wananchi baadhi ya Magonjwa. Nini tatizo?

    Kumekuwa na ongezeko kubwa la wananchi mtaani wenye maradhi mbalimbali kulalamika kuwa wametumia dawa za hospitali kwa muda mrefu ila hawajapona na kuamua kugeukia tiba Asili. Nini kinasababisha yote haya? Tatizo liko kwa wananchi kushindwa kuzingatia ushauri wa kitaalamu? Au kulea ugonjwa...
  12. Kupitia MO Dewji faundation, maelfu ya watu wapokea huduma za kutibu macho bure kwenye hospitali ya Mt Fransis ifakara

    Maelfu ya wakazi wa mji wa ifakara na walio nje ya mji leo tarehe 30/06/2024 wameanza kupokea tiba ya macho toka kwa madaktari bingwa wa macho ambao wameweka kambi hapa kwenye hospitali ya Mtakatifu Fransis. Huduma zinazotolewa ni pamoja na dawa, miwani, upasuaji mdogo na ushauri. Kambi hii...
  13. YAAN KILA MTU FB ANAUZA DAWA ZA KUTIBU SUKARI KHA MBONA HIV HAMLETI

    Natokakufungua ffb acc leo yaan kila mtu anauza dawa za kisukari Funguaa acc nyingine hukoo ndio balaaa kaweka tangazo la kutibu bure bonyrxaa link Manenoooo mengi mwishoo anakwambia tuma 170000 atii punguzo hili n kwa siku 7 tu Nyooooo hivi mnatuonaje nyie kengee mshaona watanzania wajinga...
  14. Suluhisho la Kudumu la Kero Zote za Muungano, na Dawa ya Kutibu Sumu ya Ubaguzi wa Utanganyika na Uzanzibari ni Kuwa na Serikali Moja ya JMT?

    Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa, ni mwendo wa Kwa Maslahi ya Taifa kwa kwenda mbele, mada ya leo ni mada muendelezo wa wiki iliyopita kuhusu hizi chokochoko zinazoendelea za kuuchokoa huu muungano wetu adimu na adhimu kwa hoja za kibaguzi za Utanganyika na Uzanzibari, ambapo wiki...
  15. Tumia kanuni hii kutibu maumivu makali ya mgongo/ kiuno na miguu yako

    Bila shaka hamjambo watu wa Mungu! Kwa wale wenye changamoto za kiafya na wanaendelea kuteseka na maumivu juu ya magonjwa waliyonayo, Mungu atawaponya. Katika dunia ya sasa kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu wanaoishi kwa kutumia dawa za kutuliza maumivu kila siku iendayo kwa Mungu,mara...
  16. G

    Naomba mnisaidie dawa nzuri ya kutibu maumivu ya goti

    Habari ndgu zangu niliumia mazoezini December 2022 goti likavimba baadae nikaenda hospital nikafanya vipimo kama x ray,MRI ya goti ikabainika nimepata impacted Trabecular fracture on medial tibia condyle nikatibitiwa Kwa kupewa dawa kama Diclofenac gel, Cartiflex na steroids injection uvimbe...
  17. Tatizo La Kuota Ndevu Kwa Wanawake Na Jinsi Ya Kutibu

    Je umeshawahi kukutana na mwanamke mwenye ndevu nyingi? Bila shaka, jibu ni NDIYO. Hilo ni tatizo la kiafya ambalo hujulikana kwa kitaalamu kama Hirsutism. Leo tujifunze kuhusu sababu za tatizo hilo na jinsi ya kutibu. Hirsutism ni hali ambapo wanawake wanakua na ukuaji wa nywele wenye...
  18. Esther Bulaya: Serikali iwekeze katika kutibu waathirika wa dawa za kulevya

    Ester Bulaya ameshauri Serikali kuwekeza katika kutibu waathirika wa dawa za kulevya, aliongelea kuwa multi clinic Nchini zipo 11 na wanaohitaji matibabu ni maelfu, asilimia ya dawa za kulevya kuzalishwa duniani imeongezeka na siyo dawa zote huwa zinakamatwa Nchini. Sober House zipo 40 nchini...
  19. Je, kuna dawa ya kutibu hulka ya visasi na kutokusema kwenye anga za mapenzi?

    Shalom Hodi hodi jumapili! Mungu wetu ni Mungu Mkuu na wa ajabu sana. Sijui huwa inatokea vipi sio kwa hiari yangu but nahisi ni kitu inherent au kuna namna sielewi anejua Aya za bibilia au vinginevyo aweke hizi dawa ama tiba za kiimani. Iko hivi imeniwia vigumu kimsamehe na kumfanya rafiki...
  20. Madhara mafuta ya breki(Brake Fluid)

    Habari Madaktari na wafamasia, watu wengi tumekuwa tukitumia mafuta ya breki kujitibu mba. Nimepita mahali nimesikia yana madhara. Naomba kujua yana madhara gani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…